Search results

  1. N

    Pinda amfunza Makamu wa Rais unywaji pombe ya kifipa

    Hahahahahah lazima ule tenda la mtu kwa style hiii
  2. N

    mavazii mengine banaaa

    'BABA UTUSAME KWA KUWA HATUJUI TULITENDALO:A S embarassed:
  3. N

    Msanii wa bongo mzux ukipanda anawaza kuvua nguo

    Sijui bangi ama gongo inafanya wasaniii wetu wawe hivi.
  4. N

    Karibu Tanzania! kuna vivutio vingi kandokando ya bahari ya hindi

    Wenye Fedha wanafaidi jamani huyu mrembo lazima wanakula wenye fedha.
  5. N

    "CHADEMA" ya Zambia yachukua Nchi rasmi: Hii ndio Speech

    namaa ni muungwana sana tunatakiwa tukubali matokeo inapobidi.
  6. N

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Hivi tumekosa mtu wakumpa Urais Tanzania kwa mawazo yangu Rais ni Magufuli ingawa wanafanya njama za kumpoteza katika anga za siasa.na kama Tumeshindwa kabisa Ebu Tumuombe Benjamin Mkapa arudi tena yeye ndiye mkombozi pekee wa Tanzania jamani. Mkapa oeeeeeeeeee.
  7. N

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    Ni kweli usemayo yaaani alitendalo mungu binadamu hana nafasi ya kutengua tumuachie mungu hayo yote.loo yaani ni sh 500 tu do yaani nim kweli ni miujiza ya mugu
  8. N

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    :hand: we acha tu imekuwa gunzo nenda mwenyewe ukapate ushuhuda c kuuliza watu kama unavyofanya.kaka kama unaukimwi nenda utapona
  9. N

    Ugomvi wa mama na baba ni haki kuingilia kama mtoto.???

    unatakiwa kuingilia pale unapoona mambo yanaenda mrama usisite kutoa maamuzi,na uwe shujaa
  10. N

    Kwa heshima na taadhima huyu ndio shemeji yenu!

    yaani we binti toka tuachane club ndo umempata huyo babu c uliniambia hauna mume
  11. N

    Nguvu kubwa zimetumika? Haya ndo wanaelezewa pale UDOM sasa hivi.

    tunajifunza nini kati ya wanfunzi na serikali ya tanzania hivi ni kukosa uvumilivu kwa wanafunzi mwa miaka hii au serikali inashindwa kutoa huduma vizuri kwa wanfunzi
  12. N

    Pinda na Vita tata ya Mashangingi

    hata mimi ninashangaa kwanini kwa halmashauri tu na ofisi zingine za serikali zainaendelea kununua magari ya kifahari.dah unapomnyooshea tu kidole nawe jiangalie uko vp
  13. N

    Speed ya Prof. Tibaijuka yaanza kupata vikinza

    TIBAIJUKA MAGUFULI ALIONDOLEWA HUKO BAADA YA KUTAKA KUSIMAMIA KIDETE VIWANJA VYA WAKUBWA WA NCHI HIII ILI VIWANJA VIRUDI SERIKALINI,NASHAURI WASILIANA NA MAGUFULI KWANZA UPATE ABC YA wizara yako
  14. N

    Kwa Pombe Mkapa Anatisha

    Yaani tukizungumzia maendeleao ya barabara,tunamzungumzia magufuli yaani jamaa ni mchapa kazi sana,kila wizara unayopelekwa unang'ara,nyota yako haifichiki,baba ningekuwa ninateua nani agombee urais mwaka 2015 ningekuteua na kura ushindi wa chama cha ccm ungekuwa asilimia 90
  15. N

    Tido Mhando atemwa TBC

    Tido Umeanza wengine watakufuataa ,wakurugenzi wa majiji,manispaa,wilaya mliyosimamia uchaguzi na vyama pinzani vikashinda kaeni mkao wa kunyolewa hii ndio CHAMA KUSHIKA ATAMU,hamlijui hilo tanzania?hauwezi kuchaguliwa kuwa kiongozi ukawa si mdau wa CCM
  16. N

    Bongo Star Search (BSS) na mshindi mzungu!!

    mhuu huyu mzungu anastahili kwani anaweza kuimba tuache mambo ya uzungu ama ubongo tu judge kitu kwa kuangalia uwezo wa mtu
Back
Top Bottom