BRAND NEW HOUSE, 3 BDRMS, 3 BATHROOMS, CLOSE TO MAIN ROAD- MOROGORO ROAD, SO VERY CLOSE TO MWENDO-KASI PUBLIC BUSES. RENT 500,000/MONTH (NEGOTIABLE) PAYABLE ONE YEAR IN ADVANCE. RELIABLE WATER SOURCE FROM DAWASCO AND A WELL WITH 7000 LTRS STORAGE TANKS. SAFE WITH "SUNGUSUNGU" NEIGHBORHOOD...
Hello wakuu JF
Natafuta fundi stadi wa mbao, tufanye kazi ya kutengeneza kwa kutumia mbao ya mninga au mkongo, kitchen cabinets pia kazi ya ku design walk-in-closet kwa kuweka shelves, drawers, hangers n.k. Tafadhali uni PM.
Kazi ipo Dar
Hello wakuu wa JF,
Ninauza brand new cell phone HUAWEI MATE 8, hii ni model Huawei NXT-L29, Champagne gold color, 64GB storage, 4GB RAM bei, million moja unusu tu. Ni PM kama upo mnunuzi wa kweli
Hello Mkuu, safi sana kazi ya uchimbaji visima, nimeona Youtube videos. Sasa kama unaweza kunitumia kwa private message jina lako kikamilifu, simu namba au directions za ofisini.
Shukran!
Jamani kama wewe ni contractor au civil engineer mwenye kampuni, basi tuwasiliane kwa Private message,tuongee biashara na kuingia mkataba wa ujenzi wa nyumba ya kuishi (1) na kuweka utilities....maji ya kisima na umeme wa Tanesco, ujenzi katika kipindi cha miezi 6 hadi mwaka 1. Ideally, malipo...
Asante sana mkuu kwa majibu mahususi, sasa kidogo mwanga umeanza kuonekana mbele....
Clearing agent wangu ananidai ati USD 200 kwa gharama za Delivery order??? wakati ka gari kenyewe ni kadogo kwa engine 0.66litres.
Halafu ati handling charges kachanganya na storage charges....hivi kwa ka gari...
Ndugu Mavado,
TRA nimeshalipia gharama zoote (Import duty, excise duty, vat, vehicle registration, customs and processing fees) pale exam bank.
Haya maswali yangu ni kutokana na madai nayoyapata kutoka kwa huyu clearing agent.... yaani magharama yanazidi hadi nachanganyikiwa. Naomba unijuze at...
wana JF wataalamu, Ndugu Mashana Jr
jamani haya mambo ya kuingiza used cars kutoka nchi za nje kweli ni shughuli si ndogo. nitashukuru ndugu ufahamisho zaidi kuhusu haya yafuatayo
1. Ati handling charges ni tofauti na delivery order?? hizi zote bill nimeletewa na clearing agent. Sasa kama sio...
Asante sana Mkuu, nimekupata.
Hapa basi itabidi nijitayarishe na kama milioni sita hivi Duuh! Hii gari naona sasa imeniwia gharama kubwa sio jinsi nilivyotegemea...nilidhani ni kagari kadogo engine 0.66 basi itakuwa nafuu. Sasa naelewa kwanini watu huwa wanaacha magari yao Bandarini
Sawa Mkuu, kama nimekuelewa vyema unasema mimi nijitayarishe tu vyovyote. Basi nipe basi mwanga hata kidogo niweze kubishana na huyu Clearing agent wangu. Kwa mfano zile taxes wanazozikata ukiachia VAT, ni zipi hizo? Je zina fixed rates?
Mkuu, ndugu Mshana,
Mimi naomba msaada kuhusu utoaji wa gari (used car) zile estimations za TRA, hizi si huwa kuna formula yake wanatumia? Tafadhali wakuu naomba mnisaaidie katika haya mahesabu kwani nimenunua used car kutoka japan with these specification:
C&F Dar es salaam $4,100
Ocean freight...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.