Search results

  1. R

    Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Umenena vyema. Kwa ufupi BOT ni watch dog wa taasisi zote zinazo jihusisha na biashara za kifedha.
  2. R

    Msaada wa jinsi ya kupata Bank Statement

    Kwa ufupi zile nchi ambazo upatikanaji wa Visa zake ni ngumu sana wa nafuatilia saana. US na UK zikiongoza. Na ikidhihirika umepresent fake documents unapigwa ban. Usije sema hujaonywa.
  3. R

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Umenikumbusha mkuu. Huu wimbo walikuwa wanauimba sana kwenye kipindi cha Jahazi hao ' Ma-comred in arms' Gardner na Kibonde
  4. R

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Kingine a nacho haribu amani ya familia ni kusema Mama yako au ndugu yako ndiye mchawi wako. Na mbaya zaidi anasema lazima na yeye auwawe (yaani yeye Dominic, ndiye atafanya maombi ya kumuua). Kweli serikali amkeni mapema zuia utapeli wa wazi wa huyu Dominic.
  5. R

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Hata huko ni Majanga mfano mke = nke
  6. R

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Madam, tusaidie kwa kuandika sentensi ukitumia neno hilo 'aghalabu'. Tafadhali, i kwani wengi tunalitumia vibaya
  7. R

    TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

    Kwa kweli mimi sijui sababu mimi ni wa upande wa pili
  8. R

    TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

    Kuminya, Kukandamiza tumbo kwa nguvu ili kilichopo kitoke. Hii ni pamoja na kuvuta na kukunja viuongo vya mwili ili vilegee. Ndio kukamua niliko maanisha. Madame
  9. R

    TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

    Kama kazimia tu hajafa, basi tendo la kumkamua Lita saidia sana kum maliza. Wataalam wa afya ya binadamu watusaidie hapo.
  10. R

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    If so, together we stand. No ill feelings bro.
  11. R

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Nikusahihishe kidogo mkuu. Ethiopia si nchi ya Kiarabu, ni kama sisi Tanzania tuko kundi moja hata kama shirika lake la ndege lina fanya vizuri.
  12. R

    Rais Samia akutana na rafiki yake waliyesoma shule ya Msingi na sekondari

    Huyo Dulla ndiye anafaidi mema ya nchi hii
  13. R

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Siyo taratibu mkuu. Kubali tu kuwa walikosea au walivurunda simple as that. Tumewaona Marais wote 5 waliopita wakiingia Kanisani na kutoa sadaka bila kuona tendo alilolifanya huyo askari.
  14. R

    Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

    Hata mimi nimeiona. Ila utakuta huko Bank ana proper signature
  15. R

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Ukisha kufa wala hutaogopo Madame B. Ukiona unaogopa kufa jua bado uko hai na akili yako iko timamu.
  16. R

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Pamoja na mwendo kasi wa madereva wa mabasi na kutokuwa waangalifu, pia kuna swala la warning signs hasa magari yanapo haribika barabarani. Utakuta hawawezi hizo warning signs za maana, utakuta wanaweka majani/manyasi umbali mfupi sana toka gari lililo haribika. Ni muda muafaka malori na mabasi...
  17. R

    Wanaume mnakera sana

    Hao ni kama maisha ya kupe ndugu yangu, ng'ombe au mnyama akifa chap-chap wanahamia kwa mnyama mwingine aliye hai. Life goes on.
Back
Top Bottom