Search results

  1. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    ICC Arusha kulikuwa na Mikataba gani? Kama kweli Wewe ni mjuzi wa mambo....!!!
  2. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    Akili ya utambuzi huna.....nawe ni wa Wami au Namtumbo Mshamba Wewe.....
  3. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    Unaposoma Uzi humu ndani jitahidi kuunganisha Nukta utaelewaaaa.....chao
  4. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    AaAaa Wewe wa wapi kwani?....Naniiiii huyu amekupa jibu unataka Nini Sasa acha utoto hii ni Jamii forum siyo Facebook.....akili ku mkichwa....
  5. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    Inaonekana Wewe ni Mshamba wa Wami au Namtumbo...na siku ukiiona ndege ya Raisi utashangaa kweli....
  6. MJINI CHAI

    Wananchi wakataa kunyoosha mikono kwenye mkutano wa Nape kupinga kauli za kichonganishi za Nape dhidi ya Magufuli, watu wamemchoka ajitafakari

    Pamoja na yote "uliyotapika" sisi wenyeji na wakazi was Kusini tunajua ugomvi ulikuwa wapi...!!! Ngoja nikueleze unafahamu lile sakata la Korosho Bungeni mpaka wengine kutaka kupigiwa Shangazi zao....!!! Na hapo ndipo Korosho uzalishaji ulishuka na bei pia nani alisababisha? Kama siyo ugomvi ni...
  7. MJINI CHAI

    Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Siyo kweli kwamba hawataki Vita..,.Lengo la NATO ni kupata wanachama ambao kwa mahitaji ya Kiulinzi/vita ikitokea kwa Maslahi ya Nchi kama Marekani au Uingereza basi huko nyuma Nchi mfano Ukraine utakuta wameweka Military Base ili iwe rahisi kwao kumuattack adui Yao...... Na hii ndicho Mrusi...
  8. MJINI CHAI

    Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Nilichoona TRA hasa kitengo cha kubadilisha umiliki wa Gari, kuna mama pale hafanyi kazi kama hujamuwekea pesa kwenye document zako kupata Control namba ilinichukua massa 7 lakini kuna vishoka wanamuita mama nae anaitika na kuwapa control namba ilibidi niwe Mkali ndipo akanitolea kwa kweli...
  9. MJINI CHAI

    Mwenye kujua hospitali ya kutibu kansa ya titi Kwa Dar

    Mkuu kwanza kabisa nikupe pole, nataka kujua unataka hospital au kutibu kansa ya titi?
  10. MJINI CHAI

    Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Kwani ni Hospital.....!!! Siyo ile ya Migombani mkuu.....!!!??? Nadhani Bitrice anaumwa ugonjwa unaoitwa KATIBA....na usipouangalia unaweza kuuondoa maisha kwani wengi wameumwa ugonjwa bila Mafanikio
  11. MJINI CHAI

    Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Kwanza tuanzie hapa.....!!!! Regency IPI kwa maana hata Migombani panaitwa hivyo..,
  12. MJINI CHAI

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Kuna wengine ndiyo biashara yao kujenga na kuuza..... Bati chakavu wameziba matundu zinapigwa rangi, tofali Nchi 4, mbao za kenchi marijekti/ zilizotumika zikaungwa ungwa...lakini kwa ajili ya Marumaru na Cellingboard ya Jipusamu unaingia mkenge...... Angalia sana hivi vitu....
  13. MJINI CHAI

    Kobe wa Kipanya ameanza kuchungulia

    Fikra nyingi ndani ya Kapu kubwa moja......!!! "Wafikirika ni wengi" lakini hawana Fikra..... !!!
  14. MJINI CHAI

    Kibonzo cha Kipanya; hali halisi ilivyo

    Naona Kobe mwenyewe yupo ndani......!!!
  15. MJINI CHAI

    Nyeti za siri zinapochafukwa

    Kwenye hili hakuna kutumia nyenzo nyingine.....!!!!
  16. MJINI CHAI

    Nyeti za siri zinapochafukwa

    Ugali una namna ya kuuviriga, ikitumika nguvu nyingi unatokea katikati ya vidole.
  17. MJINI CHAI

    Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

    ...!!!.....????
Back
Top Bottom