Search results

  1. N

    Je, hukumu za mahakama zetu zinaendana na uhalisia wa makosa?

    Habari zenu, Katika pita pita zangu za magazetini huwa na soma habari za yalijiri kwenye mahakama zetu, mara nyingi nakutana na habari nyingi ambazo hukumu zake nahisi kama ni kukomoa na sio tena kurekebisha hawa wakosaji ili waweze kurudi tena kwenye jamii kama watu walioelimika na kuitumikia...
  2. N

    Msimamo wa serikali ni nini??

    Habari zenu wana bodi. Naomba kuuliza kuhusu msimamo wa serikali kuhusu "Ushoga" maana nimeangalia mitaani hali inazidi kuwa mbaya na tatizo jingine ni kwamba raia hawajui nini cha kufanya maana kuna sheria ya kukataza kwa kifungo kikubwa tu ila hakuna watu wa kusimamia hii sheria. Mkuu wa...
  3. N

    Kwanini Unaogopa Kufa?

    Jamani wadau katika pita pita zangu nilijikuta katika mjadala mkali kuhusu kifo, Mjadala ulikua hivi: 1. Je watu wanahofia kufa kwa sababu ya uoga wa kutojua mbele kuna nini? (motoni na peponi) au 2. Watu wanaogopa kufa kutokana na maisha anayoacha ( familia,marafiki) Sasa wadau naomba...
  4. N

    CHROME OS Wabongo tutaweza............

    Samsung Series 5 Google Chromebook, a hard-drive free laptop run on Google's new Chrome OS, which stores all your content online in the cloud.
  5. N

    Langa Aongelea Uteja Wake

    Msanii Langa ameelezea jinsialiyokuwa mteja kwa kipindi cha zaidi ya miaka 6 , ambapo uteja ulimradhimu kukimbia nyumbani,kuwa mwizi (kibaka) mtaani na pamoja na kuishi ghetto. Langa aliongea hayo kupitia online show ya Cheusi Dawa TV inayoongozwa na Fid Q,ni wakati sasa jamii kujua kwamba...
  6. N

    New Joint From R.O.M.A (Rhyme Of Magic Attraction)

    Msanii anayefanya bongo hip hop r.o.m.a ametoa nyimbo mpya ambayo bado hajaipa jina,ila ni nyimbo nzuri sana yaani hajatafuna maneno. Kawa diss masharobaro,CCM na huduma mbovu katika jamii. NB: Unaweza sikiliza kupitia link zifuatazo Roma - Mzalendo Halisi(BONGO HIP HOP) - BONGO STAR LINK
  7. N

    Sugu launch antivirus vol 1

    Hebu cheki video clip za concert ya sugu na vinega. http://www.bongo5.com/news/entertainment/8304-anti-virus-yazinduliwa
  8. N

    For your eyes only

    Remember to protect yourself
  9. N

    Protect your valuables!

    Remember to keep yours safe!!!
  10. N

    Mwaliko jf

    Heshima mbele ! Naomba kuchukua fursa hii kuomba kuungana nanyi wanajamii ili kuelemishana na kuchangia hoja mbalimbali zinazolenga jamii inayonizunguka na Tanzania kwa ujumla. Natanguliza shukhurani zangu za dhati kwenu wote wenye nia thabiti na ushupavu wa ku 'dare to talk openly'. Regards
Back
Top Bottom