Search results

  1. THE GEEK

    Justice for Daudi Mwangosi

    Magamba utayajua tu... ovyoooo!!
  2. THE GEEK

    Msaada pakupata video game za superman

    wadau wote ni wazazi nisaidieni mahali ambapo ninaweza kununua video game za SUPERMAN
  3. THE GEEK

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Neno kafiri linatoka wapi tena? Inaonesha jinsi ulivyojawa na udini? So unatumia dini kupigania ujinga, kweli ujinga ni sumu.
  4. THE GEEK

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Yaani niache shughuli zangu niwapelekee juice eti kisa nina nia njema? nashukuru Mungu haikunidhuru baasi.
  5. THE GEEK

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Ulitaka nikae kimya au nini labda?? Wewe ndo ---- namba moja kama unaona sikupaswa kuyasema niliyokutana nayo ili kulinda biashara za watu, what for??
  6. THE GEEK

    NAPE NNAUYE ni Katibu Mwenezi wa CDM au CCM?

    Huyu Jamaa Sina Imani naye kabisa, Hebu muoneni:
  7. THE GEEK

    Ipe neno hii picha

    Something is wrong...
  8. THE GEEK

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Thanx kwa ushauri mkuu, aisee nimekoma.
  9. THE GEEK

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Habari Watanzania na Wasio Watanzania, Jana nilinunua juice ya Azam ya "tropical mix" ya TZS. 2500, Nilipofika home nikamimina kwenye glass ili ninywe, nikapiga funda la kwanza nikastuka kidogo, nikapiga la pili nikakutana na radha ambayo ni ya ajabu ajabu sana yani kama uozo ulochanganyika na...
  10. THE GEEK

    Kwa anayetafuta kiwanja hiki hapa

    Mivumoni Madale ndo kule watu wanakochinjana??? Na hapo unamaanisha nini Milion 6 au Milion 16 ???
  11. THE GEEK

    NENO LA LEO (Usifungue kama haikuhusu)

    Na walaaniwe wote wanasingizia kwamba nchi hii inaongozwa kwa kauli za viongozi wa dini flani wakati viongozi wakuu wote wa nchi ni wa dini yao.
  12. THE GEEK

    NENO LA LEO (Usifungue kama haikuhusu)

    Walaaniwe wote wanaoiombea CHADEMA mabaya na watu wote tuseme AMEN...... Walaaniwe wote wanaojaribu kuwa wanafiki kwa mioyo yote na kuona kwamba POLISI wamefanya kazi yao kwa kuua watanzania wasio na hatia na kuona kwamba CHADEMA ndio wamesababisha Mauaji kwa kukaidi amri za polisi, na watu...
  13. THE GEEK

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Nimezisikia mtaani. Eti wanasema ..... Kamjengea nyumba kimara. Mwenye taarifa za ziada.
  14. THE GEEK

    Serikali iipige marufuku siku ya wajinga (1st April)

    Kwa kweli siku hii imepelekea kila litakaloripotiwa kuonekana ni uongo, mfano mzuri ni tukio lililotokea mwanza. Hebu ona jinsi mh. Zitto alivyopata shida kufafanua:
  15. THE GEEK

    Ccm watatangazwa washindi kirumba na arumeru mashariki.

    Note this guys. Hata kama CHADEMA watashinda katika kata ya Kirumba na jimbo la Arumeru Mashariki (ndivyo inavyoelekea). Matokeo hayo yatageuzwa kwa ubabe, nguvu na wizi (kama ilivyokuwa Sumbawanga mjini, Segerea etc) na wagombea wa ccm watashinda sehem zote mbili. Swali ninalojiuliza...
  16. THE GEEK

    Moto mkali waendelea kuwaka kileleni Mlima Kilimanjaro!

    Swts avata yako mimi hoooooi kwa hilo pozi...........
Back
Top Bottom