Search results

  1. Encryption

    Naomba kufahamishwa kuhusu Toyota C-HR Hybrid

    Wakuu ninaomba kuzifahamu kiundani hizi gari aina ya Toyota hybrid C-HR. Hasa kwa mazingira yetu ya Kitanzania inaweza stahimili? Ubora wake, na matatizo yake
  2. Encryption

    Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

    Mfanyabiashara Fred Vunjabei ameandika hadithi fupi kuhusu maisha yake ya kibiashara na rafiki yake Frank Knows. Ameandika hivi:- [emoji117]Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na duka moja dogo sana Kariakoo (Goli), baada ya kujikusanya tulikubaliana na rafiki yangu Frank Knows twende kujaribu...
  3. Encryption

    Mashimo ya barabarani

    Hawa jamaa zetu akili zao wanazijua wenyewe[emoji23][emoji23] yaani wameona mashimo yamekaa kwa muda mrefu bila mamlaka husika za huko kwao kuchukua hatua, wakaona ni bora wapande migomba[emoji23][emoji23] Kwako Mwalimu Kashasha
  4. Encryption

    Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

    Wakuu habarini za usiku huu, Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni koti ni lilelile. Kiitifaki limekaaje hili wakuu?
  5. Encryption

    Mtangazaji wa ITV kumchomea mfanyakazi wa kampuni ya ujenzi

    Mfanyakazi wa makampuni ya IPP BENJAMINI MZINGA amemchomea mfanyakazi wa kampuni ya ujenzi kwa kuripoti tukio la kupewa rushwa ili asitoe taarifa ya wafanyakazi wa kampuni hiyo ya ujenzi kuidai kampuni hiyo. My take - yawezekana njemba ananyemelea uteuzi wa kale ka wilaya kamoja ka pale...
  6. Encryption

    Dada zetu kama humpendi mtu basi usimuumize kwa makusudi

    Dada zetu kama mtu haumpendi basi usimuumize kwa makusudi. Leo jamaa yangu kamuomba picha dem wake ambaye yupo mkoa kamtumia picha hii. Ikumbukwe mwamba alikua anakula papuchi Kwa zaidi ya miaka miwili. Dada zetu mtuhurumie.
  7. Encryption

    Ardhi inameza vitu vingi. RIP Masogange...

    R.I.P masogange Siku zote nilikua nikitafuta picha sahihi za kukutakia mapumziko mema Mama. Hakuna wakuziba pengo lako Mama[emoji26][emoji26]
  8. Encryption

    Lindi: Akata sehemu zake za siri ili amtumikie Mungu

    kijana mmoja wa kiume wa huko Kitangari mwenye umri wa miaka 33 amejikata uume pamoja na kidole (cha shahada) ili kumuondolea mambo mengi na kumtumikia Mungu. HABARI KAMILI ITAZAME VIDEO. Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Salim Mpika, Mwenyeji wa wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi, ambaye ni...
  9. Encryption

    Mwaka 2018/2019 hakuna kabisa ugonjwa wa kipindupindu Tanzania tofauti na miaka ya nyuma

    Habarini za kuamka wakuu, Kwenye hoja moja kwa moja, Kitu ambacho nimekigundua hivi karibuni ni kwamba kwa mwaka 2018/2019 hakuna kabisa ugonjwa wa kipindupindu tofauti na miaka ya nyuma. Ninachokiamini ni kwamba miaka ya nyuma Watanzania wengi tulikua wachafu na baada ya Mhe. Rais wa JMT...
  10. Encryption

    Dawa ya Mke msumbufu

    MKEO AKIANZA JEURI, MPANDISHE CHEO AWE MKE MKUBWA 🤣🤣🤣🤣🤣
  11. Encryption

    Kwanini chumvi inaitwa dawa ya jiko usiku?

    habari za usiku huu wakuu, Ninaomba kufaham ni kwanini ukifika usiku ukienda dukani kununua Chumvi unatakiwa kusema DAWA YA JIKO na sio Chumvi??
  12. Encryption

    Picha: Madereva wetu Tanzania

    yajayo yanafurahisha
  13. Encryption

    MAISHA YA ‘PAPO HAPO’ NI UONGO

    …………. Bila shaka umeshakutana sana na matangazo kama haya: • Jishindie shilling milioni 50 papo hapo • Gari ya shilingi milioni 50 inakungoja wewe. • Waweza kuwa milionea leo. • Nk, nk …………. Siku hizi kumeanza kujengeka tabia ya kuhimiza watu kucheza bahati nasibu kwa nia ya kushinda mamilioni...
  14. Encryption

    Ukijitambua utafika mbali sana

    UKIJITAMBUA UTAFIKA MBALI SANA ………….. Maisha yako, yamo mikononi mwako KABISA. LAKINI, katika ulimwengu huu, ni rahisi sana kuyapaki pembeni, Ukaanza kuishi maisha ya watu wengine. …………. Fikiria mtu ambaye kutwa kucha: Anavaa kama staa fulani, Ananyoa kama staa fulani, Anahangaika kwenda na...
  15. Encryption

    Christiano Ronaldo anaacha mzigo mkubwa kwa kizazi kijacho

    Alfredo Di Stefano ni mmoja kati ya watu wanaoheshimika sana katika club ya Real Madrid. Kwa miaka yote 11 aliyodumu akiwa mchezaji wa Real Madrid, Di Stefano alicheza kwa mafanikio makubwa sana. Yeye pamoja na Francisco Gento na José María Zárraga ndio waliobeba mafanikio makubwa waliyoyapata...
Back
Top Bottom