Search results

  1. L

    nyumba Tegeta

    habari wakuu. Natafuta nyumba ya kupanga chumba na sitting room na choo chake, maeneo ya Tegeta pls, kwa anaefahamu msaada tafadhali
  2. L

    kubadilishana simu,nakupa nokia e71

    sorry e71 ss hv ni bei gani mkuu
  3. L

    msaada

    Ok Gefu nasikia ukitoka ktk hali hiyo kizazi kinakuwa wazi hivyo kuna uwezekano mkubwa wa ku consive tena.
  4. L

    msaada

    Kwa kuwa sio dk, naogopa kukuuliza swali la ufahamu. Thanx though
  5. L

    msaada

    Thanx Gefu for quick reply.
  6. L

    msaada

    habari wakuu. Mdg wangu kapata miscarrage, na akasafishwa anaendelea vyema. Je ni muda gani anatakiwa upite ndipo anaweza kukutana na mumewe tena. Thanx indeed
  7. L

    P2

    habari ndugu
  8. L

    Wanaume wakurya!

    wanaupendo sana
  9. L

    shule Morogoro for kindergaten

    I need those with cost effective with good quality. thanx thoo
  10. L

    shule Morogoro for kindergaten

    wakuu heshima kwenu. Naomba msaada kwa anaejua wapi ntapata shule kwa ajili ya mtoto wangu ana 5yrs. shule nzuri na nikijua ada kwa mwaka nitashukuru sana. Asanteni kwa msaada
  11. L

    Majibu ya swali la akinadada: Umenipendea nini?

    nimependa makengeza yk ka unarembua kumbe nachoro
  12. L

    Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

    Hahahahaha umenitoa machozi kwa kicheko
  13. L

    Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Hahahaah Gefu basi na mie nimefungasha huku nyuma nakuja
  14. L

    Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Ooops. Sorry kwa jamaa yk. Nishasaidika mkuu. Tena hapa2 dk 0
  15. L

    Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Duuu kumbe wahanga wa haya makitu tulikua wengi. Polee hyo buku tano ukiitaja kibongo2 unaiona ndogo ila ukisema Dola 3. Bonge la mkwanja
  16. L

    Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Hahahaha wasalimie huko ugenini. Mie bado nipo2 kwnza Gefu
Back
Top Bottom