Search results

  1. anjnr

    Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
  2. anjnr

    Naomba Msaada namna ya kudownload vitu kwenye torrent sites

    Habari wakuu.. Naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu vya torrents. Natanguliza shukurani
  3. anjnr

    Msaada namna ya kutunza akiba

    Naomba msaada kwa wachumi na Wajasiriamali mliopo humu ndani. Ninapanga kuwa naweka akiba kidogo kidogo benki kutokana na kipato kidogo nachokipata kwenye biashara yangu ndogo. Plan yangu ni ku-save 30% ya mauzo yangu ya kila siku. Kinachonitatiza hapa ni je hiyo asilimia 30 naikokotoa kutoka...
  4. anjnr

    "The Camera can't be started", naomba msaada

    Ni ujumbe unaotokea kwenye simu yangu kila napojaribu kufungua app ya camera, ni simu aina ya blackberry Q5. Wakati wote nimekuwa nikitumia line ya voda, kabla tatizo hili halijaanza siku 2 zilizopita niliweka line ya halotel kwa muda fulani..sijui kama hii ndiyo yawezakuwa sababu lakini hata...
  5. anjnr

    Naomba msaada kupata jf app kwenye simu ya blackberry Q5

    Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu wa namna ya kuipata JF application kwenye blackberry Q5. Tofauti na Aina zingine za blackberry nilizowahi kutumia, hii simu haina JF app kwenye blackberry world. Pia ina Amazon app store lakini nimetafuta JF sijaipata. Kama kuna anayefahamu namna ya kuipata...
  6. anjnr

    Msaada Betri original ya Blackberry 9220

    Naomba kama kuna anayefahamu wapi naweza kupata betri original ya simu blackberry curve 9220. Tangu ilipochoka betri iliyotoka na simu, nimebadilisha betri mara mbili na baada ya muda mfupi tu zinachoka. nipo dar kwa sasa
  7. anjnr

    Msaada kuhusu MKV player

    Samahani waungwana, nimejaribu kutafuta humu kama kuna majawabu sijapata. Hivi hizi video za format ya mkv files mfano movie nyingi za ki-nigeria kwenye youtube nikidownload haziplay na media player nilizonazo kwenye pc yangu, naomba kama kuna anayefahamu namna ya kufanya anisaidie. natanguliza...
  8. anjnr

    Naomba msaada jamani Software ya Webcam

    Msaada waungwana, yeyote mwenye software ya camera kwa ajili ya laptop. computer yangu ni dell inspiron 15. windows ilileta shida nimeinstall window upya naombeni software kwa ajili ya camera. Natanguliza shukrani
  9. anjnr

    Ilembula Hospitali hadi leo tar 22 Feb hamjalipa wafanyakazi mshahara, wanaishije?

    Inasikitisha wakati huu ambapo watumishi wengine kwa kawaida wanasubiri kulipwa mshahara wa mwezi huu wa Februari, Ilembula hospitali hawajalipa wafanyakazi mshahara wa Januari. Mnategemea hawa watu wanakula nyasi? Huu ni unyanyasaji,
  10. anjnr

    Hii Tanzania Loans ni taasisi inatambuliwa kweli?

    Habari wadau, nimeona inahamasishwa kule facebook na mtu mwenye id na picha ya mh zitto kabwe kwamba watanzania wachangamkie mkopo unaotolewa na taasisi hii na taarifa zaidi kuhusu hii taasisi ya fedha inapatikana hapa: www.tanzania-loans.wapka.mobi Kama kuna yeyote mwenye ufahamu na hiki kitu...
  11. anjnr

    Tigo wameanza tena ule ujinga wao

    Ukimpigia mtu kama hapatikani badala ya kukuambia hapatikani wanakuletea kwanza matangazo yao ukimaliza kuyasikiliza ndipo unaambiwa unayempigia hapatikani. Mimi kama mteja hii inanikera jamani.
  12. anjnr

    Nisaidieni watumiaji wa blackberry

    Kila nikijaribu kufungua website ye wizara ya afya, Ministry of Health and Social Welfare haifunguki, nimejaribu kutumia browser ya simu na hata opera mini niliyo-install haifungui. Website zingine kama wizara ya elimu, necta, inafungua. Naomba kujua kwa wazoefu labda kuna settings haziko sawa...
  13. anjnr

    Kiwanja kinauzwa Vwawa - Mbozi, pazuri kwa makazi

    Kipo maeneo ya Ichenjezya karibu na TAZARA, kimepimwa(surveyed) na hati ipo. Ukubwa ni 100 kwa 50 ft, bei ni maelewano. Mawasiliano: 0786 358 524. Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  14. anjnr

    Msaada Kuhusu Website ya Wizara ya Afya Tanzania

    Habarini jamani! Napata shida kufungua doc zilizowekwa kwenye website ya wizara ya afya zilizowekwa siku za karibuni, napata ujumbe HTTP 404 Not Found. Kwa wataalam hii maana yake nini? Nimeshindwa kujua kama ni tatizo la komputa yangu au la. Nahitaji kuisoma hiyo document ya "KUPANGIWA KAZI...
  15. anjnr

    JF Mobile Haifunguki katika simu yangu

    Ni kama siku tatu au nne sasa napata tatizo la jf app kwenye simu yangu kila nikifungua inakataa na kuleta message kwamba "check with the forum administrator" sijui hii shida ipo kwangu tu au ni tatizo la system? Naombeni msaada. Natumia Huawei Ideos ya android platform.
  16. anjnr

    Hili tatizo la idm jamani, Msaada tafadhali

    Samahani waungwana, naomba kujuzwa, hivi hili tatizo la idm(internet download manager) kuleta kisanduku cha kuandika username na password kila napotaka kudownload file ni kwangu tu au ndio utaratibu wameuanzisha sasa? nimejaribu kufuata ushauri mbalimbali wa wataalam hapa jukwaani bila...
  17. anjnr

    Msaada jamani ku-install software ya webcam

    Naombeni msaada waungwana namna ya kurudisha software ya webcam katika minilaptop yangu ya samsung N150 plus. Mwanzo nilikuwa nikitumia cyberlink youcam kwenye windows 7. Niliondoa wimdows 7 nikaweka wimdos 8 siku za karibuni lakini nimeona windows 8 siyo user friendly kwa notebook yangu kwahiyo...
  18. anjnr

    Mwanahalisi lashinda kesi.

    Gazeti la mwanahalisi limeshinda kesi yake na mlalamikaji ameamriwa na mahakama kulipa gharama za kesi. Chanzo: Tanzania Daima toleo la leo. Habari yenyewe hii hapa: By Buchanan, KESI ya kukashifu, iliyokuwa ikilikabili gazeti la MwanaHALISI, imetupiliwa mbali na mdai ametakiwa kulipa...
  19. anjnr

    Asilimia 82 ya wanafunzi wamefeli mtihani Zimbabwe!

    82% ya wanafunzi nchini Zimbabwe wamefeli mitihani yao na miongoni mwa sababu zilizotajwa kuchangia ni uhaba wa walimu. Inasemekana zaidi ya walimu 35,000 wamekimbia nchini humo kwenda kufanya kazi nje ya nchi. Source:BBC asubuhi ya leo. My take:Hapa kwetu wastani wa kufaulu ungepunguzwa ili...
  20. anjnr

    Bei ya chini kwa Gari la kawaida la Kutembelea, yaweza kuwa kiasi gani?

    Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?
Back
Top Bottom