Search results

  1. C

    Ileje waijia juu rcc ya mkoa wa mbeya.

    Kwa kweli ileje na mkwajuni ni mbali..........
  2. C

    Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

    Poleeeeeeee kwani ulipelekwa?
  3. C

    Mwigulu Nchemba nusura azichape na Msigwa leo

    Namchukia Mwigulu !!!!!!!!
  4. C

    Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

    Mitungi.... Mikasi..... Dah
  5. C

    Visa vya jimama la KINYAKYUSA

    Kali na matingo akanyambala ako... Leka bakakome
  6. C

    Mwanamke mwenye amri ktk ndoa..chanzo cha wanaume kutelekeza familia

    Huo ni woga tu kwa wanaume kuhofia kuporwa majukumu. Mambo hubadilika polepole kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na technolojia. Tuvumiliane tu
  7. C

    Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Big up Ndalichako ! NECTA hutunga Mitihani na kusahihisha, je mlitaka watoe matokeo gani........
  8. C

    Siri yafichuka mauaji Polisi; Askari mwenzao aanika kilichotokea

    tunajadili mauaji ya polisi na dili zao za rushwa. Suala la yesu linakujaje, acha hizo
  9. C

    Nape si mzima!!

    hajui asemacho............
  10. C

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mi namiss usawa wa gudulia. Namiss chenja-nyimbo za jioni namiss mistin yangu namiss kusenya kuni burombora
  11. C

    Kwa wenye huruma

    Shule gani ,mkoa gani contact yako
  12. C

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Ni kweli na hizo tetesi ni za siku nyingi. Lisemwalo lipo
  13. C

    Mateso ya Vengu (Joseph Shamba), serikali imsaidie!

    Kwa kweli miaka hamsini ya uhuru inatumia gharama kubwa sana. huwezi amini kila halmashauri wamedhimisha, kila mkoa wameadhimisha, kila wizara wameadhimisha na bado wiki ya kilele..... ni kwa nini kufanya mambo makubwa wakati hali zetu ni za kuchechemea
  14. C

    Ajali ajali

    Lori lililokuwa likisafirisha mitihani ya kidato cha nne kutoka ruvuma kwenda NECTA limepata ajali baada ya kupasuka tairi muda huu hapo Bwawani. Dereva na askari wamefariki hapohapo. Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi
  15. C

    Masaa 18 kabla ya kifo cha gaddaf

    Kwa kweli atakumbukwa kwa mengi kabla ya nusu mwaka kupita pengo litaonekana si kwa libya tu bali hata nchi za africa.
  16. C

    Je Gaddafi hakuwahi kuwatendea mabaya walibya?

    Kweli ni muuaji lakini Angepata japo nafasi ya kujitetea mahakamani,
  17. C

    Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

    Kwa kweli tunakoelekea si kuzuri. Nina imani mwisho wa yote hayo ni mbaya kwani damu ya mtu haitapotea bure, sipati picha kwa uchaguzi ujao itakuwaje kama jimbo moja tu linasababisha wamwage damu! Mungu azilaze pema roho za marehemu
Back
Top Bottom