Search results

  1. Mbeba Lawama

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Kesho ukiiulzwa kuhusu ng'ombe unaanza kujiulza ww na ng'ombe wap na wap mara una conection kikwete anaweza muuzia ng'ombe wake haya ngoja pakuche😂
  2. Mbeba Lawama

    Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Sinai pale kwenye ma garage unashuka mkono wa kushoto kama unaenda mton huta jutia pesa yako
  3. Mbeba Lawama

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Toyota yuko smart kwa mazngira ya afrca pia anatengenezeka kwa urahis tofaut na zaman serkal ilkua inachukua landrover na isuzu spare zkawa mtihan, saiv toyota yuko na delers wake kila mkoa tanzania na anam a sure serkal ikinunua gar kwake mpka kl 70000 inafanywa na toyota bure.. pia n gar...
  4. Mbeba Lawama

    Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Mbwa n vile ulvyomzoesha kama mbwa anaweza kunya hata kwenye ngaz hata angekua german shephad uyo n hajielw, mbwa onatakiwa akifunguliwa kabla ya kwenda kula hata kama chakula kipo mbele yake akimbie mpaka engle anayotakiw kukojoa au ku pu ndio arud kula
  5. Mbeba Lawama

    Mch. Katekela: Kanumba hakufa

    Huyu mchungaj n mweupe sana kichwan
  6. Mbeba Lawama

    Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Atlset fika 100 nkupe huyu anachanjo zote anaoshwa kila jpl anafunguliwa usku tu hazuruli kama ao unaowaita wa kienyej na jina lake analifaham namwita chiko pia ajisaidii bandan kwake wala mazngra ya nyumban
  7. Mbeba Lawama

    Swali kwako mke unayefanyakazi na kipato chako hakionekani!!

    Wew ukiwa na 80000 na mkeo akawa na 120000 umo ndan mna 80000 na si laki mbil bro
  8. Mbeba Lawama

    UZUSHI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Kwaio na ww unaamn siku ukienda mbingun utqkutana na yesu wa ivyo et
  9. Mbeba Lawama

    Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

    Uzuri walisema awamu hii kila mtu atakua injinia wa umeme
  10. Mbeba Lawama

    Veronika wakunifanyia haya Mimi?

    Jiran yangu alinihusia ukitaka kumfaid single maza haikikisha kakuonyesha kaburi la mzaz mwenzie sjui almanisha nn
  11. Mbeba Lawama

    Nahitaji dawa ya maumivu ya kiuno na mgongo

    Nunua na godoro bora sio unalala kama uko kwenye mtumbwi
  12. Mbeba Lawama

    Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

    Kwa sasa hutapata huduma ya kiganga kwasababu wako kwenye mfungo wa ramadhan kwasababu wanatumia majin
  13. Mbeba Lawama

    Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

    Maisha rahis sana kwanzia lodge chakula mpka usafir, ukiwa mgen sehm yoyote usilete mazoea na wanawawake wa maeneo hayo mana mana wanaume wenyej ukuchukulia kama special sana na kuhis unataka kuchukua dada zao au wake zao watakachokufanya hutarud tena mazngira hayo, wazito kutoa ushirikiano hasa...
  14. Mbeba Lawama

    Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Sasa wew unajua kabisa chakula cha watoto hapewi mbwa we ilkuaje ukampa mbwa ( kuuza mechi)
  15. Mbeba Lawama

    Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

    Vip mkuu ur no longer participate.. Yan ushatuleft kwenye grup
Back
Top Bottom