Search results

  1. I

    Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Hiyo biashara pasua kichwa acha
  2. I

    Naomba kuelekezwa ofisi za kampuni hii

    Tekeke au mbagala shukia buguruni
  3. I

    RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Mkude tu huyo amshukuru Mzee wa msoga
  4. I

    Ninaombeni ushauri, kila ninachowaza kujikomboa kiuchumi sifiki mbali

    Fungua mama lishe kwanza wzkati unakaa sawa
  5. I

    Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Kumbe wasiojulikana wapo."wakitumaliza sisi wataanza wao kwa wao" jk nyerere
  6. I

    TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Sasa Hilo bwawa la mwl nyerere wanalijenga la nini maji watatoa wapi?
  7. I

    Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

    Mfugale na mahufuli nani alitangulia lufariki?
  8. I

    Bashiru akerwa na kauli ya 'anaupiga mwingi' na wanaosifu utawala wa Samia

    Mbona Waka wa jpm mlikua mnamsifia Kila kukicha Leo inawauma nn ni uzandiki uchawa na ujinga wa viongozi wetu
  9. I

    Kisiasa: Kilichofanywa na Wavuvi Bukoba ndio inayoitwa "Nguvu ya Umma"

    Jeshi letu la maonyesho nasubiri 9 december wakibeba magogo
  10. I

    Shaka: Precision Air ilianzishwa tangu 1993 na haijawahi kupata janga kama hili kwa sababu ni kampuni makini!

    Angekuwepo mtu wako wa karibu kwenye hiyo ajali usingetoa hizo kauli
  11. I

    Albert Chalamila apimwe akili, anaweza kuwa na matatizo

    Hao ndio viongozi wanaotegemew na ccm
  12. I

    Nini kipo nyuma ya kampeni ya kutumia Gesi?

    Rostam Aziz na Kuna mtu atamfadhili kugombea uraisi ili aendelee kuchuma
  13. I

    TRA wananiambia niingie VAT

    Ndio Sheria inavotaka sio kidogo 100m na kuendelea lazima ujisajili na vat
  14. I

    USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    endelea kulipa kutokana na kipato cha biashara zako
  15. I

    Katika Mikenge wananchi wa kawaida tuliwahi kuingizwa na kununua hisa za Voda

    mambo ya hisa kwenye nchi zetu hizi za afrika naona bado sana
Back
Top Bottom