Search results

  1. MJINI CHAI

    Mbunge wa Chalinze, Ridhiwan apokea msaada wa futari

    Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwan Kikwete Jana 03/06/2018 alipokea Msaada wa FUTARI kutoka kwa Taasisi Rafiki za Kidini na Msikiti TAWHEED Markazi Kiwalani Dar es salaam kwa ajili ya Jimbo lake la Chalinze kwa Makundi ya Watu wasiyo na Uwezo.........Kwa kweli Mhe Ridhiwan Kikwete i have...
  2. MJINI CHAI

    RC Makonda awafariji wahanga wa mafuriko Dar

    Wakuu, habari za usiku huu, Mimi binafsi leo nilikwa mitaa ya maeneo ya Uwanja wa ndege Dar nikakutana na msafara wa Kamati ya maafa wa mafuriko Mkoa wa Dar es Salaam nikaona ni heri niufuatilie kuona kulikoni. Msafara ulienda mpaka eneo la wahanga mtaa wa Uwanja wa ndege, nitaweka sauti tu ya...
  3. MJINI CHAI

    Kwanini movie za Tanzania wasiweke utamaduni wetu kama Nigeria?

    Wadau habarini za jioni, Nimekuwa nikiangalia movies nyingi kati ya Nigeria na Tanzania.Wanigeria wamekuwa wakijivunia na kuweka vionjo vingi vya utamaduni wao tofauti na watanzania.Hii inatokana na nini?
  4. MJINI CHAI

    Leo nitasikiliza/kuangalia TBC kuanzia saa 3 usiku

    Wakuu habari za mihandaiko ya Mchana kutwa.................Kwa Uzalendo uliotopea na Kutukuka kuanzia leo 24.02.2018 nitakuwa na Ratiba ya kuangalia/kusikiliza TBC...........Hebu tuungane tukipende kilicho chetu................je wewe utaangalia nini...........muda huo ??? MJINI KUNOGA...
  5. MJINI CHAI

    Chama cha ushirika MTAMA waiba pesa za wakulima

    Pamoja na Jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kuboresha zao la korosho kwa wakulima kupata bei nzuri ambayo haijawahi kutokea hapo nyuma kwa mfumo wa stakabadhi ghalani, mfumo huu umeingia dosari kwa baadhi ya maeneo kama Mtama kwa Nape baadhi ya wakulima mpaka sasa...
  6. MJINI CHAI

    Ni mapezi ya kweli au ni nini?

    Habari za usiku wana JF.... nimekutana na tukio ambalo mpaka sasa bado lipo linazunguka kichwani mwangu, Ni hivi jama anakataliwa na ndugu zake wa Damu kuwa yeye siye ndugu yao pamoja na kujieleza lakini imeshindikana na kutokea zogo kubwa lililonifanya niulize kulikoni ndipo nikaelezwa ya kuwa...
  7. MJINI CHAI

    Hili nalo ni jambo zito

    Wandugu katika mahusiano ya ndoa......Chungeni ndoa zenu hasa mnapokuwa katika mwili mmoja kwani walio wengi kwa utafiti nilioufanya 80% ya Wanawake tangu wawe kenye ndoa hawajawahi kufika kilele cha Mlima na hawajui kuwa kuna kufika huko ingawa ndani ya ndoa yao wamejaliwa kupata...
  8. MJINI CHAI

    Mkopo umekwamisha ndoto zake za kumaliza chuo, wandugu tumsaidie

    wakuu, habari za Asbh, natumai mu wazima.....Jana katika pitapita yangu Maeneo fulani hapa Dar TZ nikakutana na kijana Jina lake nalihifadhi, Form six alipata one ya PCM na kuchaguliwa kujiunga na Chuo UDSM mlimani kozi ya Miamba na Madini, yupo mwaka wa kwanza na amepata hifadhi ya malazi pale...
  9. MJINI CHAI

    Kivuko cha MV Ukara

    wakuu kuna taarifa ya kuwa Kivuko cha Mv Ukara kimezimika Engine zake kikiwa katikati ya ziwa Victoria huko geita hebu wenye taarifa tupeni update kinachoendelea huko.........Mungu awalinde wote...................... Source Radio one
  10. MJINI CHAI

    Wizi, utapeli nje ya Bandari kavu (ICD)

    Wadau wa JF tupo pamoja......... kama unatoa Gari lako kwenye hizi leo tunaziita Bandari kavu ambazo zimejaa kila kona ya jiji la Dar basi kuwa na tahadhali na hawa Vijana wanaouza vitu (Betri, vizimia moto, Reflectors, Jeki, wengine ni mafundi magari, nk) pale nje ya hizo ICD (bandari kavu)...
  11. MJINI CHAI

    Shamba linauzwa

    shamba linauzwa lina ukubwa wa Hekari moja lipo eneo la Vigama Kisarawe bei ni 5M.......lina hati......... kimfaacho mtu chake......
  12. MJINI CHAI

    Ni Tanganyika au Tanzania bara?

    Heshima wakuu. Tunapotafakari mambo yahusuyo Muungano wetu (Tanganyika na Zanzibar) kwanini kunazaliwa majina ambayo yanafuta uasili wa nchi zilizoungana? Mfano Tanganyika kuitwa Tanzania Bara, kwanini iwe hivyo, je Tanganyika haitaki jina lake au kunakusudiwa nini kwenye katiba kuliweka neno...
  13. MJINI CHAI

    Othman Masoud: Jemedari wa kupigania haki

    Othman Masoud: Jemedari wa kupigania haki Mwanasheria Mkuu wa SMZ, Othman Masoud Othman, Na Ahmed Rajab. MSIMAMO wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud Othman, ni msimamo wa kizalendo, wa kupigiwa mfano na unaofaa kuigwa na wakuu wengine wa Serikali wenye hisia...
  14. MJINI CHAI

    Usanii kijiji cha wasanii Mwanzega

    leo nimeona Vituko.......ambavyo akilini nashindwa kuamini.....vituko hivyo nimeviona kwenye eneo linaloitwa kijiji cha Wasanii na Wanamichezo kilichopo mwanzega kata ya mbezi, tarafa ya shungubweni, wilaya ya Mkuranga ni uzinduzi wa kijiji hicho cha Wasanii na Wanamichezo uliofanywa na kiongozi...
  15. MJINI CHAI

    Rais Kikwete kumaliza muda wake bila barabara ya Lindi Kibiti kukamilika

    Habari za majukumu wakuu wote............napenda kujuzwa kulikoni barabara ya Lindi Kibiti kwani mpaka sasa ni majaliwa kufika salama na kwa wakati kwani barabara eneo kutoka Daraja la Mkapa hadi Muhoro ni matatizo na magari hukwama na kulazimika kukaa masaa kadhaa mpaka yaje magreda kuya kuvuta...
  16. MJINI CHAI

    Nimeibiwa simu na viyu vingine

    Wakuu nimeibiwa simu yangu ya mkononi Samsung Galaxy Ace GT 5830, Hati ya kusafiria, Laptop na pesa. vilikuwa kwenye gari maeneo fulani Dar........Naombeni msaada kwenye simu niliweka software ya security na nimeweza kupata No. ya mtu aliyebadilisha line yangu......nimempigia ananizingua.....na...
  17. MJINI CHAI

    Kuku wa kienyeji akikudonoa hutoa sumu

    Wakuu hebu tuchangie hii dhana ya baadhi ya watu ambao husema na kuamini ya kuwa ati kuku wa kienyeji ana sumu hasa akikudonoa na kuweka jeraha basi lazima utakufa kama hujatibiwa kwa maana ya kudhibiti sumu......je wadau kuna ukweli juu ya jambo hili? naomba tuchangie wadau.....
  18. MJINI CHAI

    Mikoa ya Lindi na Mtwara wajitende...???!!!!

    Wakuu ndani na nje ya JF...heshima kwenu, nawaombeni tuchangie hoja kwa nini? umechukuliwa uamuzi wa kusafirisha gas kutoka Mtwara hadi Dar es salaam? nionavyo mimi gharama za kusafirisha hiyo Gas pamoja na matunzo angalizi ya line ni kubwa kuliko wangeamua kuplant Turbine za kufua Umeme Mtwara...
  19. MJINI CHAI

    Kwa mara ya kwanza....

    Heshima Wakuu....kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nimesikia maneno ya Faraja na ya kizalendo kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Wilaya, Huyo si mwingine ni DC wa wilaya ya KISARAWE mama KARAMAGE bila kujali kuwa leo 28.05.2011 ni siku ya Jumamosi ambapo alitakiwa apumzike lakini aliamua...
  20. MJINI CHAI

    WAFANYAKAZI WAGOMA KUFANYA KAZI A-ONE MeTL

    Kwa kile kinachooneka kuwa mwendelezo wa serikali kutowajali wananchi wake na kuwathamini wawekezaji, leo ni siku ya tatu wafanyakazi wa kampuni ya MeTL upande wa kitengo cha kuzalisha Maji na juice (A ONE) wamegoma kufanya kazi kufuatia kile kinachodaiwa na wafanyakazi hao kuwa wamekuwa...
Back
Top Bottom