Search results

  1. chuma jr

    Ofisi inapangishwa

    Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua hata miezi 4 sio mbaya kila mwezi ni 70k ukifika nakupatia Laini zote za simu kasoro simu labda...
  2. chuma jr

    Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya Tigopesa

    Habar zenu waungwana nimekuja kutangaza fursa ya kazi kijana mwenye uzoefu wa biashara ya tigopesa wa kike au wa kiume awe anaishi Tabata anicheki, ofisi ipo Segerea. Kama una ndugu yako kikubwa awe muaminifu mwambie anichek malipo ni 50/50 commision kikubwa ajitume. Call 0627218573
  3. chuma jr

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote. asiwe mtu wa hasira au dharau. awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
  4. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  5. chuma jr

    Biashara ya movie centre ambazo hazijatafsiriwa

    Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha. Sasa nataka nijiongeze kwenye kuuza movie zisizotafsiriwa na zilizotafsiriwa sababu najua wanaopenda...
  6. chuma jr

    Videographer & Photographer Need a Contract Job

    Greeting, Do you need videographer who has enough experience in graphics design,photographic,videographic & editing? Worryout now you get the one and only videographer.if you have office am read to sign contranct long term or short term. Call my number or send text on whatsap i will show you...
  7. chuma jr

    NATAFUTA SEHEMU YA BIASHARA NIKODISHE

    HABARI wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta eneo dogo tu la kukodi kwa ajiri ya kufungua goli la POPCORN eneo liwe kwenye population nzuri ya watu kodi iwe ya baridi isiwe ya moto nikaungua then location ni dar es salaam sio mkoa mwingine tofauti na DAR then nina issue...
  8. chuma jr

    Naomba msaada wa set up au website salama kwa ajili ya GTA vice city for windows 7

    Habarini wakuu naomba msaada wa set up au website salama kwa ajiri nipate GTA VICE CITY FOR WINDOWS 7 kama una set up ile naomba niwekee hapa tafadhari au website niandikie hapa nikapakue wakuu
  9. chuma jr

    Fuata njia hizi kulinda wazo lako la biashara

    Kutokana na kutembea sana humu JF nimekutana na baadhi ya member wakiuliza njia za kutumia ili waweze kulinda mawazo yao ya biashara mimi kama member mwenzenu nilikuwa katika sintofahamu hiyo nilikuwa sijui wapi niende nikalihifadhi wazo langu kisheria hivyo nilipita humu lakini sikupata...
  10. chuma jr

    SAMSUNG C9 INAUZWA

    Samsung C9 plus inauzwa kwa 200,000 simu ni mpya kabisa haina tatizo lolote unaikagua ukiridhika ndipo unalipia. Mawasiliano ni 0746862603 nicheki tuongee biashara Specs Eternal memory 32Gb Back Camera 8megapixel Front 5megapixel Android version 7.0 Face unlock supported Exchange deal...
  11. chuma jr

    LAPTOP USED INAUZWA BEI YA JIONI TU

    Laptop used inauzwa ni Dell latitude 2100 processor ni 1.6GHz Windows 7 mashine ipo vizuri sana haina tatizo lolote hata kidogo mashine ni nzima kila sector unaikagua kabla ya kuichukua bei ni ya jioni kama nilivyosema naanza na Tshng 200,000/= negotiable unaweza kuleta ofa yako ikilipa...
  12. chuma jr

    Naomba muongozo kuhusu App

    Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani mmiliki atazipata na ni njia zipi ambazo mmiliki anatakiwa azitumie ili kujipatia faida kupitia hiyo app...
  13. chuma jr

    MUONGOZO KUHUSU APP

    Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani mmiliki atazipata na ni njia zipi ambazo mmiliki anatakiwa azitumie ili kujipatia faida kupitia hiyo app...
  14. chuma jr

    Natafuta chuo au sehemu ya kupata mafunzo ya UDJ

    Habari zenu wana jamvi lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwamba nina tafuta ujuzi wa kutumia PIONEER vizuri ili niweze kuwa dj sasa ni wapi nitapata mafunzo hayo na pia uhakika wake wa ajira upo vipi wakuu? Msaada wenu tafadhali
  15. chuma jr

    FURSA KUTOKA HELPING HANDS INTERNATIONAL

    H2i NI NINI?? H2i (Helping Hands Interntional) ni Taasisi isiyo ya Kiserikali yenye dhumuni kuu la kuweka tabasam kwenye nyuso za watu wasiojiweza na wale ambao ni wanachama. ⚡Haiuzi wala kununua bidhaa yoyote. ⚡Ina husika na kutoa huduma tu. ⚡ Ni ya kuamimika na yenye uhakika Inahitaji...
  16. chuma jr

    Natafuta kaz

    mm ni kijana mwenye umri wa miaka 18 natafuta kaz kwenye ofisi au stationary yoyote kwani nina uwezo wa kutumia computer bila wasiwasi kwa makazi napatikana daresalaam contact zangu ni 0717047978 nipo makini na kazi
Back
Top Bottom