Search results

  1. Jitu jeusi

    Angola floats plan to build trans-Africa rail link to Tanzania

    Plans to build a trans-African railway between the ports of Dar es Salaam in the east of the continent and Lobito in the west have been proposed by Sandri De Oliveira, Angola’s ambassador to Tanzania. De Oliveira was speaking in Dar at an event to mark the 45th anniversary of Angola’s...
  2. Jitu jeusi

    Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

    The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy firm Deloitte released in January, shows that both Kenya and Tanzania recorded g 51 projects in 2019. Tanzania’s total share of projects by value is 41.2% (US$60.3bn), making it the largest contributor towards East Africa’s total...
  3. Jitu jeusi

    Angalia Wakenya zaidi ya 20 wanaishi kwenye daraja la juu, hatarishi, wailalamikia serikali

    Wanailalamikia serikali, lakini maswali yakujiuliza ni haya 1. Choo kipo wapi? 2. Watoto wanacheza wapi? 3. Maji wanachota wapi? 4. Umeme? Poleni sana majirani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Jitu jeusi

    Hatimaye voda wamesapoti yakutolea

  5. Jitu jeusi

    Kuhusu nyoka aina ya chatu

    Hivi nyoka yeyote akikomaa anakuwa chatu, au chatu ni species aijarishi n mkubwa au mdogo kama Penseli... msaada please.
  6. Jitu jeusi

    Baadhi ya Viongozi wetu wanashindwa kutofautisha Jambo la Kitaifa & Jambo la kichama.

    Ukweli ndio huu, Tubadilike, tusijifanye watu fulani wenye utikadi fulani wa mkoa fulani ndio wana uchungu na wengine sio Pia mambo mengine sio kabisa
  7. Jitu jeusi

    Teh teh

    hii ni mwisho wa reli!!! [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Jitu jeusi

    Historia ya kabila la Wakurya

    Je Wajua? KABILA LA WAKURYA Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005...
  9. Jitu jeusi

    Msaada kuhusu neno " Mama sitta"

    Wakuu, mwenye uelewa wa hili neno mama sitta, maana nimekuwa nilikisia kwenye nyimbo nyingi za kibongo... hata wimbo i Ukiwa mgumu( sio wimbo wa ma-Love) utasikia neno mama sitta. Au ndio Msemo wa kisasa (fashion), kwann wasiseme mama chausiku, waseme mama sitta tuu. Msaada wenu, mnitoe ushamba.
  10. Jitu jeusi

    JF tunaishauri iongeze Jukwaa la Developer, computer Programmer & Artificial Intelligence

    Habarini wakuu, Kungekuwa sub-jukwaa ya Tech, Gadgets and science inayohusika na mambo ya practice ya developer, programming and AI. Maana kwa sasa imekuwa shida kweli kupata & kuweka madini... yaaani mtu akikwama, akiingia humo atapata madini kama vile stackflow, GitLab nk. Napenda...
  11. Jitu jeusi

    Naitaji chumba dodoma mjini au Maeneo jirani

    Please naitaji room, iwe nzuri & mazingira mazuri..... mwenye nayo please... naomba unipe namba zako nikutafute haraka .... nipo online 247
  12. Jitu jeusi

    A Kenyan motivational speaker has published a book based on Tanzanian musician Diamond Platnumz

    http://nairobiwire.com/2019/04/kenyan-pens-book-on-diamond-platnumz-success-secrets.html 24-year-old Suleiman Ndoro is the brains behind the motivational book titled ‘Success secrets from Diamond Platnumz’. He says he has been following Diamond’s career since 2009. According to Ndoro...
  13. Jitu jeusi

    Rocky city mall, Logo za LAPF zafutwa rasmi.

    Kabla hawajafuta Baada ya kufuta Thread tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Jitu jeusi

    Hatimaye nimepata Galaxy M20

    Ni simu nzuri, inakaa na charge muda mrefu... pia ina bettery kubwa & RAM & Storage....display yake n infinix Mtu unaweza kununua hizi simu kwa bei ya kawaida na usijute... 1. Galaxy M series(m30, m20, m10) 2 Xiaomi 3 Oppo
  15. Jitu jeusi

    EATV & EAFM Jina kubwa ila contents zao 98% zinahusu Tanzania Pekee

    Hizi media zenye jina la East Africa kwakweli hatitendei haki watazamaji/ wasikilizaji wake, wataalamu wanasema jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani, lakini kwa hizi media sivyo hivyo. Ni bora kama IPP MEDAI kama imeshindwa kukidhi haja ya mchi za East africa waachie jina kampuni yenye...
  16. Jitu jeusi

    Tujadili kuhusu vitambulisho vya matibabu kwa Wazee

    Hivi kuna umuhimu gani wazee kupewa kitambulisho ilhali wenyewe tu wanajitambulisha automatic.... maana hakuna kijana anayeweza kufoji kuwa yeye ni mzee
  17. Jitu jeusi

    Framework au CMS nzuri kwa kutengeneza simple System

    Habarini wataalam, Ningependa kufahamu techology gani nzuri sana kwa kutengeneza simple web system kama:- System ya Saccoss System ya Phamarcy Nk Ipo nzuri kati ya hizi kutumia :- Laravel Nodejs Angularjs Django Yii Au yeyote unaweza kuweka kwa msaada zaidi.. Pia au kupiga code za PHP kavu...
  18. Jitu jeusi

    Hatimaye Mkoa wa MARA wakalibia kupata timu ya ligi kuu 2018/2019

    Ongera sana wana wa mkoa wa mara(KIUMENI) kwa hatua hiii, mmekuwa kimya sana atimaye yanaenda kutimia. Tuna waombea Timu ya BIASHA Kufika mbali hata kupata mafanikia makubwa. Matokeo ya mechi za leo 26/01/2018 Binafsi nilitegemea kariakoo ndo ingetoa jina la timu biashara lakini wajanja wa...
Back
Top Bottom