Search results

  1. Abu Haarith

    Historia ya Ligi ya Mabingwa ya CAF (CAFCL)

    Historia ya Ligi ya Mabingwa ya CAF (CAFCL) ni kama ifuatavyo: Kuanzishwa (1964): CAFCL ilianzishwa mwaka 1964 na kuitwa awali Kombe la Vilabu Bingwa Afrika. Lengo lilikuwa kuwakutanisha mabingwa wa ligi za kitaifa barani Afrika. Muundo wa Awali: Katika awamu zake za mwanzo, mashindano...
  2. Abu Haarith

    msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Habari zenu wanajamvii, Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati nilikuwa natumia template fulani inaitwa korve ka siku nimekuwa nikipata views elfu 20 mpaka 50...
  3. Abu Haarith

    Al Ahly kukipiga na Mamelodi nusu fainali AFL. Nani atatinga fainali?

    Baada ya Simba kushindwa kufua dafu ugenini Al Ahly wapata nafasi ya goli la ugenini kanuni yaibeba Al Ahly mpaka nusu fainali ambapo anakutanishwa na wamba wa Afrika Kusini. Mamelodi waibuka kidedea baada ya kumpiga mpinzani wao bao 2-0 katika mchezo uliopita, Jana Mamelodi walishindwa kuona...
  4. Abu Haarith

    Msaada: huwa inachukua muda kiasi gani app kuwa published katika Play store

    Habari wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nime publish app ya blog yangu katika soko la google play store tangu asubuhi lakini mpaka sasa jioni haijakuwa published ipo draft na status yake ni kuwa in review. Je inaweza kuchukua muda gani kuwa published msaada, maana kipindi cha mwaka 2017...
  5. Abu Haarith

    Nahitaji kutengenezewa App ya android

    Habari waungwana nina blog yangu katika platform ya blogger inahusiana na michezo nahitaji app blog yenyewe hii hapa www.binruwehy.blogspot.com dm iko wazi pia mtengenezaji wangu namuomba awe na demo japo moja tu ili niweze kujiridhisha
  6. Abu Haarith

    Je, Seebait ni matapeli au wamefilisika!?

    katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi tuliangalie kwa undani kidogo kama tulivyoandika makala ya kuhusu kujiunga na kampuni ya matangazo...
  7. Abu Haarith

    Je' Seebait ni matapeli au wamefilisika!?

    katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi tuliangalie kwa undani kidogo kama tulivyoandika makala ya kuhusu kujiunga na kampuni ya matangazo...
  8. Abu Haarith

    Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

    Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
  9. Abu Haarith

    Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  10. Abu Haarith

    Ushauri nahitaji kununua Tecno W3

    asubuhi nimejipanga kwenda kununua simu aina ya tecno w3 naomba kujua bei yake wasije nipiga za mbavu pia naomba mnifahamishe vitu muhimu vya kuzingatia
  11. Abu Haarith

    HIGHLIGHTS Mbao FC 2 2 Mbeya City 13/10/2017

    Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 3, kisha Mbeya City wakakosa mkwaju wa penati dakika ya 5 kupitia kwa Mohamed Samatta.
  12. Abu Haarith

    Pesa zangu adsense wamezipeleka wapi msaada jamani

    habari za siku nyingi ndugu wa jf mimi ni blogger nipo na kablog kangu haka Zotekaliblog – The House of Entertainment News huwa napata mia ndogo ndogo namshukuru mungu miezi iliyopita nilipata U$D 100 na nikatumiwa fresh katika bank akaunti yangu lakini kipindi hiki nimepata u$d 122 na adsense...
  13. Abu Haarith

    Android App makini kwa habari za michezo katika lugha ya kiswahili

    ili kupata habari zote za Michezo! Usikose kujiunga na App ya Bin RUWEHY inapatikana play store kwa jina la Bin RUWEHY bonyeza hapa kupakua INSTALL
  14. Abu Haarith

    Jinsi ya kupika Magimbi (Eddoes) kwa nyama ya ng'ombe

    Vipimo Majimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7 Nyama ng’ombe ½ kilos Tangawizi ilosagwa 1 kijiko cha kulia Haldi (bizari manjano/turmeric) ½ kijiko cha chai Tui zito la nazi vikombe 2 Chumvi kiasi Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Safisha nyama kisha weka chumvi, bizari ya manjano, tangawizi mbichi...
Back
Top Bottom