Search results

  1. N

    Magaidi ya ADF yakiongozwa na Mtanzania yaingia Uganda

    Add ni ya Mseveni. Kwamba unaasi ug. Unaua wa Congo!
  2. N

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Je kuna miongozo ya utoaji taarifa?, kama ndiyo, ipoje? Yahani nani apewe kwanza, akifuatiwa na nani, mpaka wa mwisho.
  3. N

    KERO Elimu Bure ni nini? Je, ni sawa wazazi kuendelea kuchangishwa pesa za chakula, mpishi, usafi na mitihani ya kujipima?

    Kabla hatujaenda mbali tuanzie hapa-: -Wewe unayetaka serekali ifanye kila kitu unalipa kodi kiasi gani? ( Matumizi yako kwa mwezi + na kodi unayolipa direct kutoka kwenye shughuli zaki zinazokuingizia kipato)
  4. N

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Ndugu yangu. Naona unahama kutoka ktk nilipo kurejea pale juu. Itoshe kusema kwamba 1)Haitatokea upinzani ukosekane, whether nzuri au wa hovyo kwa kipimo Chalo. 2)Utatuzi wa changamoto tulizonazo kwa sasa focus ikielekezwa kwa wapinzani eti ndo zitatatuka, ni sawa na kujilisha upepo. ( Hawateui...
  5. N

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Rabbon, Rabbon, Rabbon!... Nimekuita mara 3. Kwa Tz wapinzani are nothing, are negligible nikwambie sasa. Bwawa si linajengwa pamoja na hayo maneno?. Kwa mwenye dola ndo pa kuelekeza focus.
  6. N

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Wapinzani mnawasingizia, matawi ya mti hunawiri kulingana na kazi ya mizizi na shina. Tusizunguke jamani shida ipo ccm mahala serekali inapoundwa.
  7. N

    Mchungaji aliyepigwa Kigoma kisa Kamchape ulikuwa wakati sahihi kuonesha nguvu za Mungu sio kupiga simu Polisi

    Mungu angesubiri kuombwa msaada wakati kinachovamiwa ni kanisa lake?
  8. N

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Something very strange must be done kuilazimisha Rwanda kuiheshimu Congo. siyo wa kuchekewa chekewa.
  9. N

    Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

    Mkuu inamake sense, inakuondoa kwenye manunuzi ya kitu kilekile mara kwa mara.
  10. N

    Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

    Original inadumu ikiwa na ubora.
  11. N

    Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

    Naam. Ajaribu ku search oral/ vaginal candidiasis.
  12. N

    Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

    Candida ni fungus na siyo bacteria kama ulivyo dai.
  13. N

    Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

    Hawajanyimwa vingine, bali hawazingatii umuhimu wa tabia "njema" kwakuamini "uzuri/mvuto" vinatosha. NB - MLETA MADA APUUZWE.
  14. N

    Ushauri: Ndugu wameharibu ndoa ya dada yangu

    Muulize kama Mimba ya nje ya ndoa inatibu tabia ya unyanyasaji alonayo mume wa ndoa.
Back
Top Bottom