Search results

  1. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    Habari JF, Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet. Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua...
  2. stellahthatcher

    Mwaza: Mbunge wa viti maalum, Maria Kangoye apata ajali, afanikiwa kutoka salama

    Mh Maria Ndilla Kangoye Mbunge viti maalum kupitia UVCCM kapata ajali jana ikihusisha magari matatu Igoma jijini Mwanza akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao kisesa. Tunamshukuru Mungu Mh Mbunge katoka salama na kwa taarifa zaidi tunaendelea kuelezana hapa. Mh.Maria ni mwenye pinki UPDATES...
  3. stellahthatcher

    Maria Kangoye (Mb) Vijana atunukiwa nishani New Delhi nchini India

    Kwakweli wanawake tunaweza, Mhe. Maria Kangoye (Mb) Vijana ametunukiwa nishani New Delhi nchini India kwenye mkutano kwa kutoa mchango uliohusu masuala ya biashara ya binadamu(human trafficking) uliofanyika kuanzia tarehe 13 - hadi leo hii tarehe 15 Septemba 2017 na kuibua ajenda nzito ya...
  4. stellahthatcher

    Kwanini kwenye mahusiano watu wanaishi kwa wasiwasi

    Habari Wakuu, Mtu aliyeumizwa sana katika kile kitu ambacho aliweka moyo wake wote, iwapo atakosa msaada wa karibu sana kutoka kwa watu wengine, itapelekea yeye kuathirika kisaikolojia kama tu ataendelea kuwa katika maumivu hayo na hata akianza mahusiano mapya anakuwa katika wasiwasi mkubwa...
  5. stellahthatcher

    Hiki ndicho alichokifanya kipanya kuhusiana na Vodacom Red RLX

    Kipanya rasmi sasa amejiunga na VodacomRED na atakuwa anakuletea mfululizo wa maisha anayoishi sasa baada ya kujiunga na huduma hii mpya inayotolewa na kampuni ya simu nchini Vodacom Tanzania. Hatujui atatuletea nini lakini tunaimani atawapa wafuasi wake faida anazozipata akiwa na Red RLX...
  6. stellahthatcher

    Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

    Msimu mwingine wa Soko la Wazi la Mkulima Market umewadia ni 30 Agosti-2 Septemba 2017. Soko hili la wazi litafanyika kwenye Maegesho ya Magari ya Research Flats, mbele ya Jengo la Ndaki ya Kilimo na Teknolojia za Uvuvi (CoAF) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi hadi jioni...
  7. stellahthatcher

    Wasafi Wanaiba kazi za Mkito

    Wapenzi salaam, Katika kile kinachoonekana ni kukosa ubunifu, Wasafi Recorda wameonesha kuwa very unprofessional kwa kuchukua kazi ya Mkito katika mitandao yao ya kijamii, kuondoa logo na kuweka logo yao. Nimeona huko Twitter raia wanalalamika kitendo hiki na kusema #WasafiWamekuwaWachafu
  8. stellahthatcher

    Naona Rais Magufuli anataka kufuta kabisa ajira zisizo rasmi nchini

    Serikali yake inafanya kila njia kudisturb atmosphere ya watu waliojiajiri ktk sekta isiyo rasmi. Wamachinga, wauza mkaa, wachoma mahindi, bodaboda, Shoe shiners, waosha magari, madobi etc ni watu wanaopita kipindi kigumu sana ktk utawala huu. Serikali imepiga marufuku kuosha magari maeneo...
  9. stellahthatcher

    Msaada, alama hii inamaanisha nini

    Wapenzi, habari za leo, Naomba kuuliza hii alama hapa juu kwenye simu inamaanisha nini? Simu ni mpya nimetumiwa.
  10. stellahthatcher

    Look who is back...

    TIMU ya Kagera Sugar ya Bukoba imesajili wachezaji sita wapya, akiwemo beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Juma Said Nyosso(pichani kushoto). Nyosso anasajiliwa Kagera Sugar baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa miaka miwili kufuatia kumtomasa makalio mshambuliaji...
  11. stellahthatcher

    Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia ngono kuliko wanawake?

    Kumekuwa na dhana kuwa wanaume ndio wanaofurahia ngono zaidi ikilinganishwa na wanawake ambao sio rahisi kufikia upeo wa raha ya kujamiiana. Aidha imebainishwa kuwa wanaume chini ya umri wa miaka 60 hufikiria kuhusu ngono mara isiyopungua moja kwa siku. Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha...
  12. stellahthatcher

    Kwa anayehitaji kuniona...nitakuwa hapa trh 23 Juni

    Habari za leo, Kwa wote ambao wangependa tu hang out nawakaribisha katika tukio hili litakalofanyika tarehe 23 Juni 2017 katika Hotel ya Landamark Ubungo. Wale wanafunzi wanapenda kufahamu kuhusu afya ya uzazi mnakaribishwa sana. Wale marafiki zangu wa kike na kiume tukutane hapo. Kwa taarifa...
  13. stellahthatcher

    Natafuta Mchumba na baadae awe Mume

    Habari za leo JF, Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha. Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania I am in my late 30's Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between...
Back
Top Bottom