Si jana tu.Katika makusanyo ya matukio na kauli alizowahi kutoa he is a psychopath.Pia anakiburi cha kupindukia.mtu mjinga ambaye hajijui kuwa yeye ni mjinga na analazimisha umma uamini ujinga wake kwa mgogo wa vyeo alivyowahi kushika basi there is something wrong upstairs.
Kuwaambia wasomi...
Jana nilimsikiliza Werema ITV, nimejiridhisha, he is arrogant na mbaya zaidi ni psychopath.
I was so disappointed, amemkosea adhabu shivji, mwalimu wake.amenichefua sana.
Ninajisikia vibaya sana...
Mwanamwema wa Jamhuri hii, nimebakia tu kumsikia His Lordship Francis Lucas Nyalali the Chief na ripoti yake aliyoiwasilisha kwa Rais Mwinyi tarehe 17 Februari, 1992, historia yasema.
Nilikuwa darasa la pili, sikujua yaliyokuwa yanatokea.
Nimejaribu kuitafuta...
Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 Global Extractive Industries Transparency Initiative (EITI) Meeting Taking Place in Paris, France.
Mwanakijiji has started a thread Join Us on FB to demand accountability which links you to a facebook page.
To reach the audience of more than 200,000 Tanzanians on facebook, this page needs to be promoted as an ad
I highly recommend fundraising for this cause to spread the message out to...
Kuwa na majibu ya hovyo hovyo si kitu cha bahati mbaya.Ukiangalia vizuri, from Dowans mpaka mabomu ya Gongolamboto, utasikia majibu au kauli za hovyo hovyo tu kutoka kwa Rais au viongozi wengine.Si bahati mbaya, bila shaka ni mpango kabambe (propaganda to divert attention, and it is very...
Kitila Mkumbo, amesema jambo, nimemsikia, amenigusa. Amesema ukweli, ukweli ambao hatujauona, na kamwe hatutauona.
Kuna maswala muhimu ya msingi, mjadala wake umeishia hewani, na yalikuwa agenda ya watu, agenda iliyotishia uhai wa serikali iliyoko madarakani, agenda yenye kubeba hisia za...
Hakika, hatuko salama, hatukuwa salama, na hatutakuwa salama.Mizaha mizaha tu, maisha ya watanzania yanapotea hivi hivi tu.
Si mara ya kwanza, nasema na kwa uthabiti kabisa, si mara ya kwanza, tumechoka, enenda zako!!!!
:sad:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.