Search results

  1. Hakikwanza

    Spika na Naibu spika mnaliharibu na kulivuruga bunge la Tanzania

    Spika Job Ndugai na naibu Tulia kwa kweli jinsi mnavyoliendesha Bunge mnalifanya liwe kituko na sio mhimili uliohuru tena. Bunge limekuwa haliisimamii serikali. Bali serikali imekuwa ikilisimamia bunge. Ni kweli bunge ni la chama kimoja ila tuangalie maslahi mapana ya taifa. Bunge limekosa...
  2. Hakikwanza

    Nina bajeti ya laki sita nahitaji pikipiki yenye unafuu Iringa Mjini

    Nilikuwa napenda sana aina sanlg cc 150 nikiipata toka Ilula ni njema sana.Mimi ni mgeni kwenye hivi vyombo naombeni ushauri. Hata aina hiyo kuna mtu alishauri
  3. Hakikwanza

    Msaada Tecno k9 plus ringtones zinarudi kuwa default ukizima

    Ndugu zangu naomba msaada simu tajwa hapo juu inajiweka ringtones kwa difault ukizima. cc Chief Mkwawa na wengine wote wenye ujuzi
  4. Hakikwanza

    Msaada jinsi ya kuadd au edit transponder kwenye king'amuzi cha zuku

    Naombeni msaada hiyo ni picha ya king'amuzi chenyewe
  5. Hakikwanza

    Naomba msaada wa haraka nakosa matangazo ya Tv

    Samahani ndugu zangu ninashida kwenye king'amuzi changu cha Startimes cha dish. Kilipoteza baadhi ya chanel nikafanya factory reset . Sasa ninapoendelea kusearch inagoma kupata chanel na haionyeshi signal za antenna. Nimejaribu king'amuzi kingine safi na signal ipo 88. Ila kuna fundi fulani wa...
  6. Hakikwanza

    Naomba kujua bei ya jumla na rejareja ya madawa haya ya kilimo

    Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za madawa haya hapo ulipo ili nithamanishe na huku kwetu Iringa mjini. Kama kutakua na unafuu niyafuate huko. Othello ujazo wa lita moja (1000ml) SUPER GRINO kilo moja na nusu kilo Profecron 700ec lita moja na nusu lita Duduba 500ec lita moja na nusu...
  7. Hakikwanza

    Ugonjwa huu umenimalizia tikiti nifanye nini kuepuka nao

    Tikiti kusinyaa kwa mbele na kuweka baka jeusi
  8. Hakikwanza

    Msaada wa haraka tecno K9 plus

    Ndugu zangu nilinunua simu tecno k9 plus wiki hili, nikawa nimeichaji na imejaa, nikaiwasha na kuanza kuitumia. Cha kushangaza nikacheza video toka youtube ikiwa wima, baada ya muda nikailaza ili iwe full screen, ghafla nikaona screen imekuwa na michirizi ya imekuwa na michirizi ya wima na...
  9. Hakikwanza

    Hatua za msingi zisipo chukuliwa nchi hii itageuka kuwa jangwa.

    Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa kuwa aliifanya Tanzania kuwa na Mazingira mazuri na yenye kupendeza sana. Lakini hatua na mikakati inayochukuliwa na serikali katika utunzaji wa mazingira ni hafifu mno. Hii ni hatari sana kwa mustakabali na ustawi wa taifa letu. Dunia ya sasa inateseka...
  10. Hakikwanza

    Wizara ya Maliasili na Utalii imelala usingizi wa pono na kuacha tembo wakifanya uharibifu mkubwa

    Hii wizara kwa kweli utendaji wake ni hafifu kupindukia kwenye udhibiti wa wanyamapori hasa jamii ya tembo. Hii inaletashaka kubwa sana kwa Taifa letu. Hawa tembo wamekuwa wakizagaa karibu na makazi ya watu pia kula mazao ya wakulima mashambani na hivyo kuwatia hasara wakulima na kusababisha...
  11. Hakikwanza

    Mh Makamu wa Rais na Waziri Lukuvi tunaomba msaada wenu wa haraka tunakufa

    Mh Makamu wa Rais na mbunge wa jimbo la Ismani kwanza pole na majukumu yenu ya kila siku katika kulijenga taifa letu. Tunaungana moja kwa moja nanyi na serikali yetu katika kulisukuma gurudumu la maendeleo katika taifa hili na utekelezaji wa kauli mbiu ya Mh Rais ya HAPA KAZI TU . Kilio chetu...
  12. Hakikwanza

    Naomba wajuzi mnisaidie kujua bei na aina nzuri ya box ya kuflash simu

    Naomba msaada ninataka nifungue ofisi kwa ajili ya kufanya marekebisho ya simu pale inapotokea zimeharibika hivyo naomba kujua aina nzuri ya flashing box, bei na maduka gani taipata. Naomba msaada Chief Mkwawa na wengine wote wenye ujuzi huo ndani ya hili jukwaa asanteni sana
  13. Hakikwanza

    Hii ni dharau kubwa sana aliyoifanya mkuu wa mkoa wa DSM dhidi ya waziri wa habari na michezo Mh Nap

    Kwanza kwa heshima kubwa nikupongeze Mh Nape kwa kuunda kamati ndogo ili iweze kuja na uhalisia wa nini kilitokea ofisi za Clouds. Kwamba hii kamati izihoji pande zote mbili ili kuupata ukweli wa kilichotokea pale Clouds. Ninashukuru sana kwa kuwa umetumia njia bora za kiongozi, kusikiliza...
  14. Hakikwanza

    Mheshimiwa Rais unatuacha wananchi njiapanda na maswali mengi!

    Mheshimiwa Rais pole na kazi za ujenzi wa Taifa letu na majukumu yako ya kila siku. Mheshimiwa Rais toka uchaguliwe na kuapishwa mimi binafsi na jamii inayonizunguka tuliamini kuwa sasa tumempata kiongozi wa nchi atakaye iongoza nchi katika misingi ya haki,usawa na utawala bora. Rais wangu...
  15. Hakikwanza

    Msaada wa kitabibu unahitajika, haraka watoto wakizaliwa wanakufa

    Habari za kazi ndugu. Jamani tunaomba msaada wenu watanzania juu ya jambo hili gumu sana. Nina ndugu yangu kila akipata mtoto yeye na mke wake, watoto wanakufa baada ya kuzaliwa. Wanapozaliwa tu joto hupanda sana na baadae hupelekea kufa. Hivyo mpaka sasa hawana mtoto inasikitisha sana. Watoto...
  16. Hakikwanza

    Nahitaji pampu ya maji ya petrol kwa ajili ya umwagiliaji

    Ndugu wapendwa nipo Iringa nahitaji kununua pampu ya maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Hivyo naomba mnisaidie bei zake na nisehemu gani nitapata kwa urahisi na ni aina gani ni imara. Hasa Dar kwani nina ndugu wanaweza kuniagizia. Natanguliza shukrani zangu
  17. Hakikwanza

    Nahitaji mbegu ya vitunguu ndugu zangu

    Wakuu salaam mimi nipo Iringa mjini nahitaji mbegu ya kitunguu. Nahitaji kulima eka moja nipo Iringa naombeni msaada. Mbegu ninayo hitaji ni aina hizi Mang'ora red,Red creole au bombay red nitashukuru sana kama nikipata bei yake pia. Asanteni
  18. Hakikwanza

    Je, Rwanda wanaweza kutusaidia kiteknolojia?

    Kuna vingine ukivisikiliza kama una akili unaishia kucheka na kupuuza. Eti Rwanda itatusaidia wataalamu wa kufufua shirika letu la Air Tanzania, na kwamba Rwanda italeta jopo la wataalamu wa teknolojia ili tuweze kujifunza kwao. Yani Tanzania ijifunze "technology" Rwanda. Hahahah.! Binafsi...
  19. Hakikwanza

    WWF: Mbuga ya Selous Tanzania kupoteza Tembo wake

    Hifadhi ya wanyama pori ya taifa ya Selous Kusini mwa Tanzania inatajwa kuwa huenda ikapoteza tembo waliosalia ndani ya miaka sita ijayo iwapo hali ya ujangili itaendelea kwa kiwango kilichopo sasa. Ripoti ya mfuko wa hifadhi ya wanyamapori na mazingira duniani, WWF imesema hifadhi Selous...
  20. Hakikwanza

    Jamani naombeni msaada ni maduka gani yanauza simu za jumla kwa bei nafuu

    Ndugu zanguni nahitaji msaada nataka kufanya biashara ya simu za mkononi brands hasa za Tecno zile za mtu wa kawaida nikiwa na maana ya simu ambazo sio smart. Hivyo niombe msaada ni maduka gani DSM yana bei nafuu? Naomba msaada kwa wenye kujua. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Back
Top Bottom