Search results

  1. MGANGA MCHAWI

    Kwa maslahi mapana ya Taifa, Magufuli ni lazima aondolewe 2020

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Kwa maslahi Mapana ya Taifa kwa Ujumla Magufuli hatufai na anastahili kuondolewa mwaka 2020. Wachache watajiuliza kwanini nasema hatufai?? Kwanza kabisa niwe mkweli kabisa sikuwahi kumuamini Magufuli katika nafasi yake ya Urais toka siku tu alipoteuliwa...
  2. MGANGA MCHAWI

    Serikali inashindwa kucheza na akili za Mbowe tayari ameshaweka kwenye kona nyingine

    Mbowe ni kiungo mnyumbuliko.Kama ana minya kumbe ana piga.Huwez kumuelewa na ni bonge la kiongozi.Ni vigumu Sana kuwaweka Prof. Safari na Sugu wakakaa meza moja na kuelewana ila Mbowe kaweza Heshima zimuendee huyu jamaa.
  3. MGANGA MCHAWI

    Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    Wabunge wa Tanzania hi hopeless kabisa.Wapo pale kusaka posho tu.Hawasomi makabrasha hakuna aliyekificha . Na hapo ndipo ninapomkumbuka Tundu Antipas Lissu huwezi kumficha vitu kwa kutumia maandishi.
  4. MGANGA MCHAWI

    Tundu Lissu: Dotto Bulendu umenikosea, sijalilia fadhila bali nadai haki

    Tundu Antipas Lissu siku zote huwa ana hoja ya kutokea.Ni vigumu kushindana kwa hoja na huyu jamaa.Kitu alichotuzidi watanzania wengi Lissu anasoma na huwa anaelewa na hicho ni kipaji mtu anazaliwa nacho. Porofesa Paramaganda anafundisha sheria ila hafanyi sheria.Anahubiri nini maana ya sheria...
  5. MGANGA MCHAWI

    Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

    Wamejitaidi kuleta radha tofauti.Mziki ni burudani na ubunifu sio kila tamasha wasanii wale wale.Wamefanya mapinduzi kweli
  6. MGANGA MCHAWI

    Series (Special thread)

    Msaada kwa anayejua website ninayoweza kupakua series nilikuwa natumia freshseries.net ila saiv siipati.Natangulia shukrani.
  7. MGANGA MCHAWI

    Kwa sasa Watanzania hawahitaji tena siasa wala sera mbadala za kwenye makaratasi wanahitaji uthubutu na vitendo!

    Kwa akili hizi tusitegemee nchi kuendelea.Inaonekana hata hujui nini maana ya sera.
  8. MGANGA MCHAWI

    Nauza suruali za kadeti

    Za kuvutika zpoje.Zle kama modo??
  9. MGANGA MCHAWI

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Mkuu haya magari ni ya kiwango cha lami kweli?Naona bei ni sawa na bure kabisa? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MGANGA MCHAWI

    Huyu mwanamke nimjibuje?

    Mjibu "OK".Hili jibu huwa linawaumiza sana nimekuwa nikilitumia sana na limeonesha matokeo chanya maana unamuachia homework nayeye ajiulize ina maana kumbe alikuwa hanipendi?Mbona hajaumia?So muda wote nimejicholesha kwake? Ukishamjibu hivyo kaa zake sehemu tulvu ukitafakari maisha yajayo...
  11. MGANGA MCHAWI

    Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

    Mkuu nisichokuelewa ni kitu kimoja tuu.Ebu nieleweshe kidogo uzoefu wa Eng. Site unamsaidia vipi kudesign?
  12. MGANGA MCHAWI

    Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

    Soil testing huwa inafanywa na Geotechnical expert ambao si lazima awe Engineer.Nilichohitaji ufafanuzi wa mtoa uzi ni kivipi uzoefu wa Engineer site unamsaidia katika kidesign hasa kulingana na picha aliyoionesha hapo mkuu.
  13. MGANGA MCHAWI

    Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

    Designing is just about Dimensioning of the structural elements Columns,Slabs,Beams and foundations sometimes walls in accordance to stability.Structural member pekee inayoathirika na Conditions za site ni Fiundations ambapo Engineer anatakiwa awe na soil properties za eneo husika especial...
  14. MGANGA MCHAWI

    Kuzuia mikutano ya kisiasa ni kumpiga teke chura kuelekea uchaguzi wa 2020.

    Magufuli alipoingia madarakani pamoja na mambo mengi pia alizuia mikutano ya kisiasa.Binafsi mwanzo nilihisi hii itamsaidia kupita kwa kishindo mwaka 2020 ila baada ya kutafakari nimegundua ATAPATA TABU SANA tena saaana. Kabla ya kufikia hatua ya kusema atapata tabu sana nilijaribu kuwaza yeye...
  15. MGANGA MCHAWI

    Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

    Overdesign kisa hawaendi site?Kivip?
  16. MGANGA MCHAWI

    Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

    Desigining inahitaji practical gani ya site?
  17. MGANGA MCHAWI

    Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

    Unajua material yaliyotumika kujenga hiyo cantiliver??
  18. MGANGA MCHAWI

    Wahitimu wa faculty of Civil Engineering UDSM hawana faida kwa Taifa letu

    Maelezo marefu but Pumba tu.Hujui utofauti wa Civil Engineer na Architect nenda kasome utofauti wa kazi zao then urudi apa.
  19. MGANGA MCHAWI

    Kutoka "WHATMAGUFULIWILLDO?" hadi "WHATMAGUFULIISDOING?"

    Haya ni maswali ambayo watu wamekuwa wanajiuliza hasa wale waliokuwa wana muunga mkono Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli na sasa wamegeuka au kwa msemo mwingine wanasema wamebadili gia angani. Wakati wa kampeni za mwaka 2015, kuna baadhi ya watu walikuwa wanamuunga sana mkono...
  20. MGANGA MCHAWI

    Zitto Kabwe aombe radhi hadharani kwa kupotosha umma

    Hakuna aliyesema kuwa kuna pesa imeibiwa au imefujwa.CAG amesema kuna fedha zimeoneshwa zimekusanywa lakini kwenye matumizi hazioneshwa na pia pesa hizo hazipo kama bakaa BOT. Na alipokuwa anahojiwa na azam TV alisema inawezekena hizo fedha zimetumika kwa matumizi mengine na serikali hivyo ni...
Back
Top Bottom