Search results

  1. A

    Msaada: Tatizo la ku-appeal mkopo heslb.

    Ni kweli wapendwa huku UDOM tumeshahangaika sana kwa atakae pata ufumbuzi atufahamishe.
  2. A

    Loan Board 2015/2016 appeals iko open now

    Msaada tafadhali kwa aliye fanikiwa kudown load form ya appeal amefanyaje?maana tangu juzi tunaambiwa incomplete information, muda wenyewe wametoa mfupi mno mbona utaisha na form hatujatoa!
  3. A

    HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    Mi juzi nimesikia taarifa ya habari ikisema wanafunzi woote walioomba Mkopo 2015/16 wamepewa pasipo kuangalia kozi zao,nikastuka kidogo watu tunaumia huku bila Mkopo na kozi uliyochaguliwa ni priority. INAUMIZA SANA
  4. A

    Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani?

    Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini
  5. A

    You have not secured a loan!

    Hiki kilio cha wengi,tumekata tamaa, mid ?imepata BSc in biology lakini mkopo no,ndoto zimekufa
Back
Top Bottom