Search results

  1. The Humble Dreamer

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko wapi? Kimya sana, kulikoni?

    Salaam Wakuu; Waziri Mkuu kawa kimya sana miezi ya karibuni, tatizo ni Nini? Hii Hali ni tofauti na mwanzo alikua akitoa ushirikiano na kila wakati tutamsikia kwenye media akieleza mambo kadhaa na kukagua miradi ya serikali, sasa haonekani Tena! Nini shida?
  2. The Humble Dreamer

    Kama kuna mgao wa Umeme si mtangaze tu, mnamuonea nani aibu wakati Nchi kweli ni masikini?

    Wakuu Salaam; Hivi Serikali mnaona aibu gani kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme nchini? Kila siku mnakata umeme mnarudisha muda mnaotaka, jana mmezima kuanzia asubuhi mkarudisha jioni na leo mmeuacha kuanzia asubuhi mmekata tena jioni hii! Hii nchi ni maskini bado, tusiaminishane kila kitu...
  3. The Humble Dreamer

    Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Wakuu Salaam: Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi. Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata...
  4. The Humble Dreamer

    Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto?

    Wakuu Salaam: Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto? Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue! Nimemaliza.
  5. The Humble Dreamer

    Mesut Ozil kafanyaje?

    Wakuu Salaam: Huyu mchezaji kafanya nini mbona maneno mengi sana? Siyo kwa kudhalilishana huko hadi kupelekwa timu ya vijana!
  6. The Humble Dreamer

    The UEFA Champions League 2020/21 Special Thread

    Wakuu Salaam: Mashindano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwa hatua ya makundi yanaanza rasmi leo kwa mechi mbalimbali kupigwa viwanja tofauti. Ni timu ipi huenda ikaibuka mshindi kwa mashindano haya? Ratiba (20/10/2020). GROUP E Chelsea Vs Sevilla (22:00pm) FT: 0-0 Rennes Vs Fc Krasnodar...
  7. The Humble Dreamer

    Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA wamejiaandaje na Uchaguzi mkuu 2020?

    Wakuu Salaam: Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki. Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura zilizopigwa kwa upande wa chama chao zinahesabiwa kwa haki bila uhuni wowote. Kwa uchaguzi wa serikali za...
  8. The Humble Dreamer

    Unalikumbuka hili Game?

    Wakuu Salaam: Unakumbuka hili Game? Uliwahi licheza? Tupe mbili tatu.
  9. The Humble Dreamer

    Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Wakuu Salaam: Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani. Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa. Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati...
  10. The Humble Dreamer

    Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
  11. The Humble Dreamer

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

    Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
  12. The Humble Dreamer

    Neno moja kwa Kocha wa Taifa Stars baada ya mechi ya leo dhidi ya Burundi

    Wakuu Salaam: Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi. Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo. Wakuu kuna kocha kweli pale Stars? Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA...
  13. The Humble Dreamer

    Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania

    Wakuu Salaam; Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi ikiwa ni hatua ya kuboresha elimu nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Naibu Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk Ave Maria Semakafu amesema hatua hiyo inakwenda...
  14. The Humble Dreamer

    Klabu ya Yanga SC yamfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic

    Wakuu Salaam; Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo. Nini maoni yako?
  15. The Humble Dreamer

    Aston Villa inashinda mechi ya 4 mfululizo, tatizo ilikua ni nini?

    Wakuu Salaam, Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni. Mechi za karibuni ni hizi: Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu? Updated:
  16. The Humble Dreamer

    Uchaguzi 2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

    Wakuu Salaam; Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani? Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje. Jana pia Polepole kalilia hicho. Mgombea Urais...
  17. The Humble Dreamer

    Live Uefa Super Cup: Bayern Munchen Vs Sevilla Fc

    Wakuu Salaam; Leo inapigwa mechi kati ya Fc Bayern ambaye ni bingwa wa UEFA na Sevilla Fc ambaye ni bingwa Uefa Europa league katika kutafuta bingwa wa Uefa Super Cup. Mechi hii inapigwa katika dimba la Puskás Aréna, Budapest, Hungary. Kila timu imetoa orodha ya wachezaji watakaohusika katika...
  18. The Humble Dreamer

    Hivi kwanini maafisa uajiri wanajisikia sana?

    Wakuu Salaam; Hawa watu wanaosimamia idara ya rasimali watu wanatakiwa watambue kua wao nao ni binadamu kama watu wengine na lazima waheshimu utu wa mtu yeyote achilia mbali hadhi ya huyo mtu. Hawa Hr's wa kampuni hua na majibu ya hovyo sana wawapo kazini bila kujali anamjibu nani. Leo...
  19. The Humble Dreamer

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu Salaam; Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu. Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ . Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
  20. The Humble Dreamer

    Nini kinazuia mji wa Moshi kuwa Jiji?

    Wakuu Salaam; Mji wa Moshi ndiyo kitovu cha mkoa wa Kilimanjaro na kwa sasa hivi mji huu umepanuka kimaendeleo kulinganisha na miaka 15 iliyopita. Sasa mji huu tangu mda tu haupandishwi hadhi ya kua jiji ilihali mchana kweupe tunaona kwingine kunapanda tu. Na sifa za huu mji zinajulikana...
Back
Top Bottom