Search results

  1. Brice85

    WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Hii nchi ngumu sana hasa kuongoza watu wenye akili kama zako watu wasiojali ukweli wanaotafuta sababu ili kutenganisha watu.. Watatumia udini na sababu nyingi kwa manufaa yao kwa ufupi wewe ni mbinafsi usiotaka wengi wawe mbele.
  2. Brice85

    Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

    Umejitahidi kuandika japo na wewe unamihemko kama huyo uliesema anamihemko. Napinga maneno yakobkwenye maandishi haya isipokuwa ya ELIMU BULE PEKEE. Kuhusu usanii wa neyi wewe mwenyewe umeanza kwa kusema sio msanii lkn baadae ukasema ni msanii, soma maandishi yako mwenyewe. Kuhusu kutumika na...
  3. Brice85

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Kwamba mpaka awe msemaji na sio mwana habari mwabarishaji ya kinachoendelea? Hili nj tatizo letu kubwa "ushabiki" kilizwa kwani wewe ni mtu wa huko na unayokea wapi? Ukrein au urusi sijui utajibuje? Kazi yetu kubwa ni kufanya analysis kulingana na ufuatiaji wetu wa taarifa na sio ukanda wala...
  4. Brice85

    Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Tafadhari sana Kiongozi kwa heshima ya kutosha nikupayo naomba uwaombe radhi walimu wate wa Tanzania kwa kauli yako hapo juu. binafsi naona umepitiliza sana katika uhuru wako wa kutoa maoni kikatiba lakini pia unajinasibu vipi wewe ni msomi na mwerevu katika mambo mengi kama unamdharau Mwalimu...
  5. Brice85

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Aisee wewe unamjua mtu anaetumia madaraka yake vema kujinufaisha? Acha bhana huo ujasiri wa kumdogelea aisee Hebu siku moja jaribu kumfata mtu wa juu yako kumuonya na uone kitakacho kutokea [emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
  6. Brice85

    Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Mwamba umeandika vema.. lkn sijui kama umefanya japoutafiti? Kwani katika maandishi uako umethibitisha zena sio manzibari? Au umembandika utanganyika? Sehemu pekee katiba inayoruhusu ni majeshi na wewe hujaitolea mfano. Kaka/dada.. nikuombe suala la uzanzibar na utanganyika sio mihemko tuliongee...
  7. Brice85

    Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Hivi MUSIBA (mwanaharakati huru) yupo wapi nimemisi matamko yake.
  8. Brice85

    Alexander Mnyeti kuburuzwa Mahakamani ni ushindi kwa wapenda haki Tanzania

    Mkuu ni kama umeandika ukiwa na hasira sana. Lkn kilichoandikwa ni tofauti na ulichochangia. Mkono wa haki nao ni kisasi? Au wewe ndio mwenye picha mbele ya hilo jarida? Kwa kuwa umepita tu nami napita tu lakini usihukumu
  9. Brice85

    Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

    Wewe ni mmoja wa wazeewa mserereko [emoji2149][emoji2149][emoji2149]
  10. Brice85

    Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

    Kwa maoni hayo ya Komredi Menbe "kama ni yake" Basi ameongea la ndani sana kwenye moyo wake. Juzi juzi aliekuwa CAG alinenamazito akaishiwa kutukanwa na wazee wa mserereko. Hata Membe ajiandae kwa matusi na kejeli kutoka kwa wazee wa Mserereko.
  11. Brice85

    CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Jamaa umeandika kama tupo wakati wa kampeni maana katika kipindi hicho ndio mtu uongea bila hata kufikilia kama ulivyofanya wewe? Umejinasibu kumjua zzk lakini kumbe humjui hata kidogo[emoji3479] unatoa ushauri kwenye chumba tupu na sauti inakurudia mwenyewe. Lakini labda hujaeleweka wewe...
  12. Brice85

    Sensa 2022: Serikali iwe makini, suala la takwimu halihitaji mzaha!

    Na mama yako ni kilaza? Au wewe mwenyewe ni kilaza? Usiwatukane walimu waliokujengea uwezo ulionao hata namna ya kufikiri na kuongea. Jenga hoja isiyo na maneno makali dhidi ya wazazi wako ndugu? Mfano. Baada ya kuwa askali wewe unaongoza operation ya kukamata wauza gongo usiku na mchana hulali...
  13. Brice85

    Sensa 2022: Serikali iwe makini, suala la takwimu halihitaji mzaha!

    Jiwe alitumia walimu kuiba kura angewezaje ku do the best? Ndugu amini mfumo uliopo pekee ndio unakuvusha kwa sasa kwa speed yoyote ile tulia tu.
  14. Brice85

    Sensa 2022: Serikali iwe makini, suala la takwimu halihitaji mzaha!

    Kama watu gani? umeishia njiani badala ya kutuoa hitimisho.
  15. Brice85

    Joseph Selasini alikaribishwa NCCR na Sasa anamfukuza James Mbatia aliyemkaribisha NCCR

    Hahahaha. Hahahaha sawa sawa. Tuanze kwa kupongeza kwa wewe kuchukua muda wako na kuandika hili bandiko hili. Kwanza kabisa yanayoendelea NCCR ni matokeo ya mbegu iliopandwa ndani ya chama hicho. Mbegu iliopandwa ndani ya chama hicho ni usaliti na kutoaminiana tokea mwanzo wa mwenyekiti wao...
  16. Brice85

    Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    17.3.2025 ndio atakuwa amefikisha mwaka mmoja aisee we jamaa unaandika kama wewe unaelimu ya kisukule hivi sijui kama umeona ulichoandika aisee
  17. Brice85

    Sasa ni dhahiri kuwa CHADEMA si Mbowe, Dr. Slaa, Lissu wala Lema. CHADEMA ni imani na haitakufa kirahisi!

    Ukweli ni mchungu sana... bado sijaona uvccm wakija na kusema kuwa umechanganyikiwa na unazeeka vibaya wewe mzee.. utaambiwa pumzika ule mafao yako siasa hii haikuhusu na hujui kitu.. na bado utaambiwa unaoayuka payuka... hawachelewi watasema unaumwa ugonjwa wa akili na n.k. Binafsi napenda...
  18. Brice85

    Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    Huu ndio ushabiki mandazi sasa[emoji1318][emoji1318] yaani watu wanajadili la maana yeye kama umbile XX anakazana kulinganisha na jambo ambalo asemi ni nani ni wapi na tukio gani ni mechi gani lkn anaona alichofanya refa katika mechi ya yanga na kwakuwa yanga baasi ni sawa. Mpuuuuuuuzi kabisa...
  19. Brice85

    Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

    Ilipaswa uwe tayari umeshambuluza mahakamani lkn pia muda haujapotea bado upepo wa heri upo kwako mpeleke. Nakubaliana na wewe kwenye misingi ya hoja yako lkn sikuungi mkono kwenye kutafuta uungwaji mkono na watu wengine. Unamkumbuka mchungaji mtikila? Alikuwa aombi uungwaji mkono na mtu...
Back
Top Bottom