Mkuu!
Ile hekaya uliyotunga kuhusu Dr Slaa bado haijatimia, Heshima yako unaiweka wapi kwenye jukwaa kama hili na nani anaweza kukuamini tena kwa uongo wako?!
Naibu katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalim amewakumbusha vijana nchini hususani walio vyuo vikuu wajibu wao wa kusimamia kupatikana kwa uhuru wa pili wa nchi wenye lengo la kuwakomboa watanzania kutoka katika maisha magumu. Mwalim ameyasema hayo jana mjini Lushoto wakati akiongoza...
Wakuu
Leo tena katibu mkuu wa CHADEMA na kiboko ya MAFISADI Dr Willbroad Slaa ameendelea tena na shughuli za ukaguzi kwenye baadhi ya vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mkoani Rukwa na jioni ya leo amefanya mkutano mkubwa wa hadhara jimbo la Sumbawanga Mjini ili...
Mkuu.
Ngoja nikusaidie kwa takwimu kwa sababu unahisi zile takwimu zinazotajwa kwa mbwembwe na makelele mengi pale bungeni na Pombe Magufuli unadhani niza kweli.
Jisomee hapa uone naye alivyo shiriki ufisadi chini ya serikali ya MAFISADI walio choka.
...
"...
Mheshimiwa Spika, kivuko hiki...
Bahati mbaya watanzania baadhi yenu aina yako hamna utamaduni wa kusoma na kutafiti.
Magufuli unaye msema ndio huyu huyu aliyesimamia kuuzwa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa na akauziwa mpaka mtoto wa form four?!
Bahati mbaya nyingine ni kwamba watanzania huwa tunapenda kusikia Takwimu...
Umenena kweli mkuu.
Mfumo wa kanda umekibeba sana chama na kupunguza mzigo wa uendeshaji kutoka makao makuu.
Ccm kama kawaida yao walifanya sana propaganda kuhusiana na mfumo huu kwa madai kwamba utawagawa watanzania.
Walivyo kuwa wanafiki kimyakimya wakaanzisha mfumo wa kanda 12 tofauti na...
Wanataka uhakika wa ajira, elimu, afya, nishati na huduma nyingine za kijamii. Huu si wakati wa kuhadaiwa kwa matumaini kama yale ya kuleta mvua za mabomu.
Leo katibu mkuu wa CHADEMA Dr Willbroad Slaa amefanya mkutano mkubwa wa hadhara jimbo la Momba mkoani Mbeya.
Mkutano huo umetanguliwa na shughuli za mchana kutwa za kukagua zoezi la uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kwenye maeneo mbalimbali ya jimbo hilo ambapo...
Mkuu.
Kwa sasa tunajikita kusonga mbele zaidi tumeshafunika ya nyuma yaliyo shindwa sasa tunasonga mbele zaidi kama taasisi kuelekea uchaguzi Mkuu. Nia ni kushinda dola ya nchi na kuwaondolea watanzania madhira ya ufisadi na ulafi wa mali za umma.
Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2010 wengi wetu tukiwa vyuo vikuu hatukuweza kupata fursa ya kutumia haki yetu ya kidemokrasia naya kikatiba ya kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu huo, Serikali ya ccm ilifanya hila kwa kuhakikisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu hatupigi kura.
Mwaka huu kumeanza kuwa na...
Wakuu.
Ilisha andikwa hapa na leo naweza kujisemea mwenyewe kuwa ni kweli nimeweka nia ya kugombea jimbo la Lushoto kuanzia kwenye mchakato wa ndani ya chama na namna mgao utakavyo kuwa kuzingatia vigezo vitakavyo amuliwa na UKAWA.
Gazetia la leo la RaiaTanzania limeweka mahojiano yangu na...
Mkuu.
Jamaa niwa ishiwa kwa ujinga wao wanadhani watanzania wa sasa unawemeza kidonge cha udini na propaganda zao chafu za ukabila.
Wamepigia chapuo ukanda na udini wakadhani wao watakuwa salama. Nilishangaa siku moja mtoto wa kigogo yuko on air anasema "...rais hawezi kutokea kaskazini.. "...
Pamoja ukijungujiko wako lakini bado naweza kukupongeza kwa kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. Tatizo ni dhambi ya ubaguzi tu ndio inakusumbua. Mzawa halisi?! What a joke!
Jana Muishiwa (iko sahihi kabisa) JENISTER MHAGAMA alitoa povu baada ya mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani na mwanasheria nguli ambaye hana historia ya kushindwa kesi na ccm Mheshimiwa (iko sahihi) Tundu Lissu aliposema "...Serikali hii niya wachovu... "
Muishiwa JENISTER MHAGAMA alitoa...
Jimbo ambalo Kamanda Salum Mwalim atagombea kupitia UKAWA ni Kikwajuni ambako ndipo alizaliwa na kukulia. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Masauni Yusuph ambaye alipata kashfa ya kughushi umri na kupelekea kuvuliwa uwenyekiti wa UVCCM.
Kamanda Salum Mwalim amejipanga na anaendelea kujipanga...
Na kwa kuwa toka mfumo wa vyama vingi unaanza kata ya Mwandiga haijawahi kuwa chini ya ccm, ni sahihi kusema wanaoishi au walio wahi kuishi kwenye kata hiyo na kufanya kazi ya ccm wanasaliti au wamesaliti Fikra na mitazamo ya watu walio kataa maovu ya ccm kwenye eneo hilo na kwa watanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.