Search results

  1. U

    Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

    Kwani magazeti yote yanatumia hela za umma,
  2. U

    Nimeongea nae, anawasalimu na yuko pamoja nasi

    Hii imekaa kama shairi la Mrisho Mpoto.
  3. U

    TV stations za Kenya na Uganda zina upendeleo sana kwa Lowassa, kwanini?

    Bandari? Si wanayo ya Mombasa? Wameanza lini kutaka sisi na wao tusonge kwa pamoja?
  4. U

    Yaliyojiri Bungeni Nairobi: Rais Kikwete kutoa hotuba ya kuaga

    1. Wakenya wanajua kiswahili na bàadhi yao hukitumia bungeni 2. Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje kabla ya kuwa Rais= Anawajua wa Kenya. Na si mara ya kwanza kuwahutubia 3. Bomba la gesi hata asiposema ni mojawapo ya miundombinu ambaya EAC imwkubaliana ku share 4. Kama wakenya wangepewa...
  5. U

    JF Bar & Restaurant....karibuni

    Hongera. Nilidhani unatukaribisha za promo (bure) mamemba? Joking. Hongera.
  6. U

    Tanzia: Mariam Mkumbaru wa TBC afariki kwa ajali ya gari

    Nawapa pole familia,TBC na wote walioguswa na msiba huu. Mungu awape nguvu katka kipindi hiki kigumu.RIP Mariam.
  7. U

    Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

    Mmh ubalozi wa Tz Uturuki! Hivi tuna balozi au balozi wa heshima pale Istanbul ambaye ni mturuki. Au mie ndio niko nyuma. Ilikuwa hivyo zamani
  8. U

    Tanzia: Mchungaji Hezekiah Mwakisu wa Boko KKKT afariki

    masopakyindi Oh! Mwenyezi Mungu aliye mfariji Mkuu amfariji kila mmoja aliyeguswa na msiba huu.RIP Mtumishi wa Mungu. Umeimaliza kazi.
  9. U

    Siku ya Hedhi Duniani: Iibue mijadala ya mazingira rafiki na faragha kwa wanawake

    Mimi nadhani hapo umejichanganya. Unasema lakini tusidanganyane....mazingira ni rafiki kisha ...huko vijijini mazingira si rafiki kabisa...Siku hii ni kwa nchi nzima hadi kule ambako shule hazina hata choo. Lets be realistic. There is a problem.
  10. U

    Magari ya gas Tanzania.

    1. Ni kweli kwamba matumizi ya gesi ni rahisi kuliko petroli 2. Kuhusu madhara nadhani unahitaji ushauri wa kitaalamu zaidi kulingana na gari lako. Mradi huo husimamiwa na TPDC na ukiwekewa unapaswa kupewa certificate 3. Yapo magari machache hapa nchini ambayo yanatumia gesi. Hivyo hata vituo...
  11. U

    Mtani wangu ZITTO, hata Ngorika na Buffalo zilikuwa kama wewe miaka ya 2002

    Nakubaliana nawe kwamba maisha ni kupanda na kushuka. Ila naamini wakati mwingine ili kupanda yakupasa kushuka. Yote yawezekana.
  12. U

    Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

    Mimi nimelipenda hili tangazo kama lilivyo japo sipendi mtandao wa Tigo. Utaalamu mbali lakini wengi tusio wataalamu tunalipenda. Just for the humour it carries. Hongera Tigo.
  13. U

    TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

    Pole sana ndugu yetu. Mwenyezi Mungu akupe wepesi
  14. U

    Ulipaji wa kodi kwa wafanyakazi wa balozi

    Nadhani hiyo inatakiwa kufuata sheria za nchi yenye ubalozi huo pamoja na zile za nchi ambapo ubalozi huo upo. Ingawa sijasoma mahali. Ni fikra zangu tu. Kama nakosea sorry.
  15. U

    MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    Pole sana. Mungu akujalie upone haraka
  16. U

    TANZIA: Mzee Mangula apata pigo

    RIP Nemela. Nawapa pole wanafamilia na wote walioguswa na kifo cha Nemela. Mwenyezi Mungu aliyemfariji mkuu awafariji na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu. Poleni sana.
  17. U

    Siku chedema ikichukua nchi

    Gwandalized; Naomba nikuhakikishie kwamba kuota ni haki ya msingi. Unafanya vema kuitumia. Kwa bahati nzuri si kila ndoto huwa kweli. Thank God it won't happen. You can keep on dreaming dear.
Back
Top Bottom