Search results

  1. bra easy

    Ushauri: Mwanamke tajiri anataka niache chuo tufanye biashara

    Soma mkuu elimu yako ndio ufunguo wa maisha yako
  2. bra easy

    Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

    Miss natafuta vp kwema huko,nilikua napita ila nachungulia kidogo
  3. bra easy

    Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] aisee mimi napita tu
  4. bra easy

    SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    Hahaha sasa nimeamini kwamba ukweli unauma ,you can't see udikteta wa magufuli unatoka povu kwa kulaumu makaburu,sasa nikuambie kitu labda haujui hawa wazungu wa south au serikali ya south Africa ni wazi washenzi lakini wanajua nini democracy Nina maana south kuna democracy na inafuatwa,angalia...
  5. bra easy

    Je, nifanye ubatizo na ubarikio kanisani kwangu (Anglican ) au huko kanisani kwao?

    Hakuna thamani ya pesa yoyote inayoweza kununua mtoto wako ,simama kama baba mkuu wa familia usiyumbishwe kaka
  6. bra easy

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Tunachotaka raisi awe msomi na msomi ambaye anajua kuongea kingereza co huyu mbumbumbu tulonae hivi sasa nchi inaporomoka coz hajui anzie wapi vp ataenda ulaya kutafuta wawekezaji ataongea naona vp wakati kujieleza hawezi,hata hao wachina wanaongea kingereza na suala LA kwa walifikiria vp...
  7. bra easy

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Pamoja na hayo ila ni aibu kubwa kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwa hajui kingereza,kwanza uelewe kingereza ni lugha kubwa ya kwanza duniani whatever u going utakuta watu wanaongea kingereza, sasa leo raisi wenu anakimbia wazungu kwa sababu hajui English hiyo ni aibu baba,shame on you mtoa post
  8. bra easy

    Jinsi ya kupata Aslyum papers South Africa

    Mtu kutoka Tz kwa sasa ni vigumu sana kuwa asylum seeker ila kitu kimoja vijana mkielewe south Africa wameondoa visa na Tz coz waliona asylum seekers wamekua wengi sana kutoka Tz kwa kwa ss uwe na case kubwa sana ndio wakupe paper ,ila kumbuka siku zote pesa ndio inayongea
  9. bra easy

    Orodha ya Mikoa ambayo inayoongoza kuchagua wabunge wa upinzani tangu 1995

    Umesahau mjini magharibi unguja,kaskazini unguja,kusini Pemba na kaskazini Pemba
  10. bra easy

    Jinsi ya kupata Aslyum papers South Africa

    Asylum seeker ya south Africa imeandikwa hv kuhusu kufanya kazi( may take employment or study) ss inategemea na maelezo yako ya ukimbizi na nchi uliotoka, pia kwa sasa na bahati yako ikoje
  11. bra easy

    Nchi za watu jamani ni shida

    Umetapeliwa,hakuna iyo kitu
  12. bra easy

    Msaada: Napigwa na mke wangu

    Na ww mpige,dawa ya moto ni kumwagia maji
  13. bra easy

    Nina ujauzito wa mume wa mtu, nifanyeje?

    Unazingua,hauna point means cna jibu
  14. bra easy

    Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

    Mchagua jembe c mkulima, inaonekana haujakua tayari kuolewa kwa mpango huo wa kuchagua mume awe mrefu na mweupe, Pole sana
  15. bra easy

    Jina zuri la mtoto wa kike

    Amilah (hopefully)
  16. bra easy

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Nimekuskia ila cjakuelewa coz hujafafanua vzr, ila kama mtu atachunguza kwa undani mashairi yako yanaonesha kuna chuki fulani hv kwa watu fulani, kwa hilo nakupa Pole
  17. bra easy

    Kampeni za Ubunge ZNZ zaibua mengi, Maalim 'amuumbua' Kinana, baba amkana mwana, Lowassa na mahaba

    Pole sana najua inakuuma sana, narudia tena kwa heshima na taadhima nakupa Pole
  18. bra easy

    CUF itakufa na Maalim, CUF itazikwa na Mtatiro, CUF itainuka kwa neema za Lipumba

    Cuf haiwezi kufa na kama itakufa lipumba hawezi kuinyanyua coz hana wapenzi upande wa pili (zanzibar)
  19. bra easy

    Somalia, nchi inayopiga marufuku kusherehekea Krismas, yapanga kuomba kuingia EAC

    Hata mm nikijakuwa raisi wa zanzibar napiga marufuku Xmas
Back
Top Bottom