Search results

  1. longola

    Je, biashara yako Inatumia mfumo gani kati ya huu hapa?

    Mm nahisi kuchanganyikiwa tu aliyeelewa vizuri naomba anieleweshe
  2. longola

    Ipo Engine bora ya Canter 4D 33, 4D 34 au 4D 35?

    Asantee mkuu... 4D 33 inaonekana imekaa vizuri.. hiv ukifunga unaeza miaka mingap kabla ya kuipiga overhaul ??
  3. longola

    Uchambuzi: Maeneo yatakayoiangusha Simba SC kuchukua Kombe la FA, NBCPL na Ngao

    Asante mwanayanga kwa uchambuzi wa timu yetu ya simba[emoji2][emoji2][emoji2] endelea kuishi kwa kukariri
  4. longola

    Ipo Engine bora ya Canter 4D 33, 4D 34 au 4D 35?

    Habarini Wakuu na wajuzi wa mambo, mafundi wazoefu na wamiliki wa malori. Naomba kujua kati ya izo engine za mistubishi canter: 1.4D 33 2.4D 34 3.4D 35 Ipi ni bora kwa canter mayai ton 3.5 interms of cost of maintenance, service, running cost, fuel consumption, optimal performance, power...
  5. longola

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu hawa watu ni trusted. Huku bei rahisi nataka niagize mzigo wa kuuza mtaani
  6. longola

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naona pale wanalist maashiping agent ambao siwajui.. kuna namna ya kuwaweka unaowataka?
  7. longola

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari wakuu. Naomba muongozo wa kununua vitu Alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa, pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
  8. longola

    Tabia Zinazomfanya Mwanamke Awe Na Hisia Nawe Zaidi, Akupende Na Mdumu

    Cha msiingi pesa wachana na io magazeti[emoji2][emoji2]
  9. longola

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Mada ngumu sana hii coz ugumu wake una aspect mbili ambazo ukizingatia zote ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu. 1. Economically ●Economically tunasema nyumba na gari ni liabilty ( kwamba ni vitu ambavyo sio vizalisha pesa bali vitumia pesa) unless upangishe ikupe pesa au iwe gari ya...
  10. longola

    Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Kama huwezi msaidia mtu kimawazo ni bora ukae kimya kuliko kumshauri mtu vitu haramu kwa Mungu hata kwa serikali yalenyewe.. Soma comment pita kushoto..
  11. longola

    Kwaresma inapotosha Wakristo. Yesu hakufunga siku 40 ili akateswe, alifunga ili aanze huduma yake

    Hiv kufunga ni kuacha kula au kufunga ni kuacha matendo maovu uliyokua unafanya pia unakua umefunga? na kwamba ukishamaliza mfungo unaendelea na matendo yako maovu uliyokua unafanya kabla ya mfungo? Naombeni tafsiri ya kufunga na inahusisha mambo gani ya kufanya? Asante
  12. longola

    Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

    [emoji2][emoji2][emoji2]ungepigwa na kitu kizitooo
  13. longola

    Nimewaza Vipimo vya DNA, nifuate hatua zipi?

    Poleee sanaa mkuu kwa yote kabla ya kukushauri lazima nikuambie umezingua uzi wako[emoji3][emoji3][emoji3] yaan story ya maana imekuja mwishoni ile ya kwanza sijui uliiweka ndefuuu bila maana japo ulitaka tujue historical background ya uyu mtu wako. Mosi, nashindwa kuelewa ilikuaje ukakubali...
  14. longola

    Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

    Kitalamu inatakiwa ifanyike mwez mmoja baada ya kubeba ujauzito au baada ya miez mitatu
  15. longola

    Hivi kwa akili zenu mnafikiri Al Hilal atamtoa Yanga kwao?

    Yanga akitoboa Sudani kwa wale Waarabu niite MBWA KOKO nimekaa juu ya bati. Aende akapunguze tu idadi ya magoli
  16. longola

    Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    afu mkuu mimi naona TV nyingi tunauziwa ni FHD hizi 4k wanaandika kwenye maboksi tu kuipamba[emoji2][emoji2][emoji2] unless zile za OLED TVs zile kweli zina 4k hadi 8k
  17. longola

    Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    afu ukiwa unanua TV mkuu make sure quality ya picha inakua sawa kila pande unayokaa kuitazama. maana kuna TV siku izi zina vioo fake ukikaa pembeni unaona watu kama wanafifia au kama zile negative kwenye camera za kizamani[emoji2][emoji2][emoji2] au mara watu kama watu...
  18. longola

    Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    Mkuu kwa sebule yako tv isipungue inchi 43" so inatakiwa inchi 43 na kuendelea mana sebule ya 6x4m ni kubwa iisee. Kuhusu Brand nzuri yenye picha very quality na isiyopungua with time nunua 1.Sony 2. Samsung 3.LG kwa hizi brand za kawaida nunua TCL kidogo ukashindwa kabisa nunua HISENCE...
Back
Top Bottom