Search results

  1. kindboy

    Subaru forester ni gari ya maskini

    Wazee kitu, NISSAN March , K11, wazee ni roho ya paka, mafuta inaenda kilometers 15, spare ziko available kila kona hii ndo Gari yangu ya mizunguko town,
  2. kindboy

    Mmiliki wa shule ya St. Patrick kumsomesha mpaka chuo kikuu mtoto wa Masogange

    Usiseme usichojua , huyo jamaa anasomesha watoto wasiojiweza na yatima wasiopungua 20, si kila afanyacho mtu akitangaze Mwaselela ni kijana anaependa maendeleo ya watoto na jamii inaowazunguka
  3. kindboy

    Msaada on nimesahau password ya Ku log in kwenye desktop yangu ni window 10, account nimeset kama admin.

    Naomba msaada plse niliset kwa kutmia control panel , kama admin, sasa nimesahau password , plse assist , nimejalibu nimeshindwa .
  4. kindboy

    Now Withdraw from PAYPAL to tigopesa, mpesa & Airtel money

    Vipi kuhusu hawa watu wanaitwa pesapal Opération zao zikoje kwa hapa kwetu Tanzania,
  5. kindboy

    Natafuta CAMERA

    Bei gan
  6. kindboy

    Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

    Tungeomba mawakili wasomi wamsaidie, kuna hawa Mawakili wanao wasaidia wasanii, kwanini wasimsaidie mzee kutafuta haki ya Brand yake hii mhimu ya 900itapendeza, nadhani ingemnufaisha sana Dk. Shika.
  7. kindboy

    Msaada wa kuweza recover Cpanel Password!

    Nashukuru wadau, nimefanikiwa, nimewasiliana na host wa site yangu amenirekebishia sasa naweza ku login kawaida
  8. kindboy

    Msaada wa kuweza recover Cpanel Password!

    Hello Habarini za asubuhi watalaam, Ninawebsite yangu ambapo huwa nina access kwenye Cpanel ,sasa kwa muda kidogo nimekuwa natumia ku login via Client Area kwenye website ya host wangu, sasa leo nimejaribu ku login kwa njia ya kawaida through my site nimeshindwa na nikwamba nimesahau password...
  9. kindboy

    Msaada naomba kufahamishwa ipi ni Website builder nzuri na nyepesi Kutumia kati ya Wix na Webs ,

    Thanks ngoja na mimi nipambane from the scrach yaan nina uhitaji mkubwa wa kujua hii fani ya webdesigning, nitakuwa mwenye furaha siku niki accomplish my mission.
  10. kindboy

    Msaada naomba kufahamishwa ipi ni Website builder nzuri na nyepesi Kutumia kati ya Wix na Webs ,

    Kwasababu najifunza peke yangu sio darasan kwahiyo nahitaji kwanza kuanza kwa soft tools nikishaelewa vizuri na sogea kwa hizo advanced system, na nione kama itanifaa kujiongezea kipato cha ziada
  11. kindboy

    Msaada naomba kufahamishwa ipi ni Website builder nzuri na nyepesi Kutumia kati ya Wix na Webs ,

    Sawa ,kwahiyo Kwahiyo hawa jamaa siyo reliable ukilinganisha na WordPress, na kwani kunatofauti katika set ups, mi nilifikili nikijua hiyo itanisaidia kufanya kwa hata system nyingine kama hizo
  12. kindboy

    Msaada naomba kufahamishwa ipi ni Website builder nzuri na nyepesi Kutumia kati ya Wix na Webs ,

    Habari wana technolojia, nilikuwa naomba kupewa muongozo zaidi katika pitapita zangu za kujifunza kuhusu utengenezaji wa simple site, iliniweze kujiongezea ujuzi, nimekutana na hizi builders site, Wix.com pia webs.com. Ningeomba kujua kwa wale wameshatumia hizi platform, je ipi ni bora na...
  13. kindboy

    Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

    Duh, Mshana Jr, uko makini kwa kila Idara hongera sana mkuu, nimesoma Maelezo yako yamenipa kujua kumbe wewe ni level nyingine with special training both theoretical and maybe practical, By the way kuhusu umekuwa makini umegundua kuhusu tarehe Mapema kuliko aliyesain na aliyechapa...
  14. kindboy

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Duh pole , kama unamaanisha !
  15. kindboy

    Sehemu Sahihi Ya kupumuzika Na familia au Wapenzi

    Wazungu wengi tu Siunajua tena Arusha ndio njia Panda ya Ulaya, Karibu sana.
  16. kindboy

    Sehemu Sahihi Ya kupumuzika Na familia au Wapenzi

    Ingia hapa kwa picha bei nzuri call us 0757 531 210 or email to : reservations@climaxresorts.com
Back
Top Bottom