Assume tupo watu 60+ mil wote tuingie kwenye
AI
Remote work
Freelancing
Nchi nyingi za Africa zimepata uhuru 1950 +, ukilinganisha na nchi ambazo zimepata uhuru 1776 au zijawahi kutawaliwa utaona tupo nyuma sana.
Kutokana na Mazingira yetu.. ambayo bado tunapambana na
1. Malaria /...
Issue sio Majengo ya hospitali, issue ni huduma nzuri.. kumbuka hospitali hizo zina hudumia UMA, pasipo kujari kabila au amani.
Ndio maana ukienda huko utakutana wagonjwa & Madaktari wa Imani zote.
Binafsi naona anafanya kazi nzuri & vizuri tu.
Kumbuka kwenye KIAPO kuna kutunza siri & mikataba mingine ambayo hatuijui. Hivyo ukishapata uongozi ni vyema kwenda kwa umakini
Kuanzia Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya & Tanga zote zilipewa hadhi ya kuwa Jiji wakati huo zilikuwa hazina sifa.
Pia kumbuka kwa sera za Tanzania, Kahama haiwezi kuwa JIJI hata kama iwe na flyovers & interchanges kama NEW YORK.
Sababu Jiji lazima liwe makao makuu ya mkoa... tayari hapo kahama...
Mkuu kila kitu kinaenda kwa awamu, bado mji unajengwa. Na inaweza kuchukua miaka hata 20 ndio sura ya CAPITAL CITY inaweza kuonekana Dodoma.
Miji yote haikuibuka kwa muda mfupi
Huo mkoa ni mdogo sana, ukiupeleka Tabora, Lindi au Morogoro unaweza kuwa Halmashauri.
Mkoa mdogo ni mwepesi kupima maendeleo & unaweza kuonekana unamaendeleo kumbe ofisi na miundombinu mingine ipo karibu karibu.
Asante.
Maendeleo yoyote au Elimu yoyote kama hiyo ya anga la mbali ni results za siasa nzuri au mbaya.
Pia siasa ina determine future yako. Ni vyema angalau ukawa una fuatilia hata kwa kiasi kidogo ili ujue unaelekea wapi.
1 .Wakati wakoloni wanahama kutoka Bagamoyo kwenda Dar Es Salaam, watu walitukana na kuzodoa hivyo hivyo.. lakini leo wajukuu zao ndio wanaitetea Dar
2. Wakati Wakaloni wanahama kutoka Mombasa kwenda Nairobi the same case to Dodoma.
3. Kutola Entebbe kwenda Kampala
4. Lagos to abuja
Nk...
Umeeleza vizuri sana, ila unachanganya kati ya wilaya na Halmashauri.
Majiji yanaundwa na Halmashauri wala sio wilaya.
Ndio maana utakuta yanaitwa HALMASHAURI YA JIJI LA ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.