Search results

  1. B

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Yametimia alisema atakufa bila kuona serikali tatu
  2. B

    ACT yaunga mkono muungano wa UKAWA; wawamwagia sifa, watoa tahadhari

    Sasa hapo sijaelewa, lengo kuu la chama chochote cha Siasa ni kushika dola sasa kwa Tanzania chama cha upinzani kitashikaje dola bila kuiangusha serikali. Mtazamo wangu hakuna chama cha siasa kisichotetea wananchi! Shida ni kwa kiwango gani kinafanya mpaka kupewa dola?:angry:
  3. B

    Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Kama wanakabidhiana kitu halali kwa nini waweke Ulinzi mkubwa kiasi hicho! :embarrassed:
  4. B

    Nifanyaje ili niweze kuunganisha simu ya A akipigiwa nami nijue

    Nenda kitengo cha cyber TCRA, andaa sababu kuntu!
  5. B

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Kiukweli lazima ifike kipindi utoe hoja ambayo anyesoma ajue imeandikwa na watu timamu, mi naona kama hawa jamaa ni waganga njaa tu!
  6. B

    Dr. Mkumbo: Mashambulizi dhidi ya Shivji ni upuuzi usiovumilika kwa Wasomi

    :flypig:Maelezo na Conclusion yako vinaonesha WEWE peke yako huna msimamo kifikra, au huelewi maana ya fikra! Nadhani CDM wasimamie msimamo wao na CCM isimamie yake harafu wananchi watatumia fikra yakinifu kupambanua nani anasema ukweli!
  7. B

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Nadhani hata wewe kuna kitu kinamisi kwenye baadhi ya neva zako za ufikiri, sijui kama unajua ulipo na unakotaka kuelekea
  8. B

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Uelewa wako ni finyu kidogo kama aliyeomba mwongozo, safari akatishe Mukya, mwongozo umwombee Mbowe! Au unadhani kwa kumtaja Mbowe utaonekana unaongea point? Au Mukya si timamu? Nadhani hoja ya msingi jadili matumizi mabovu ya pesa za wananchi na si kuropoka as if ni issue inahusu chama kizima...
  9. B

    CHADEMA hakikupaswa kuwa chama cha siasa

    Ukisema CHADEMA hakikustahili kuwa chama cha Siasa unaonekana kabisa hujitambui na hujui siasa za kweli za nchi hii! Wanaojua maana ya siasa na wenye akili timamu wanajua CHADEMA kwa sasa ndo chama pekee kinachoonesha uhai kuliko chama chochote! We hauna tofauti na wale waliokataa KATIBA mpya...
  10. B

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Kauli yako kaka(Dr. Kitila na Zitto Kabwe) ni ya kishujaa, na yenye kujali maslahi ya mstakabli wa demokrasia Watanzania waitakayo. Ni kauli ambayo inahitaji utekerezaji wa VITENDO ili kutenga kiukweli mchele na chuya. Naiona Tanzania niitakayo usoni pako, lakini ina ukungu mbele ya baadhi...
  11. B

    CHADEMA yaumbuka: UTPC yaipinga kuhusu kujenga Mnara wa Mwangosi

    Hujitambui, labda topic umekuwea ngumu kuilewa
  12. B

    Viongozi wa chadema wajitathmini kama wanaweza kuongoza -katibu uvccm(Jembe)

    Mi sijawahi kuona akiongea cha maana zaidi ya propaganda za kitoto. Huu si muda wa kufanya propaganda za kitoto, fanya siasa ukishindwa nenda kauze ugoro! hata wanaenda kumhoji si huwa wanajua nini atajibu?
  13. B

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    kaka tunakutegemea zaidi katika kutupa kila litakalotokea, hopefully wewe ndo utakuwa LIVE yetu
  14. B

    Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

    Nmeipenda ila napita tu waungwana!
  15. B

    Wanaume naomba msaada kutoka kwenu

    nashukuru mmenirahisishia kunakiri sifa za wangu, mi KINYUME ya hizo hpo juu, hivi mnafikiri wenye hizo tabia hawahitaji kupendwa, hivi nyi mna tabia nzuri, acheni hzo bwana binadamu wote ni sawa, achen ubinafsi, acheni Mungu mwenyewe aamue nyi wa wap?
  16. B

    Nape aongea na vyombo vya habari, alalamikia masuala kadhaa!

    hapo kweli CCM ndo kwisnei, hvi hyo mlopokaji kawataja hao waasi na ni hatua zipi km CCM inachukua kuwaepuka Waas?
  17. B

    Asilimia 90 ya Watanzani Wamejikuta tu.........

    sijajua unatumia vigezo gn kujiita muislam mzuri, lkn we upo kwny kundi la walioiga mkumbo wa wazazi wao au?
  18. B

    Asilimia 90 ya Watanzani Wamejikuta tu.........

    Mi naamini watanzania wana dini zao ambazo zipo akilini mwao! Wazungu waliposema ni za kishenzi, tumedharau dini zetu asilia na kupenda umagharibi na umashariki! Alyeleta thread hii ana akili, tupate mawazo yakinifu ya wana Jf!
  19. B

    Elections 2010 Je picha hizi zaonyesha ushindi Igunga?

    This time ht mchakachue tupo na nyinyi mpk last drop, possbly hujui ukombozi wa mnyonge mwny hk uko kwny hatua za mwisho, someni majira ya nyakati!
Back
Top Bottom