Search results

  1. S

    A wedding Mass went like this:

    Pastor; ifthere is anybody here that does not want this couple to be joined together in holy matrimony, he or she should speak out now." A man from the extreme of the church stood up and walked towards the alter. As the bride saw the man coming closer, she fainted.. The bridegroom and the...
  2. S

    Mpende akupendaye

    Kuna msemo unasema ' To love is nothing, to be loved is something, to love and to be loved is everything' Ndio maana nimesema mpende akupendae Mapenzi ni kitu cha muhimu sana katika maisha ili uwe na maisha ya furaha siku zote lazima uwe na mapenzi kweli, hizi kesi za Baba katembea na...
  3. S

    Mabadiliko yanaanza na wewe

    Wana JF kwa kweli tunahitaji kuwa na mabadiliko ya kweli tunahitaji kuleta mada ambazo zitaimarisha mahusiano, zitadumisha upendo na mwisho kila mmoja awe na ndoa nzuri vinginevyo tutachangia hoja zisizo na manufaa kwenye mapenzi mwisho wa siku tunaharibu badala ya kujenga, kuna hoja zinapaswa...
  4. S

    Kiswahili kigumu jamani embu cheki hii tafsiri

    Kuna mzungu mmoja alikuwa anajitahidi kuzungumza kiswahili wakati akitoa mawaidha kwa wanajamii aliyokuwa anafanya nao kazi. Ilikuwa hivi ''Jamani pandaneni ninyi kwa ninyi, kila mmoja ampande mwenzake''. Alikuwa anamaanisha pendaneni ninyi kwa ninyi kila mmoja ampende mwenzake watu wakashika...
  5. S

    Mtoto aandika barua kuomba hela kwa Mungu

    JOKE. Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 9 alikuwa anahitaji sana shilingi 100,000 (laki moja). Akamuuliza mama yake ni jinsi gani anaweza kupata pesa hizo. Mama yake akamwambia "muombe Mungu atakupatia. Mtoto alianza kuomba kila siku na kila mara lakini hakupata hiyo pesa toka kwa Mungu...
  6. S

    Hivi kwa nini watu wanapenda sana kupiga chabo

    Jamani watu wanapenda kupiga chabo, it seems wanafaidi indrectly jamaa mmoja alishawahi kuanguka baada ya kumaliza game sawa na mchezaji mpo hapo? Nauliza tu jamani?
  7. S

    Chama kipya chaanzishwa tuwe makini nacho sana ni hatari tupu

    Wana JF kuna chama kipya kimeanzishwa kinaitwa CCWCT. Wanachama wake wengi ni wanafunzi wa vyuo vikuu. Kirefu chake ni Chama Cha Wapiga Chabo Tanzania. Be careful has ukiwa faragha. From original source
  8. S

    Hello Wadau

    Hellow wadau wote popote mlipo ndio kwanza najiunga mambo vipi??????? naombeni mnikaribishe jamvini tupeane habari thanksssssss:angry:
  9. S

    Hello

    Hellow, I just want to say hello kwa wadau wote popote pale mlipo ndio kwanza nimejiunga
Back
Top Bottom