Search results

  1. M

    Ugawaji wa Vitabu kwenye shule una nia mbaya ya kujenga wategemezi!

    Kupata ninachozungumzia tafadhali angalia mpaka mwisho. .... Tulishasema huko nyuma kwamba njia rahisi sana ya kuteka mawazo ya watu ni kuteka watoto kuanzia shuleni. Na njia rahisi zaidi kufanya hivyo ni kwa kupitia vitabu vyenye kulenga huko. Kama unataka watu wa nchi kufikiria London au...
  2. M

    42% of Tanzanian children under five are stunted!

    Studies show Tanzania ranks 3rd in Africa with most stunted children after Ethiopia and DRC! UNICEF - Nutrition - Overview What a shame! Tulikuwa na TFNC iliyokuwa inashughulikia tatizo la malezi na lishe lililoanzishwa na Nyerere. Kama mambo mengi mazuri ya Nyerere yalivyotupwa, naona hili...
  3. M

    Wenzetu wanatuacha katika hili la reli!

    Wakati nguvu zetu nyingi zimeelekezwa kwenye malumbano jinsi ya kugawana fito (Serikali 1, 2, 3 ..), mengine yanatupita. Kenya, Uganda, Rwanda na S. Sudan wameanza kujenga Reli ambayo inatoa ushindani wa moja kwa moja kwa reli ya kati, bandari ya Dar es salaam na maslahi ya Tanzania kwa upana...
  4. M

    EABL Wanataka kununua Serengeti kwa udi na uvumba

    Kuna tetesi kwamba EABL (Kenya) wanatamani sana kuinunua Serengeti, ambayo imneweza kutoa ushindani mzuri sana kwa TBL pamoja na kwamba ina brand moja tu ambayo ni popular. Kuna tetesi pia kwamba TBL wameiga formula ya Serengeti yanye wanywaji wengi na kutoa Ndovu Premium ambayo wanywaji...
  5. M

    Changamoto kwa vyombo vya Habari Tanzania

    Watanzania tunashambuliwa kwa mengi, vyombo vya habari ni mojawapo ya zinazotumika. ... Magazeti mawili ya The Citizen na The East African yanaandika habari kwa mtazamo na ushabikiaji wa Kenya. Ni vigumu kukuta habari yoyote yenye kuonyesha kwamba Tanzania au Watanzania wana uwezo wa kufanya...
Back
Top Bottom