Search results

  1. Goldman

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    "Mshamba na limbukeni wa madaraka" end of quote by Zitto Zuberi Kabwe , nami nakubaliana naye [emoji817]
  2. Goldman

    Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    [emoji23][emoji23][emoji23] kenny Rogers, huwa nawaachia tip wale walionihudumia vizuri.
  3. Goldman

    Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    At least breakfast ya maana ulikuwa unafidia maumivu pia ukiwa lodge hiyo nahisi ni grand hotel jina lake ,ukipeleka pisi ukaiambia huna hela tukutane gorofani pub baadaye inakuelewa!.
  4. Goldman

    Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Mkendo lodge room ni elfu 30 alienda ile yenye swimming pool mtaa WA chini jina limenitoka kidogo!
  5. Goldman

    Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Ni Mungu ndiye aliyetuokoa sisi tuliopitia mateso ya mwendazake, kwa hiyo kifo cha magufuli mimi nilishangalia na huwa nashangilia mpaka leo
  6. Goldman

    Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Ndiyo [emoji817] magufuli alikuwa dictator katili mno
  7. Goldman

    Afrika ina Asilimia 3 tu ya magari yote duniani

    Barabara za lami tuu ni shida! Roads network za hovyo kabisa.
  8. Goldman

    Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

    Kalime na wewe! Kama huwezi kulima endelea kununua kwa bei juu!
  9. Goldman

    Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

    Futa kauli ya kusema bila jk kijana nape angekuwa anaendesha boda boda! Mzee Nauye ndo kingpin wa hao wote! Yaani bila Mzee Nauye hao ndo wangekuwa boda boda!
  10. Goldman

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Daah ulikuwa uongozi wa hovyo mno!
  11. Goldman

    Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Umeibiwa kitu gani? Na idadi gani?
  12. Goldman

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Huyo huyo diwani unayemsifia alikuwa katibu tawala alipotolewa u DCI leo hii unasema anajitambua! Kipindi cha mwendazake alikuwa hajitambui?
  13. Goldman

    Mwigulu soon out

    Hata Mimi na wish hivyo lkn ndo wishes only! Ni mwana mpendwa wa msoga huyo! Mpaka za uvunguni wanasema Mzee alianzia kazi singida! Sasa alipokuwa huko singida ...... Aiseeee acha tuu
  14. Goldman

    Rais Samia ukigusa Katiba Mpya ndio itakuwa kaburi lako la kisiasa

    Alisikika mlevi mmoja, limbukeni na chawa pro max flani!
  15. Goldman

    Hawana fedha za kufanyia mikutano ya hadhara labda wapewe

    Alisikika chawa flani mlevi hivi!
  16. Goldman

    Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

    Natural habitat of animals siyo zoo! Toka Karne na Karne zoo zipo nasi upande wetu kila mwaka watalii huongezeka! It's simple as that!
Back
Top Bottom