Search results

  1. kyemo

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Natafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni radio ipi coz nilikua napita mtaani.
  2. kyemo

    Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

    Sijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo...
  3. kyemo

    Maduka ya GSM hayana jezi mpya za Yanga

    Kiukweli nimeshangazwa. Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi. Kiukweli nimestaajabu. Kwa hiyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo...
  4. kyemo

    Nisaidieni namba ya Kamanda wa Trafiki Tanzania

    Gari yangu ya biashara imegongwa mwezi wa tano sasa na polisi hawataki kumpeleka mahakaman dereva aliyegonga gari yangu ili nikadai bima yake. Za chini ya kapeti jamaa kapitisha mlungura chini.Hasara ninayoendela kupata toka gari imepata ajali ukiachilia mbali kushindwa kulipa kodi ya serikali...
  5. kyemo

    Askari wa usalama barabarani acheni kulazimisha makosa

    Nimetoka home nikampitisha mwenzangu Sinza kwenye mihangaiko yake kisha nikaelekea njia ya Bamaga ili kuelekea town. Nimefika Bamaga taa zikazuia na mimi nilikuwa mtu wa kwanza kabisa kusimamishwa na taa. Pembeni mbele kuna traffic alikuwa kasimama. Baada ya sekunde kadhaa kanifata na...
  6. kyemo

    Senzo kasinya Yanga

    Senzo kasinya kwa wananchi.Picha inajieleza yenyewe.
  7. kyemo

    Je, haki itatendeka sakata la Morrison na Yanga?

    Kuna clip inatembea ikimuonyesha mchezaji Bernard Morrison akiwashukuru Hans Pope na Crescent Magori kwa kukamilisha usajili wake uku akiwa amevaa jezi ya Simba. Kwa inavyoonyesha usajili huu sio wa Jana wala juzi bali toka zile sarakasi zilivyoanzishwa na Morrison,labda ni miez imepita. Hans...
  8. kyemo

    Figo kushindwa kufanya kazi

    Siku za hivi karibun kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wengi wa figo.Wataalamu na Madaktari tunaomba mtuambie ni wapi tunakosea ili tuweze kuepukana na hili tatizo au kuna nn kilichojificha nyuma ya pazia ambacho watu hatukifaham kinasababisha hili tatizo.
  9. kyemo

    Wizkid aitakia happy Independence day Tanzania

    wizkid ambaye ni msanii wa nigeria na hasimu mkubwa wa davido ameitakia happy indepence day Tanzania.Hii imekaaje au ndio kutumia fursa kwa lile wingu lililoibuka upande wa davido na watanzania. Kweli wenzetu wanajua kutumia advantage
  10. kyemo

    Convenant bank for woman

    msaada wenu tafadhali waungwana,kuna mfanyakazi wa hii benki nimemkopesha pesa kwa ahadi angenirudishia baada ya kupokea mshahara wake wa mwezi wa 11. Tatizo linakuja mwezi umeisha na yeye anadai bado hawajapokea mshahara hadi leo tarehe 07/12 na anasisitiza ni kweli bado hawajapokea...
  11. kyemo

    Wazee wa boxer wamefunga mtaa survey

    Napita zangu kurudi home nikakuta mitaa ya survey watu kibao wamejazana pembeni ya barabara,kushuka kuuliza kuna nini mbona watu wengi,naambiwa wazee wa boxer wamepita km dakika 20 zilizopita wakiwa si chini ya wanne hivi,wamepora pesa kwenye maduka matatu na kibanda cha chips na pia wamekimbia...
  12. kyemo

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni mko serious?

    Inaisha wiki ya tatu sasa nafuatlia leseni ya biashara katika ofisi za halimashauri manispaa ya kinondoni lakini ninachoambulia ni maneno yaleyale kila siku,'leseni bado hazijafika kutoka huko wanakoagiza na taarifa washatoa kwa ngazi zinazohusika''. Kiukweli mnaturudisha nyuma kimaendeleo na...
  13. kyemo

    Kiwanja Mbezi Shamba

    Nauza kiwanja mbezi shamba,20X20,bei Mil 5 Kipo Mbezi Luis kama unaenda njia ya goba unangia ndani kidogo, viwanja vya jirani washaanza kujenga na wengine wanaishi tayari. Only serious buyer anaweza ni pm
  14. kyemo

    Msaada wa kisheria kwenye bima

    Habari zenu wadau!Natafuta msaada wa kisheria katika masuala ya bima.Nahitaji kufungua kesi kuishitaki kampuni moja ya bima kwa kutolipa madai yangu na kukaa kimya bila kujibu madai yangu,tatizo nimeenda law firm moja wanataka hela ambayo ni nyingi kwangu kwa sasa,naomba mwenye uelewa wa masuala...
  15. kyemo

    Na hii sio siasa na dini??????????

    Mzee wa upako aibuka akimfagilia JK Na Edmund Mihale MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amesema kuwa wanaompinga, Rais Jakaya Kikwete katika utawala wake wapo katika ushindani lakini hawatashinda katika vita hiyo. Akizungumza na mwandishi wa habari Dar es...
  16. kyemo

    CDM na CUF nani mvuruga amani?

    Nakambuka mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF walikuwa wanaongoza upinzani Tanzania,walikuwa wakiandaa maandamano na watu walipigwa mabomu na wengine kupoteza maisha ,lakini leo hii wanakataa maandamano ya amani ya CHADEMA ambapo hamna hata mtu aliyejikwaa wakiita ni uvurugaji wa amani,Je kipindi...
  17. kyemo

    Washiriki wa matangazo na uhalisia wake

    Hivi karibuni kumekuwa na matangazo mbalimbali yakitoka kwenye mabango na Television lakini hayabebi uhalisia kutokana na muonekano wa washiriki wa matangazo hayo Mfano: kama umebahatika kupita maeneo ya sinza Afrika sana karibu kabisa na kona baa(corner bar/Ambianze night club) kuna bango...
  18. kyemo

    mganga wa watanganyika

    Mnaweza kunisaidia kumpata Mganga aliyewapumbaza watanganyika! kupitia yeye tunaweza kugeuza hali ya mambo
Back
Top Bottom