Search results

  1. mwanadar

    Umbea wa Rais wa Yanga kwa Motsepe umeiponza Yanga

    Manual wa kuhongwa hatocheza😂😂😂😂😂
  2. mwanadar

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Hawa kenge vyuta lazima waachie tu. Acha wabaaaaane
  3. mwanadar

    Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Ahaaaaa kumbe unaota🤣🤣🤣 Amka wewe utajikojolea
  4. mwanadar

    Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

    Kwa mfano mkataba umebez upande mmoja yaani Mwajiriwa ndie anaetakiwa kulipa endapo ataamua kuacha kazi na mwajiri hakuna sehemu yoyote ambayo imeandikwa. Mwajiriwa hakuna haki yoyote atakayo lipwa na mkataba haujaonyesha hivyo hebu weka sawa hapo Mwajiriwa haki yake anaipataje?
  5. mwanadar

    Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

    Huyu Jamaa anaishi pale kwenye nyumba mbovu karibu na uwanja unaojengwa wa Kaunda🐸🐸🐸🐸🐸
  6. mwanadar

    Hali tete Simba, Percy Tau na Dieng warejea uwanjani

    Mhh kweli wewe ni Muhariri. mungu/Mungu hebu angalia kosa lako hapo.
  7. mwanadar

    Goli 4 alizofungwa Aishi Manula zisiwafanye msimpe Maua yake kwa kiwango alichokionesha kwenye Michuano ya AFCON Ivory Coast

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  8. mwanadar

    Tumetolewa AFCON kwa sababu wachezaji wengi ni wafupi na hawana miili iliyoshiba

    Hivi wewe ni Mtanzania wa nchi gani? Naanza kuingiwa na wasiwasi. Sio nyie tunao watafuta mnao tuharibia Tanzania yetu? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  9. mwanadar

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Kwani Hawa si ndo walisema sio Waafrika. Ndugu zao ni waarabu kwani we ni Muarabu? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  10. mwanadar

    Simba sc wanavyowahitaji mashabiki kwenye mchezo dhidi ya Wydad Casablanca, hata ukiwa na 500/= ukifika getini hakuna wa kukuzuia utaingia tu.

    Acha ujinga Utopolo kiingilio sh ngapi? Na Yalivyo hayana Akili wenye nazo 2 tu. Lazima ukanunue jezi "penchoti" Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  11. mwanadar

    Ahmed Ally unapowaambia watu ikifika saa sita waache kazi waende uwanjani, wakifukuzwa kazi familia zao utazilisha wewe?

    Zee la Mapovu Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  12. mwanadar

    FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

    Tayari nafasi ya tatu misomisondo. Una jipya? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  13. mwanadar

    Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

    Tumeifunga Ihefu kuda dadeki Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  14. mwanadar

    Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  15. mwanadar

    Mliojenga shikeni Maua yenu!

    Tetetetete mi nakumbuka kipindi najenga nilikua naingia kazini mchana kuanzia asuhi nipo saiti wife analeta mboga Mimi na mafundi wangu tunasonga ugali crate za bia hazipungui mbili kula dadeki. Mpaka naenda kujiandaa kuondoka kazini nipo chwee kama ndo Mimi saidia fundi. Kisa wasini pige tu...
  16. mwanadar

    Unaijua movie ya limitless wewe?

    Wekeni link basi
  17. mwanadar

    Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

    Kazi unayo Kila siku kulalamika tu kuhusu Mnyama haya ushauri wa Bure huo
Back
Top Bottom