Search results

  1. Bukanga

    Rai ya Mzee Aboud Jumbe kwenye Kitabu Chake Tuishi Bila Kubaguana

    Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais wa Tanzania kabla ya kushinikizwa kujiuzulu na chama mwaka 1984 kutokana na msimamo wake wa serikali tatu, ameandika pia...
  2. Bukanga

    Sabodo Akanusha Kuahidi Kuwekeza $5B Dodoma

    Kwa ufupi Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma. Dar es Salaam, Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha...
  3. Bukanga

    Uchambuzi wa Gharama za Kuhamia Dodoma Uliotolewa na Wizara ya Fedha

    Huenda zilipitishwa au zitapelekwa bunge lijalo ili ziidhinishwe!
  4. Bukanga

    Mkuu wa Majeshi Sudani Kusini ana Wake 38, Watoto 127

    Nimekutana na taarifa kuwa Mkuu wa Majeshi ya nchi changa zaidi barani Afrika Sudani Kusini Army Chief Malong ana jumla ya wake 38 na watoto 127... Bwana Malong analazimika kukodi mabasi mawili kupeleka watoto wake shule nchini Uganda... Nchini Sudani Kusini inasemekana ni kawaida kwa watu...
  5. Bukanga

    Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

    Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na...
  6. Bukanga

    Mahakama ya Rufani yaamuru Kesi ya Wasira na Bulaya isikilizwe upya

    Wafuasi wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini, Steven Wassira wamembwaga mahakamani mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Ester Bulaya wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika rufaa yao ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi yao. Wafuasi hao, Magambo Masato, Matwiga...
  7. Bukanga

    "Mvua ya madawati" yaanza kunyesha manispaa ya Kinondoni

    Kuanzia leo tarehe 04 july 2016,tumeanza kupokea madawati kutoka kwa wazabuni 11,waliopata kazi ya kutengeneza madawati,na kutakiwa kumaliza ndani ya kipindi cha wiki tatu. Hivyo manispaa ya kinondoni inarajia kupokea madawati kumi na sita elfu ( 16,000) huku muda waliopewa kutumia kwa...
  8. Bukanga

    Askari asiyempigia Mbunge Salute kukatwa mshahara

    Waziri amesema huko Dododma kuwa Askari yeyote atakayekutwa na hatia ya kukaidi kumpigia Mbunge salute atakatwa mshahara au kupewa adhabu kali zaidi ya hiyo... Waziri alikuwa akijibu swali la Mbunge. Sikujua kama wabunge nao wanapigiwa salute na mapolisi... Kwahiyo hata hawa wanaotumwa...
  9. Bukanga

    Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

    Kwa wale psycophant wa CCM mliodhani Mh. Rais kashamaliza kazi na kwamba wabunge wa upinzani hawana ufuasi na ushawishi kwa wananchi mnapaswa kujifikiria upya... Kuelekea mikutano mikubwa ya CHADEMA itakayorindima mkoa kwa mkoa wabunge wa chama hiki kikubwa cha upinzani wameshaanza kutengeneza...
  10. Bukanga

    PICHA: Wananchi Bunda wakusanyika nyumbani kwa Bulaya wakipinga kusimamishwa

    Wananchi wa Bunda wamekusanyika nyumbani kwa mbunge wa Bunda Mjini Esther Bulaya wakipinga hatua ya Bunge kumsimamisha Mbunge huyo..
  11. Bukanga

    Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    Rais kazungumza kuwa "Ni nchi hii tu ambayo mtu amepata div 4 alafu unakwenda chuo kikuu, alafu anasimama mwanasiasa anasema wasome tu." Ameyasema hayo katika hafla ya tuzo za Rais kwa wazalishaji bora viwandani. Chanzo: East Africa Radio
  12. Bukanga

    Makonda Aongoza Viongozi wa Serikali Kuhani Msiba wa W. Kabwe, atoa hotuba

    Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda leo akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Dar amesema kila mtu afanye kazi kulingana na nafasi yake na wajibu wake ili wasimtwishe mzigo marehemu Wilson Kabwe ambaye amekwisha kutangulia mbele ya haki abaki salama, Habari katika picha na video...
  13. Bukanga

    PICHA: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Akirejea Nyumbani kwa Miguu Baada ya Kusimamishwa

    Huyu Mheshimiwa DED akirejea nyumbani kwake kwa miguu baada ya kusimamwishwa kazi na Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa kudaiwa kulipa mishahara hewa kwa watumishi nane na kusbabishia Serikali hasara.... ==================== Kutoka Mo Blog: Mkurugenzi awakingia kifua watumishi hewa, kilichofuata na...
  14. Bukanga

    Waziri wa Fedha Awashukuru Wananchi Kumsikiliza

    Hizi hotuba za mawaziri wa Serikali ya Magufuli bado zinawashukuru wananchi kwa kuwasikiliza akiwa kajificha ndani ya jengo lenye sound proof, tunaomba waheshimiwa muondoe hicho kibwagizo kwani huku siye hatujuwi kinachoendelea.
  15. Bukanga

    DC Polepole aenda Supermarket na Kundi la Polisi

    Waungwana, Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi. Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna...
  16. Bukanga

    Madiwani Mbeya Wamnyima Wakili wa Halmashauri Suti

    Waungwana, Halmashauri ya jiji la Mbeya tangu kuanzishwa kwake ikiwa chini ya chama cha CCM ilikuwa ikitenga sh laki tano (500,000/=) kila mwezi kwa ajili ya suti za Mwanasheria wa halmashauri hiyo. Makadirio ya bajeti ijayo kifungu hicho kiliwekwa tena, kama mnavyofahamu Mkurugenzi na Mkuu wa...
  17. Bukanga

    Picha: Madhara ya Magufuli Kuwatishia Wakuu wa Wilaya/ Mikoa

    Wakuu, Katika hotuba yake na "Wazee" wa Dar, Rais Dr. John Magufuli alitoa tamko kuwa amechelewa kuteuwa wakuu wa Mikoa na wilaya mpaka hapo atakapojihakikishia kwa hawa waliopo kuwa wanaendana na "Kasi" yake. Isitoshe, Rais alimpongeza Mh. Makonda na kumhakikishia kuwa atakuwepo katika teuzi...
  18. Bukanga

    Rais Magufuli amteua Chagonja kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Katavi

    Kamishna wa Polisi Chagonja ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi. Rais pia amemteua Kamishna wa Polisi Clowding Mtweve kuwa katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza. Chanzo: EATV
  19. Bukanga

    MAHAKAMA YAMFUTIA KESI KAFULILA DHIDI YA D.C.

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma chini ya Hakimu Mfawidhi Silvester Kainda ametupilia mbali kesi dhidi ya David Kafulila iliyofunguliwa tangu mwaka 2014 kwa kosa mwaka 2013 kwamba alimdhalilisha D.C. wa uvinza wakati huo Bi Hadija Nyembo. Kwamba uamuzi wake wa kuagiza polisi kuchoma nyumba za...
Back
Top Bottom