Search results

  1. anjnr

    WhatsApp GB imekumbwa na kitu gani?

    Clear cache....,
  2. anjnr

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Mturudushie JUKWAA LA WAKUBWA
  3. anjnr

    Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    Nimewahi kupanda basi linaitwa Lucky Star, tulifika Ubungo saa 8 mchana likitokea Mby....
  4. anjnr

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Hii ni very confusing...., kwahyo kumbe napotembea kwenye mizunguko ya kawaida mtaani kwenye hizi speed za 30, 40, taa inatakiwa iwake kwenye dashboard...., nikiwa highway kwenye maspeed 80 huko ndo taa izimwe hapo kwenye dashboard..., ndivyo navyoelewa sasa. Na je nini madhara ya kufanya...
  5. anjnr

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Daaa..., kwahyo tutembee taa ya O/D ikiwa inawaka kwenye dashboard au ikiwa imezima mkuu....?
  6. anjnr

    Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Daaaa, hili linawezekana aisee..., kwahyo kuna namna ya kubadilisha?
  7. anjnr

    Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Okay, kama muda gani hivi.., ni siku ya nne leo
  8. anjnr

    Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Ndiyo hakipo active
  9. anjnr

    Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
  10. anjnr

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Recommendation ya fluid kwenye gari yangu naipata wapi?
  11. anjnr

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Duuu, kumbe hydraulic ukiwekewa fake ina madhara hivi?
  12. anjnr

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Namna ya kupata hiyo engine nzuri sasa...., Mshana kukupata kwa PM, naona haiwezekani
  13. anjnr

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu, kumbe yaweza kuwa afadhali kutafuta engine kuliko kufanya overhaul, kwakuwa gharama kama vile zinalingana....
  14. anjnr

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Engine nzuri ya Carina Si naweza kupata kwa bei gani?
  15. anjnr

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nina Carina si, baada ya kubadilisha oil seal gari inatoa moshi sana ukipiga silence... Fundi kanishauri kufanya overhaul, kuna mtu kaniambia ukifanya hivyo hiyo inakuwa siyo gari tena.., ushauri wataalam..
  16. anjnr

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Mnachotuchanganya wataalam kwenye hii Mada ni jambo dogo tu, ni wakati gani OD inakuwa ON, ikiwa taa inawaka kwenye Dash board au haiwaki??
  17. anjnr

    Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

    Nyie ndo mnasababisha upotevu wa bidhaa za afya huko vituoni na kupelekea stock imbalances
  18. anjnr

    Wanaigeria wanazidi ku take over katika industry ya porno

    Site ipi hiyo mkuu..., link?
Back
Top Bottom