Search results

  1. Nanoli

    Hii ndio sababu 49% ya hisa za vilabu Simba na Yanga zigawanywe kwa wawekezaji zaidi ya watatu

    Hizi taasisi mbili Simba na Yanga ni team zenye washabiki na wanachama wengi zaidi ya Chama chochote cha siasa hapa nchini,.. Mwekezaji mmoja mwenye hisa 49 ana nguvu na sauti kubwa sana katika msukumo wa sauti ya watu wake. Wamejifunza Congo kwa Moisse Katumbi,.. Mtu huyu anapohitaji hata...
  2. Nanoli

    Sitaki demu

    Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale uwape mbu faida bwana Hivi aliyekwambia uzime taa humu ndani nani Kila ukija nyumbani we unaondoka Kila ukija nyumbani we unaondoka Nimetokea upande wa pili...
  3. Nanoli

    Wazee wa mchiriku kitambo hicho, pitia hapa....

    Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe... Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic naomba aniwekee tafadhali....
  4. Nanoli

    Hii ndio sababu ya Manula kuzawadiwa kiasi cha million 10 na mheshimiwa..

    Tuamini hili kwakua yanasemwa huko?
  5. Nanoli

    Anthony Joshua VS Andy Ruiz Jr.. = Six packs VS Kitambi... Hahahhaa

    Lipo la kujifunza sana kupitia mechi ya wapiganaji hawa iliyoisha masaa mchache ulopita... Mwonekano wa Andy Ruiz haukunishawishi hata kidogo niamini kama ataweza kuhimili ngumi za kijana mdogo machachari Anthony Joshua kufika round ya 5.... Lakini kilichotokea ni hatari sana.. Joshua kapigwa...
  6. Nanoli

  7. Nanoli

    Zidumu fikra za Katibu wa Chama.....

    Kile Chama kimepata Katibu mwenye fikra na busara zaidi ya mkubwa wake... Katibu anawaza yaliyo na hekima ya uongozi zaidi ya aliye juu yake... Mwenyekiti alifanya uteuzi wa kijana wake ndani ya Chama chake na kumfanya awe mkuu wa mkoa,.. Licha ya watu wengi katika nchi kupiga kelele kwamba...
  8. Nanoli

    Daah! Ameachwa.... Ila hakuniambia kama ameolewa...

    Nilikua safarini kikazi Babati mkoani Manyara, nikaja kukutana na bint ambaye pindi nikiwa pale, tuliweza kuwa pamoja kama wapenzi Siku ya kwanza katika mazungumzo yetu ya awali, nilihitaji kufahamu kama yuko kwenye mahusiano, akanambia yeye yuko kwa wazazi, hajaolewa Ni kweli jioni...
  9. Nanoli

    Kuwa hakimu wa mahakama za Tanzania sio lazima uwe na elimu ya sheria.

    Kwa serikali ya awamu ya 5 ya Tanzania, kutoa hukumu hakuhitaji uwe na elimu ya sheria…… Na kwasasa nimewadharau mahakimu wote wanaofanya kazi bila kufuata weledi wa taaluma yao na kusubiri hukumu itoke kwa bwana yule… Wabunge huitwa kwenye vikao vya chama kabla ya kuanza bunge ili kupokea...
  10. Nanoli

    Mhudumu fake wa Vodacom kanitukana

    Aisee dunia ina mambo sana,… kuna jamaa kunipigia simu kabanisha sauti kwa heshima na taadhima akaniambia naitwa Thomas nani sijui napiga simu kutoka voda, mwenzangu unaitwa nani? Nikamjibu, wewe kama muhudumu wa voda unashindwaje kujua jina langu lililosajiliwa kwenye line yangu!!? Hii baada...
  11. Nanoli

    Mwanamke ana miruzi mingi atakupoteza….

    Mimi nilikua ni mnene sana kulingana na urefu wangu, nilikua na kg 94 na mtambi mkuuuubwa sana sana,…. Hali hii ilinikosesha amani japokua wakati naongezeka mwili wengi hukupa maneno ya hongera wakimaanisha kama unene ni ishara ya mafanikio, ;… lakini kwa mke wangu alikua akinicheka na...
  12. Nanoli

    Pigo lingine kwa wastaafu

    Maamuzi ya Serikali kununua korosho za wakulima limekua ni jambo jema na zuri kwa kuwainua wakulima, lakini maamuzi ya Serikali kununua ni hakika kuwa haukupangwa ndio maana kumetokea kauli za kutofautiana kati ya PM na JPM, limekuwa jambo la kukurupuka kwa serikali kwani nina imani kubwa...
  13. Nanoli

    Mh. Bwege (Mbunge Kilwa-kusini) awaumbua ccm,... Walitaka kumnunua

    [https://1] Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akakataa. Bwege amesema hayo jana Alhamisi Novemba 8, bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa...
  14. Nanoli

    Dstv - channels na package zake… .

    Msaada kwa wale wateja na watumiaji wa king'amuzi cha Dstv… Naomba kuulizia kuhusu tofauti ya channels za bundle la 19,000 na lile la 36,000… je kuna channels za move zinazoongezwa kwenye bundle la 36,000?
  15. Nanoli

    Sifa za Mume/Mke mtarajiwa tuzitafutazo ndio zinazoibeba ndoa kweli!!!?

    Nimekua nikipitiapitia post nyingi humu ndani za watu kutafuta mke/mwanaume, lakini sifa zinazoanishwa hapo haziendani na zile post zingine zinazoelezea malalamiko na kero za ndoa. Yaani niseme labda mtu anasema mimi natafuta mke…. 1. Msomi mwenye degree 1 na zaidi. 2. Awe mrefu na mweupe 3...
  16. Nanoli

    Uhusiano na pumbavu

    Nasoma kitabu cha Yoshua bin Sira (biblia )… ...22:7-11 7 Amfundishaye mpumbavu ni kama anayeunga vigae, ni kama anayeamsha mtu aliyelala usingizi mzito. 8 Anayeongea na mpumbavu anaongea na mwenye kusinzia, naye mwishoni atasema " kuna nini? " 9 Mlilie aliyekufa maana amepotewa na mwanga, na...
  17. Nanoli

    Alituahidi baada ya siku 3 MO atapatikana….

    Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa. Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia… Vipi mbona kimya mkuu harudi kutupa mrejesho na kututia moyo sisi tunaesubiria ahadi ya unabii!?
  18. Nanoli

  19. Nanoli

  20. Nanoli

    Interlocking bricks making machine

    Natafuta aina mpya hii ya machine inayoweza kutoa tofali 2 kwa wakati mmoja. Yeyote anayefahamu zinapopatikana na bei yake, tafadhali naomba anifahamishe, naihitaji
Back
Top Bottom