Search results

  1. K

    Wewe huwa unaridhika ukisherehekeaje sikukuu?

    Kushinda nyumbani kwangu na familia baada ya kumaliza ibada
  2. K

    Mitaa korofi na hatari mikoani

    Bukoba ni uswahilini
  3. K

    Kufika kileleni mara nyingi ni kumridhisha mwanamke au ufundi ndio unahitajika zaidi?

    Je utajuaje kama umemfikisha , maana wanawake wengine hawasemi
  4. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mm nina imani na chama langu, timu ni nzuri sana tutafika mbali sana wadau
  5. K

    Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

    iPhone hawana simu fake, so hawezi weka hapo
  6. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We have completed the first step, CL qualification now we are going for the next step BPL championship, Hope we will make it. Bravo YNWA
  7. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Lucas hayuko vizuri, labda kwa sababu anacheza nafasi ambayo si yake. Mashambulizi yanaanzia I pande wake. Haya majamaa hayatabiriki hadi dakika 90 ndo nitapumua. Let's hope
  8. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Pengo Henderson linaonekana kabisa
  9. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila tatizo la mechi ya Leo ni kwamba tutakuwa na pressure sana, kama ilivyotokea kwa Sunderland, inabidi tucheze defensive game ndo tutaweza wafunga spurs. Ili litawezekana kwa kutumia midfielders watano ( Gerard, Lucas, Allen,Henderson na rahem) alafu pale nyuma akae sakho, strkel na Johnson...
  10. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mm kwa sasa nakaribisha wale mashabiki wanaotaka kujiunga Liverpool fomu zipo anayehitaji ani-pim. Kwa sasa tukishakaa pale juu nafikiri mpaka ubingwa. Kwakweli hadi raha go go go go liver YNWA
  11. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    You guys, ilishakuwa proved kwamba timu yoyote inayoongoza Wakati wa kipindi cha Christmas ndo inakuwa bingwa. Mark my words Liverpool Lazima ichukue kombe mwaka huu 2013/14.
  12. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Allen aonekani, inabidi awe replaced na Lucas, alafu stering ni mzuri pembeni pale Kati naona kachemka so inabidi awe replaced na coutinho. Kwa kufanya hivo Gerard atakuwa na mwanya sawia wa kutoa pasi . Otherwise hayo mabadiriko yakifanyika tutashinda hii game.
  13. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila Lucas nimuhimu angeanza badala ya Allen ukizingatia kwamba Allen anacheza vizuri sana akiingia kama sub, alafu instead of agger angecheza sakho maana wanapare vyema na sktrel, any way acha tuone mawazo ya mwalimu, YNWA, best lucky
  14. K

    Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

    Inasikitisha sana, ewe mwenyezi mungu warehemu watu wako. Maana hadi sasa hv kama hakuna habari zozote za kuhaminika basi wenzetu watakuwa wametangulia mbele ya haki.
  15. K

    Malaysian Airlines loses contact with Jet

    Ewe mwenyezi mungu wanusuru hawa wajakazi wako, amina
  16. K

    Tazama maisha ya wananchi Missenye yenye maprofesa zaidi ya 40 na matajiri wanaoheshimika dar

    Kijiji chote hakiwezi kuwa na nyumba nzuri, kwann usingechukua picha ya nyumba ya prof, na nyingine nzuri ulizoziona hapo? Shame on you.
  17. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mm Nasema tukiendelea hv ubingwa ni wetu, alafu beki yetu kwa mechi zinazofuata nafikiri itafanya vizuri maana jembe sakho na Lucas watakuwa wamerudi. YNWA liver to life
  18. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwaka huu ligi ni ngumu sana, ubingwa utaamuliwa na mechi ambazo watu hawatarajii kabisa, ona Liverpool imekaa juu ya arsenal na wako vizuri sana kwa sasa. Acha tuone kufika mwisho itakuwaje ila timu zote nne yaani arsenal, man city, Chelsea na Liverpool any one among of then can be 2013/14...
  19. K

    Jamani Tumbo Langu Linajaa Gesi Sana

    Kapime inawezekana una bacteria waitwao Helicobacter pylori, bacteria hawa wana uwezo wa kukaa kwenye acidic condition iliyoko tumboni. Na wanasababisha hiyo hari uliyonayo. Wanavyozidi kukaa wanaweza sababisha cancer ya tumbo and clinic ulcers
Back
Top Bottom