Search results

  1. M

    Pinda awaomba radhi Wakatoliki

    pole sana kanisa katoliki linautaratibu wake, waliotengwa hawajazuiwa kwenda sehemu yoyote ya ibada ila si katoliki, kama wanafikili kanisa katoliki linahitaji wingi wa watu kujaa katika makanisa yake wamepotea, linahitaji wafasi wanaofata utaratibu, na linamisimamo yake. narudia tena halihitaji...
  2. M

    Tujikumbushe tulipotoka....

    hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi
  3. M

    Balozi Maajar and REX Attorneys

    inauma lazima tujuwe, kodi zetu jamani, Mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki Africa
  4. M

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    Na bado atakibilia uhamishoni, maana asipoangalia nchi itakuwa na giza siku zote TANESCO haieleweki
  5. M

    Polisi Z`bar wayapiga stop maandamano ya waumini wa Kanisa la Anglikana dayosis Z'bar

    Jipeni moyo mtashida, Mungu akiwa upade wenu ni nani aliye juu yenu?
  6. M

    Usafiri kafili ....wakat wengne wanasafiri kwa ndege na magar ya mamillion ya pesa...

    huyu, alikuwa anataka awapelekee kwao picha kuwa siku hizi anaendesha basi kubwa, si unajua tena mambo ya vijijini
Back
Top Bottom