Search results

  1. Babkey

    Chabo hii ni noma!

    ....mh.....
  2. Babkey

    Hapa lazima BP ipande!!

    "Baby naomba unicredit vocha ya elfu 10, na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima be coz nipo na friends zangu, afu nadaiwa laki tatu nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elfu 90 ya vitabu na elfu 50 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwaaahhh."
  3. Babkey

    Mke wa mtu!

    Wahenga walisema..."mke wa mtu ni sumu" Imethibitika..."mke wa mtu ni gundi" Hahahaaaaaaaaaha!!!
  4. Babkey

    Usiku mwema!

    1(3g+27)=3t soln 3g+27=3t 3g/3+27/3=3t/3 = g+9+t ans = G9t.
  5. Babkey

    Chadema jamani!!!

    Mm Nilifikiri Chadema Wakorofi Bungeni tu, Kumbe Mpaka Hotelini.!! Jana wakati wanakula walianza (Wenje) Mwongozo wa Mwenye Hotel, chumvi haitoshi. Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi unaonekana wa Jana siungi Mkono Hoja ya Kulipia Chakula hiki. Tundu Lisu: Mwongozo mwongozo, Niliagiza...
  6. Babkey

    Maendeleo hayo....

    http://photos-e.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc6/283039_347700311991496_288539041_n.jpg
  7. Babkey

    polisi hadi huku!!

    Polisi wapo katika upekuzi mkubwa wa kutafuta matahira wanaosoma vichekesho kwa macho na kimoyomoyo. Kutokana na hilo, upo chini ya ulinz! Na kwa kuzidi kuonyesha kuwa wewe ni tahira totally eti bado unaendelea kusoma kwa macho na kimoyomoyo! Haya mikono juu haraka...!!!
  8. Babkey

    mafisadi noma!

    ...........................
  9. Babkey

    Jaribu simu yako kama ni nzima

    A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 ! " # ? % ¥ - + ; Hapa sasa mzuka! Nilikuwa na'test batan za SIMU yangu. Sorry!
  10. Babkey

    Tahadhari: Ukinunua boda boda...

    Kumbuka kuchukua Magongo na/au sanda, jeneza kwa atakaekuuzia au kukuajiri. 'IMETOLEWA KWA HISANI YA WATU WA CHINA'
  11. Babkey

    Eti wewe ni wa majaribio!?

    ....nasikia hawa wazaliwa wa kwanza wamezaliwa kwa bahati mbaya au wazazi wao walikuwa wanajaribu tu na wengi ni vyanzo vya ndoa baada ya kupata mimba zisizotarajiwa na kulazimika kuishi pamoja...
  12. Babkey

    Oooooh!!

    Nothing to display.
  13. Babkey

    "Uwanja wa Taifa"

    Msichana alimuhoji jamaa baada ya kumaliza uroda. Msichana: Mbona gitaa lako dogo sana!!? Mvulana: Sikujua kama ntantumbuiza uwanja wa taifa.
  14. Babkey

    Nisaidie wakuu kabla ya likizo jF

    Ni hili, binafsi jibu silifahamu. Jamaa alimkabidhi Mzee wake 50000/= Baadae akaanza kuchukua kidogo kidogo. Mchakato ulikuwa kama hivi; 50000/= Alichotoa ~~~~kilichobaki ................................................. 20,000/= ~~~ 30,000/= 15,000/= ~~~15,000/= 9,000/=...
  15. Babkey

    JK, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 3) (178) (1,2,3,4,5....)

    ...Yahaya Hussein anakiita chama kuzimu, usipobadili mwenendo na kumwomba Mungu kwa kutenda yanayompendeza hakika chama kitafariki. ...maji mafupi ameweka "chuma ulete" kwa mifuko ya watu ndio maana wananchi wanalalamika maisha magumu. ....mwanao hakufeli ila walikujaribu na kutaka...
  16. Babkey

    Mwalimu mafunzo kwa vitendo!

    Kuna mwalimu mmoja ambae yupo kwenye mafunzo kwa vitendo, kutoka chuo kimoja hapa tz alietoa kali ya mwezi. Siku aliokuwa anafanyiwa 'assesment' alichanganyikiwa vibaya mno. Kaingia class na vifaa vyake vya kazi, kaaza kufundisha huku mwalimu wake akimwangalia kwa umakini mkubwa. Jasho likawa...
Back
Top Bottom