Search results

  1. chuma jr

    Ofisi inapangishwa

    Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua hata miezi 4 sio mbaya kila mwezi ni 70k ukifika nakupatia Laini zote za simu kasoro simu labda...
  2. chuma jr

    Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya Tigopesa

    Habar zenu waungwana nimekuja kutangaza fursa ya kazi kijana mwenye uzoefu wa biashara ya tigopesa wa kike au wa kiume awe anaishi Tabata anicheki, ofisi ipo Segerea. Kama una ndugu yako kikubwa awe muaminifu mwambie anichek malipo ni 50/50 commision kikubwa ajitume. Call 0627218573
  3. chuma jr

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote. asiwe mtu wa hasira au dharau. awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
  4. chuma jr

    Unanishauri nini mimi dereva ninaeanza kuendesha Uber na Bolt?

    Kuna mzigo mtaani unaitwa Zuzu hiyo ni app ya kuchezesha hizo app zao zikuletee wateja unaweza ukawa k/koo msimbaz lakini uka cover mpak posta mpaka buguruni kigogo yani ukachukua large area mtu akirequest anakupata wewe kwanza hata akiwa mbali vp ila awe kwenye hizo location ambazo umezichagua...
  5. chuma jr

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Kaka kama ni mkristo nadhani utakuwa ushaisikia sana hii kauli ya petro "Tukisema hatuna dhambi twajidanganya na wala kweli haipo ndani yetu hivyo yatupasa kutubu kila wakati" sina hakika kama nimequote vyema ila huo mstari upo hivyo hakuna mtu asiye na dhambi hata mchungaji mwenyew hali ya kuwa...
  6. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Mwamba huyu hapa umefafanua kwa weledi sana bro shikrani sana.
  7. chuma jr

    Tupeane muongozo wa biashara ya Photo & Video Production

    Mkifanikiwa kufungua ofisi zenu videographer wa kukodishwa nipo hapa nafanya editing na kushika camera pia bila kusahau music video pia mimi ni director uzoef wa miaka minne kwenye tasnia pia nawakaribisha wale ambao wanapataga connection za kaz unaweza ukaichukua kaz kisha ukanichek ukanikod...
  8. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  9. chuma jr

    Natafuta watu wa kujitolea kwenye NGO

    Kivipi mkuu sijakusoma hapa
  10. chuma jr

    Natafuta watu wa kujitolea kwenye NGO

    Mbona hii issue ya child right naona tayari msanii shetta anafanya huoni kama utakuwa unafanya marudio au ni katika kuongeza nguvu mkuu?
  11. chuma jr

    Biashara ya movie centre ambazo hazijatafsiriwa

    Nitapambana nao mdog mdog kaka
  12. chuma jr

    Biashara ya movie centre ambazo hazijatafsiriwa

    Mtandao gani wanatoa unlimited internet mkuu na site zipi ninaweza kupakua movie kiurahisi
  13. chuma jr

    Biashara ya movie centre ambazo hazijatafsiriwa

    Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha. Sasa nataka nijiongeze kwenye kuuza movie zisizotafsiriwa na zilizotafsiriwa sababu najua wanaopenda...
  14. chuma jr

    Nafanya biashara ya Miamala. Naombeni ushauri wenu

    Mkuu mimi niko na uzoef kwa hii biznes ingawa sijawah ajir mtu ila nishawah kuajiriwa before kujiajir na ni the same biznes but diferent location hii biashara inataka kwanza ulinzi wa Mungu kwa iman yang ila kama unaamini kwenye kuroga bas roga vya kutosha usizembee kwenye urogaj wako na kama...
  15. chuma jr

    Videographer & Photographer Need a Contract Job

    Greeting, Do you need videographer who has enough experience in graphics design,photographic,videographic & editing? Worryout now you get the one and only videographer.if you have office am read to sign contranct long term or short term. Call my number or send text on whatsap i will show you...
  16. chuma jr

    NATAFUTA SEHEMU YA BIASHARA NIKODISHE

    HABARI wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta eneo dogo tu la kukodi kwa ajiri ya kufungua goli la POPCORN eneo liwe kwenye population nzuri ya watu kodi iwe ya baridi isiwe ya moto nikaungua then location ni dar es salaam sio mkoa mwingine tofauti na DAR then nina issue...
Back
Top Bottom