Search results

  1. M

    Kutoka Bungeni Mbunge Shabiby Ashauri Bima ya Afya Itumike Serikali za Umma Pekee

    Mbunge huyu huwa namkubali sana.ANAONGEA UKWELI MTUPU mara zote. Hospitali za binafsi zinachangia sana kuiua NHIF. Pia baadhi ya wafanyakazi wa NHIF hula NJAMA na hospitali za binafsi kuiibia NHIF. NINI KIFANYIKE? 1.Serikali iimarishe hospitali za umma. 2. NHIF isitishe huduma kwa muda kwenye...
  2. M

    Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    Mtumishi wa UMMA huyo. Note: Mleta mada fikiri vzr na ufanye research ya kutosha kabla ya kupost mada.
  3. M

    Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Ni lazima. Serikali ifanye amendment sheria ya TLS ili kujiunga iwe HIARI. Na mawakili wawe huru kuanzisha chama kingine kwa mujibu wa katiba ibara 20. Ulazima huo ndo chazo cha wizi.
  4. M

    Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Ukaguzi huo ufanywe na CAG tu. Hao wengine ni WONGO mtupu. Internal auditor alikuwa wapi mpaka wizi huo utokee? Leo huyohuyo anakuja kukagua. Je atakagua kitu gani? Mtuhumiwa anajikagua! Plz CAG come to clean up the gangs/thieves/thugs at TLS. CAG only can do something relevant!
  5. M

    Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Hiyo 400,000 ya LAAC kulipa kwa LAZIMA kila wakili ilisababisha mawakili wengi kuacha kupractice. Mchango huo ulijaa SURA YA WIZI mtupu. Kuna watu pale TLS ni wezi wakubwa na hawataki kutoka. Ni ving'ang'azi kama KUNGUNI. Why? Kwa sababu kuna ULAJI MKUBWA SANA WA MICHANGO YA WANACHAMA. Ni...
  6. M

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    I don't care. Mimi natafuta pesa. Mambo ya dini na nini hayanihusu.
  7. M

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Wewe mleta mada ni MWONGO. Mimi ni mkristo lakini katika hili NAUNGANA na hao waislam. Tutapewaje chakula ambacho tunacho? Kule Mbeya kuna mcheke mwingi. Nyuma y msaada huu kuna AJENDA YA SIRI. Hizi NGO lazima ziwe controlled.
  8. M

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Apewe UBUNGE tafadhari [Kama nafasi za kuteuliwa bado zipo]. I hope that choice will make sense. It is humbly submitted. Stay tuned. By Tupa tupa Dodoma.
  9. M

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Masaa 3 ni Dar to Dom. Dar to Moro ni masaa 1.5. Siyo mbaya sana.
  10. M

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Pombe ya energy ipigwe marufuku
  11. M

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Mama yetu SAMIA safi sanaaa. Watu wanaenjoy life, wanafurahia maisha kwa mara ya KWANZA. WATU WANA AMANI SANAAA. Napendekeza IJENGWE SANAMU KUBWA SANA YA MAMA SAMIA DODOMA makao makuu ya nchi ili vizazi vijavyo vije vimuone. Raisi ajaye awe TENA mwanamke. Hawa wanaume inatosha.
  12. M

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Itakuwa bora zaidi kama vitengo vya customer care kwenye taasisi za umma vikashikwa na PRIVATE SECTOR. Mtumishi wa umma na customer care ni sawa na paka na panya.
  13. M

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    #Mwakyembe ARUDI wizara ya Mawasiliano. #Tunamtaka MWAKYEMBE. We want somebody who knows well that sector and more proactive and creative as well.
  14. M

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Kuhusu namba za simu zilizonyingi ni FAKE. Ukipiga hakuna anayepokea au akipokea unapata majibu ya HOVYO. Wanaziweka kwaajili ya kuwafurahisha mabosi wao. KATIKA hili la namba za simu TUWAPONGEZE TANESCO. Ukiwapigia wanakuelekeza vizuri. Namba za simu za TANESCO tu ndo msaada.
Back
Top Bottom