Search results

  1. JUST

    Jim Sinclair threatens to take legal action against Magufuli’s govt if it goes ahead with its plans

    andika kwa Kiswahili utaeleweka vizuri. Tuienzi lugha yetu maana umeharibu vibaya sana
  2. JUST

    Jim Sinclair threatens to take legal action against Magufuli’s govt if it goes ahead with its plans

    andika kwa Kiswahili hii lugha iya kikoloni ni jipu itumbuliwe haraka watanzania waweze andika kwa ufasaha
  3. JUST

    Official: Pep Guardiola kutua Manchester City

    kwa mtazamo wangu Mourinho ndio kocha pekee aliyeonyesha outstanding results kwa kuchukua makombe kwenye premier league za nchi nne tena kila anapoingia kwenye msimu husika. guardiola aliingia Bayern ikiwa imetoka kuchukua makombe matatu, hivyo hivyo alovyoenda barcelona
  4. JUST

    Lowassa, hili nalo limepita, what's next?

    tayari umeshamrusha hewani bila ya wewe kujua, yaani ushampa kick
  5. JUST

    Official: Pep Guardiola kutua Manchester City

    hakuna kocha atakayefundisha timu zenye wachezaji wa sasa wa Barcelona na Bayern Munich asipate sifa. huyo Goardiola ajiandae kuondoka kama wenzake. ni kocha aliyedandia mafaniko ya wenzake waliokuwa wametengeneza timu. Time will Tell
  6. JUST

    John Pombe Magufuli faces cash crisis

    huu ni usanii. kwa mfano mwanafunzi aliyestahili mkopo wa ada kwa asilimia 80% anaambulia 20% asilimia 60% iliyobaki inaenda kwa wanafunzi wa tatu hapo si utakuwa umeongeza wakopeshwaji huku wengi wakiteseka.
  7. JUST

    Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    ninachojiuliza ni kuwa huyu mtu amekuwa hapa nchini kama mtumshi wa benki na amekuwa akisafiri Je? amekuwa akitumia hati ya nchi gani? kama ni Tanzania alikuwa mtu Maaufu kama CEO wa benki kubwa kwanini hakuweza kugundulika? Je kugundua muda huu uweledi wa Uhamiaji katika kukamata wanaofoji hati...
  8. JUST

    Mameya wa jiji la Dar es Salaam

    Ndugu wana JF, uchaguzi wa madiwani na wabunge umeshamalizika Dar es Salaam. Je, kuna uwezekano wa mameya kutoka upinzani kwa mara ya Kwanza? Maana kwa Segerea madiwani wote ni Ukawa, sijajua mgawanyiko kwa majimbo mengine.
  9. JUST

    Dkt. Fenella amesisitiza wananchi wa jimbo hilo wasifanye makosa kiwachagua wapinzani

    huo mama sio mkazi wa kibamba wala bungo amekwnda kutafuta tikei ya ulaj tuu. akipata kura nyingi sana ni 2,000 zitakazotokana na ushawishi wa bahasha unaoendelea
  10. JUST

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    huna tofauti na vikuku wanavyovaa kina dada
  11. JUST

    Mkutano wa Lowassa Geita Jimbo la Busanda, Wazee wamsimika Lowassa Uchifu wa Wasukuma

    Nilitaka kukufananisha na mbwa lakini kwa kukudharau nakaa kimya
  12. JUST

    Ngome kuu za UKAWA hizi hapa, CCM kushinda urais ni ndoto za mchana

    mmesahau mwaka huu kura za Zanzibar ndio zitakazoiangusha ccm maana walizoe kuzibeba zote na nyingine zilienda kwa lipumba this time kura 1,000,000 zitatoka Zanzibar. hii ndiyo magin ccm wamekuwa wakiitumia kwa faidi plus mabao ya mkono amabayo mwaka huu hayatakuwepo kwa juhudi za kulinda kura...
  13. JUST

    Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    kwa hiyo nchi yetu sasa hivi inatumia mifumo yote miwili ya left and right hand drive. kama ndivyo mbona stearing ipo right?
  14. JUST

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ajiuzulu

    October 26 atakuwa ndio mkurugenzi wao with powers to hire and fire
  15. JUST

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ajiuzulu

    heri mchumia tumbo anayeimbilia meli ilyoacha nanga kuliko wewe mchumia tumbo unayezama baharini huku unaangalia meli anayopanda mwenzako
  16. JUST

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ajiuzulu

    kuna yule aliyemkabidhi lowassa fomu ya urais akimuita Mh. Rais. Nadhani wanasubiri wakati muhafaka kutoa tamko
  17. JUST

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    a power monger never resigns to account for other's mistakes, rather is the one who stays in office despite audit report findings of loss of billions keeps vying for higher positions
  18. JUST

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Lowasa's bomb towards ccm is comprative to hiroshima's bomb
  19. JUST

    First in the World: Nigerian student Victor Olalusi, scores 5.0 GPA in Russia

    hiyo 4.5 inategemea imetoka katika chuo kipi kama ni hivi vya kukusanya ada bora ukae kimya
  20. JUST

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    ogopa mtu mwenye mashavu yaliyokonda mara nyingi wanakuwa wachawi kama sio wachawi basi ni wachoyo na wabinafsi hata kwa wao wenyewe ndio maana hawanenepi. kwa ufupi roho mbaya
Back
Top Bottom