Search results

  1. J

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Pole sana kwa hilo. Kaza roho halafu utafute tu namna ya kuachana na huyo jamaa kwa kuwa hamna namna nyingine.
  2. J

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Matokeo rasmi ya kura ya maoni Nyamagana Wenje 168 Masagati 32
  3. J

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    ???????????????????????????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ............................
  4. J

    Edward Lowassa special thread

    Njaa ya kichwa ni mbaya sana kuliko ya tumbo!
  5. J

    CCM chali Rorya!

    Ni kwamba baada ya CCM kugaragazwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji Rorya hasa kwenye mamlaka ya mji mdogo Shirati wenye mitaa/vitongoji 9 ambapo CHADEMA walibeba mitaa 7 na CCM kuambulia mitaa 2 ndipo CCM Rorya walitangaza bifu na walimu Rorya kuwa ndo wamechangia ushindi...
  6. J

    CCM chali Rorya!

    Hongera Kamanda Mwl. Jared Mwanga kwa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) wilaya ya Rorya! Hii ni dalili tosha kabisa kwamba ukombozi unafika Rorya siku si nyingi. Na huu ni ujumbe na salaam kwa magamba wote wa Rorya. Salaam zimfikie Lakairo na Genge lake...
  7. J

    Uteuzi wa wabunge: Mkosamali aomba muongozo wa spika

    Nchi haina President!
  8. J

    Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    Lowassa ni janga la Taifa!
  9. J

    Kikao cha 8, mkutano 19, Bunge la 10, maana yake nini? Soma ufafanuzi wake hapa

    Aweda ebu fafanua vizuri kwenye mtiririko huu;: Bunge la 1. 1960 - 1965 2. 1965 - 1970 3. 1970 - 1975 4. 1975 - 1980 5. 1980 - 1985 6. 1985 - 1990 7. 1990 - 1995 8. 1995 - 2000 9. 2000 - 2005 10. 2005 - 2010 11. 2010 - 2015 12. 2015 - 2020. Kwa nini hili Bunge 2010 - 2015 ni la 10...
  10. J

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

    Point of correction: Jimbo la Bukene liko kwenye Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega. Vinginevyo labda ubadilishe heading! Otherwise hongera sana Makamanda wa CHADEMA.
  11. J

    Waziri mkuu Mizengo Pinda awasili Bunda mjini Mara

    Baada ya watu wa Bunda kutangaziwa kuwa leo waziri mkuu Mh. Mizengo P. Pinda anakuja kuzungumza nao juu ya namna ya kutatua kero ya maji mjini Bunda, watu walikusanyika kwa wingi ili angalau wapate neema ya maji hasa kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Alipoanza kuhutubia na kuanza kwa kumsifia...
  12. J

    Red Brigade waliomtesa mlinzi wa Dkt. Slaa watelekezwa na CHADEMA!.

    Kitendo cha kuwa mwanaccm tayari unakuwa na mapungufu mengi tu kichwani. Yaani hapo bila aibu na wewe unaenda kupewa buku saba kwamba umefanya kazi ya uenezi wa chama! Haaaaaaa, kazi ipo Lumumba.
  13. J

    Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    Hongera sana Kamanda. Much Respect.....!!!!!
  14. J

    Mtera, Kondoa Kaskazini na Kondoa kusini : UKAWA ijifunge Mkanda

    Zinahitajika juhudi za ziada kwenye mkoa wa Dodoma kwa ujumla na majimbo yake yote kama tulivyofanya kwenye mkoa wa Tabora na sasa tuna asilimia zaidi ya 50 kushinda majimbo mengi Tabora mwaka huu.
  15. J

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Watu wenye misimamo kama Filikunjombe, Kangi Lugola na Mpina hawatakiwi CCM!
  16. J

    Serikali yagoma kusambaza kopi ya katiba inayopendekezwa

    Kwa nini watumie gharama nyingi kusambaza kitu ambacho tayari wananchi wameshaipigia kura ya HAPANA?
  17. J

    CCM i tayari kuushangaza umma

    Kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho. Mwisho wa CCM ni mwaka huu 2015!
Back
Top Bottom