Search results

  1. M

    Chanjo ya ugonjwa huu wa vifaranga ni ipi?

    wape chanjo gumboro vifaranga wanapotimiza siku 3
  2. M

    Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    nilidhani ni mimi tu ila ukweli ni kwamba navutiwa na mwanamke mweusi mwembamba mwenye nyamanyama na mwenye makalio yaliyotokeza huwa sichoki kumwangalia
  3. M

    Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    wewe unamdanganya kabisa ushauri wa hovyo huu ulioutoa japo ni haki yako kutoa naomi
  4. M

    Kufanya kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama inahitaji uzalendo hasa

    nawachuki jeshi la polisi case yako ni deal kwao, kesi yoyote kabla ya kufika mahakamani ni deal kwao ni kitega uchumi kwao, rushwa rushwa rushwa siwapendi police sina imani na jeshi la polisi ile kazi ni laana sitapenda ndugu yangu ajiunge
  5. M

    Hadi wanawake wenzake nao wamemdharau? Imenikwaza sana

    nimecheka sana kwa sauti na niko peke yangu. Mkuu kama uwezo mnunulie nyingine my wife wako kwa nini ajihisi kinyonge Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  6. M

    Nimeishiwa nguvu na nimekuwa Mtu mwenye kukata tamaa kwa Mkasa ulionikuta

    pole mkuu kwa ajali, kama nimekuelewa vizuri ni kwamba umeshapeleka barua ya uchumba na ukakubaliwa hatua inayofuata ni wazee kwenda kujadiliana taratibu za mahari n.a. mambo mengine, nikwambie mahari sio lazima ilipwe siku hiyo wazee baada ya kukubaliana wataomba muda wa lini watapeleka kwa...
  7. M

    Vijana acheni wizi, humkomoi boss, unajikomoa mwenyewe

    nimewahi kukataa kununua nondo za kujengea nilizouziwa na fundi kwa nusu bei wakati najenga sababu nilihisi kuna mtu kaibiwa
  8. M

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    natumia jf app picha hazifunguki
  9. M

    INAUZWA Mashine za vifaranga

    taarifa hazijitoshelezi mfano capacity na bei hakuna Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  10. M

    Water pump ipi inafaa kwa kumwagiliaji?

    mawazo yenu tafadhali wakuu, karibuni
  11. M

    Water pump ipi inafaa kwa kumwagiliaji?

    Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi? vigezo ninavyovitaka 1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200 2. Ulaji mzuri wa mafuta 3. Upatikanaji rahisi wa vipuri 4. Uwezo wa mafundi kumudu kuitengeneza...
  12. M

    Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    sh ngapi nina mradi wa kuku
  13. M

    Huwezi amini Wazungu ndio wanalisha Hoteli za Kitalii Tanzania, Hii aibu kuu

    picha nyingi kwangu hazifunguki natumia jf app nini shida wakuu?
  14. M

    Kaeni Mguu Pande, Zama za Utawala wa Mwanamke Duniani unakuja

    Utakuwa na shida, unaonekana unapenda kupambana uwe kama mwanaume. Ukweli ni kwamba hutafanikiwa sababu hii ni asili
Back
Top Bottom