Search results

  1. D

    Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu.? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

    Nikweli kwa sababu mimi na wewe hatuko uwanja wa vita wala humo kwenye list ya war generals,kwa hiyo tuna uhuru wa mitazamo, na itapishana sana,tuvumiliane! I
  2. D

    Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu.? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

    Ukitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili, 1) Kwa urusi; haikuichukulia kama vita kamili mpaka kama wiki 2 zilizopita, ndio wamei tafsiri kama vita. Urusi inahitaji eneo zaidi la kilimo na kupunguza/kutawala urahisi was ukrain kutumia bahari. Hii ni kwa sababu urusi...
  3. D

    Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    ndugu beka , Unisamehe maana nimeandikia Kwenye poast yako mpaka naandika Hii post Ndio ilikuwa ya mwisho, watu wengi wanashindwa kuelewa utendaji wa huduma tano alizoacha kristo, hawa ikiwa pamoja Na viongozi wa makundi ya kiimani katika wakristo japokuwa wote wanamhubiri kristo kwa dhamira...
  4. D

    Ng'ombe mmoja kuongezeka Kilo 2 na nusu kwa siku

    if the average weight of heifer calves at weaning is 200kg, they need to gain 100kg equating to a growth rate of 0.48kg/day. allowing for a 10kg setback at weaning brings the required growth rate up to 0.5kg/day. ... Meeting minimum growth rates for heifers. Liveweight (kg) Target growth...
  5. D

    Arusha: Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya watunishiana misuli

    mwisho wa siku imekuwaje?mabati ni Sawa Au Sio Sawa ?
  6. D

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Nas Jr, hatuwezi kufikia muafaka kwakutaka record za waandishi wenye mitazamo tofauti ya kuhesabu wana wa israeli ilingane, hakuna mtu yeyote anaye weza kulinganisha hesabu hizo kwa sababu hutaki kuelewa tofauti ya scribes Na adminitrators wakati huo wakiandika vitabu hivyo,kwahiyo kama lengo...
  7. D

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Nas Jr, Hebu nisaidie hapa Kwenye hizi assumption Kama ulivyo ziita, unasamaki wa wili Na mikate mitatu umelisha watu 5000 unabaki Na kapu 12 za mabaki ya mikate, Numbers Dont lie!
  8. D

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Drake, nirudi Kwenye Hiyo hesabu iliuelewe ninachokujibu, waandishi hao Soma kila mmoja alipohesabu utagundua kunawaliokuwa waandishi scribes ( wataandika basing on pure breed jews ) administrators wataandika wakijumlisha Na wasamaria ambao kisasili si pure breed jews Na hawakuwa wakichangamana...
  9. D

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    kitu Kama hiki kipo Kwenye familia ya Yakobo iliyoenda misri, ni kwa jinsi wanavyo hesabu, ili uelewe angalia walivyo hesabu jangwani ulisikia tena familia ya musa baada ya jethro kumuabudu Mungu wa Mussa? kuna vitu lazima ujifunze unaposoma biblia hasa uandishi wake, Agano la kale ni kumbukumbu...
  10. D

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Umeongelea mipasho,umamntiki wa biblia na Mungu kutuia kitabu,ukiweka maelezo zaidi katika kila hoja ilinasisi wasomaji wa hoja zako tuone unachokiona wewe inakuwa rahisikukuelewa!
  11. D

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Umeondoka kwa yeremia, anyway waandishi Hawa wamepishana kwenye kuhesabu inabidi uangalie walihesabu wanawaisrael pure breed au pamoja na half cast kutaka Babylon hapo hesabu lazima zipishane,waliporudi wale waliokuja na familia hiyo hawakuwapo servants walio nunuliwa China ya Koo hiyo?
  12. D

    Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

    ni Gari ya kawaida isipokuwa Engine Ndio tofauti Kabisa Na za Mafuta,Hii ni slow speed motor, zina limitation ya speed to 70kph, battery ni ya CATL ( world class natter manufacturer ).motor Ndio inaweza kuwa kimeo !
  13. D

    Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

    wale jamaa pale port hujaweka hesabu zao, tujulishe ukiziweka hapo tuone kianzio ni ngapi, Kwenye umeme hujasema ni units ngapi mpaka ifike full charge, hapa tutalinganisha Na ist Na vits.
  14. D

    Si Membe aliyesababisha biashara ya Korosho kudorora, maamuzi ya kukurupuka ndiyo yametufikisha hapa!

    huu ni utaalamu wa kutawala soko( market management ) ,mteneneza kiwanda akiwa mnunuaji wako mkubwa anakuchezea usitoke, anakuuzia kiwanda kikifika kwako anabadili mahitaji. kiwanda kina kuwa ghala lakuhijfadhi mazao,yeye anataka ghafi Na Bei yake hutaki acha mkulima wako hawezi acha uza hawezi...
Back
Top Bottom