Search results

  1. longola

    Ipo Engine bora ya Canter 4D 33, 4D 34 au 4D 35?

    Habarini Wakuu na wajuzi wa mambo, mafundi wazoefu na wamiliki wa malori. Naomba kujua kati ya izo engine za mistubishi canter: 1.4D 33 2.4D 34 3.4D 35 Ipi ni bora kwa canter mayai ton 3.5 interms of cost of maintenance, service, running cost, fuel consumption, optimal performance, power...
  2. longola

    Gari toyota rav 4 killtime inavibrate usukani

    Wakuu habari za leo? Naomba wataalamu wanisaidie hili. Gari rav 4 killtime ina vibrate sana kwenye usukani na hasa ikiwa silent utadhani trecta. Niliipeleka kwa fundi akasema labda engine mounting zimeisha.. tukabadilisha zote lakin hamna mabadiliko yoyote kabisa. Tukabadilisha na plug...
  3. longola

    Morning after pills zinapatikana wapi?

    Msaada madaktari ..Kuna mtu ananiuliza morning after pills zinapatikana wapi? Na zinaaitwaje exactly kwa maduka yetu ya bongo..
  4. longola

    Namna ya kuangalia jina la mmiliki wa gari kupitia plate number

    Habari za leo wadau? Naomba kujua namna ya kuangalia jina la mmiliki wa gari kupitia mtandao bila kwenda TRA kwa kuingiza detail za plate number tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. longola

    Tatizo la jicho kuchezacheza

    Habari wakuu.. Kuna rafiki yangu Jicho lake la kushoto linacheza cheza( This is involuntary) na sio kwamba halioni hapana bt linacheza cheza linatulia baada ya mda kidogo linacheza tena ( NB: siyo kope zinacheza bt nadhani ni misuli cjui kwa ndani so atakapokwambia umuangalie huez kunotes kwa...
  6. longola

    Tatizo la kupata majipu mara kwa mara

    Msaada kwa ma expert mimi nina tatizo la kupata majipu ambapo kuna kipindi lilianza kidevuni nikalikamua baada ya kama week likaja tokea pajani. Likauma nikawa nashindwa kutembea vizuri but nikalikamua likaisha after few weeks likanitokea tena kalioni ikaamua kwenda hospitali maana i sawa this...
Back
Top Bottom