Barua uliyoomba uhamisho iliyopitishwa sehemu zote, barua ya nafasi kule unakoenda(wanakujibu unakoenda) ,kibali cha uhamisho (atakuandikia ps wa Ded au utumishi), Then kitambulisho cha kazi na current salary slip .vyote hivi utafunga mafungu 3 .moja litabaki masijala wilayani kwako ,mawili...
sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.